Tanzania Education Improvement Organization

Tanzania  Education  Improvement Organization Education is a vital object towards finding solution of our radical life mountains

06/08/2019

Our vision is to see student are performing better in each category..

05/08/2019

Hello Tanzanians we are here to make education Better, we beg ur support to kick forward our kids.

23/07/2019

Helloooo

09/10/2018

Wanafunzi wetu wanapoelekea kufanya mtihani wa Taiga hatuna budi kutapa mazoezi ya kutosha ili waweze kufanya vizuri zaidi ya yote ni vyema kuwashauri namna ya kujibu mtihani na kuzingatia muda wakati wa mtihani na nidhamu # kuboresha elimu bila elimu hakuna taiga litakaoendelea # # Ilovemyjobbeingatecherisnotthematterofsalaryisthematterofsacrifiesiloveteaching # #

29/08/2018

Uongozi wa TEIMO umetoa salamu za rambirambi kwa familia shule na ndugu jamaa na rafiki wa mwanafunzi aliyefariki baada ya kupigwa na mwl wake kwa kile kinachodaiwa kuwa kupotea kwa pochi ya mwl Huyo kitu kilichompelekea kuhisi kuwa mwanafunzi Huyo ndiye aliyeiba
Hakika Taifa limepoteza kijana nguvukazi ya kesho
Aidha tunalaani vikali kitendo cha ukiukwaji wa haki dhidi ya mtoto huyu na pia tunapenda kuwakumbusha walimu wote kuwa adhabu kwa mwanafunzi zimebainishwa kisheria hivyo ni vyema kutoa adhabu kulingana na utaratibu wa kisheria...
Tunawapa pole sana na M/Mungu ailze roho ya marehemu mahali pema peponi Ameeen.

14/07/2018

Kinondoni hodiii tunawafikia hivi karibuni lengo letu haswaa ni kuboresha elimuu !!Elimu ndio ufunguo wa maisha !! Jiandae kwa kushiriki mashindano ya uandishi challenge** # # #**

09/07/2018

Uandishi challenge is a new project which will start soon
Participants will be all primary students who wish to join us in this challenge ....
Students will be given a certain title and will be allowed to write in any format whether in a speech format or story format or anything else your welcome
Winners will be awarded according to their performance!!WELCOME** # # #**

Constitution is every in any organization it help to direct the organization goals and focus  !!it act as a pillar of an...
30/06/2018

Constitution is every in any organization it help to direct the organization goals and focus !!it act as a pillar of an organization it bind the organization members to the organization rules it guide the organization and run it smoothly..** #**

14/06/2018

Tunapenda kuwatakia Eid njema

11/05/2018

Do you wish to join our organization if yes plz let's meet tommorow at ubungo plaza on 3.00pm.. We will be having the meetn there ... Plz confirm your presence through wasap 0659451727

Address

P. O. BOX
Dar Es Salaam

Telephone

0659451727

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Education Improvement Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category