Tpsc Muslim Students Association - Tmusa
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tpsc Muslim Students Association - Tmusa, Dar es Salaam.
Hii ni page ya jumuiya ya wanafunzi wa kiisilamu chuo cha utumishi wa umma Tanzania wote mnakalibishwa kujiunga na page hii , TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE - DAR CAMPUS
Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Abdallah Yusuph, Wazir Hafidh Shemashilu
27/06/2022
Follow this link to join my WhatsApp group:
❤️MAWADA YA NDOA GROUP 2🌹 WhatsApp Group Invite
hl
13/03/2020
NGOJA NIONGEE HILI KWA WANAUME NA WANAWAKE
❤️❤️❤️❤️❤️
Na. Admin
🌹🌹🌹
✍️Kama unaona ni sawa kumtoa mwenzako machozi kila siku basi jua sio sawa na moyoni mwake tayari kuna vidonda vinavyoelekea kupona kisha yabakie makovu. Hatujaumbiwa usaliti ila tunafanya kwa tamaa zetu za kibinadamu.
Inawezekana hata wewe unayesoma hapa umeumizwa na kusalitiwa vya kutosha na bado hujui nini cha kufanya na upo tuu na huyo ambae ni sababu ya maumivu yako.
Kuna wakati hata k**a ni ngumu kutoka hapo labda kwa sababu mpo kwenye ndoa basi ni vyema kupata tiba ya kuweka akili na hisia zako sawa ili furaha iweze kurudi.
Wote tunahitaji furaha katika mahusiano!
Hatuhitaji kila siku kujutia mahusiano tuliyopo bali yabidi mwanga na mwelekeo uonekane. Unadhani umekwama sehemu na unahitaji usaidizi?
Karibu tuzungumze TUJIFUNZE na KUJADILIANA katika group letu la whatsApp "MAWADDA YA NDOA. ", upate USHAURI na MWONGOZO wa KISAIKOLOJIA na hakika furaha yako maishani itarejea.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Follow this link to join my WhatsApp group:
WhatsApp Group Invite WhatsApp Group Invite
03/02/2020
*HII NDIO NJIA BORA YA KUMUONESHA HESHIMA MUMEO/MKEO*
🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Miongoni mwa aina bora kabisa za heshima ni kusikiliza mwenzako anachosema.
Katika ndoa yako k**a kuna kitu ambacho kinakufanya kutomsikiliza VIZURI mwenza wako kitafakari na uanze kufanya kinyume chake.
Kwa mfano, k**a unamkatisha mwenzako pindi anapozungumza nawe, anza kufanya kinyume chake. Tulia na umsikilize bila kumkatisha.
Uzoefu wangu unaonesha kuwa kumpa mwenza wako umakini WOTE anapozungumza ndio kitu rahisi kabisa unachoweza kukifanya ili kuwa msikilizaji mzuri. Anapozungumza weka simu pembeni au chochote kinachokuondolea umakini wa kumsikiliza na umakinike kwenye kusikiliza ujumbe wake.
Nawatakia ndoa njema.
Follow this link to join my WhatsApp group:
❤MAWWADA YA NDOA 🌹 WhatsApp Group Invite
03/02/2020
Follow this link to join my WhatsApp group:
❤MAWWADA YA NDOA 🌹 WhatsApp Group Invite
28/11/2019
*🌺☆NASAHA MUR'WAH☆🌺*
*{ 32 }*
*●▬▬▬ஜ۩۞۩ஜ▬▬▬●*
♦♦♦♦♦♦♦♦♦
*WATU GANI WATAKUA NI WATU WENYE KUJUTA SIKU HIYO......?*
*(B)*
*🎇 قوم ادا سمعوا النداء الى الصلاة اعرضوا ...*
♦ Ni watu ambao pindi wasikiapo wito wa ibada ya sala (Adhana) wanapuuza.
*🎇 واذا دعوا الى الهدى عاندوا ورفضوا ...*
♦ Na wanapo itwa katika uongofu hukaidi na kutupilia mbali wito huo.
*🎇 اذا رات اعينهم طريق الخير اغمضوا ...*
♦ Pindi macho yao yanapo iona njia ya kheri huyainamisha na kujifanya k**a hawajaona.
*🎇 سرقت الدنيا قلوبهم فهم بها منشغلون.*
♦ Nyoyo zao zimetekwa na dunia basi wao wanakua ni wenye kushughulika na dunia (Huku wameisahau akhera yao)
*{يَعۡلَمُونَ ظَٰهِرٗا مِّنَ ٱلۡحَيَوٰةِ ٱلدُّنۡيَا وَهُمۡ عَنِ ٱلۡأٓخِرَةِ هُمۡ غَٰفِلُونَ}*
Wanajua hali ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na Akhera.
-Sura Ar-Rum, Ayah 7
*{إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَعِبۡرَةٗ لِّأُوْلِي ٱلۡأَبۡصَٰرِ}*
_*Hakika katika hayo yapo mazingatio kwa wenye macho.*_
•┈┈••✾•◆🔮◆•✾••┈┈•
_✍🏽By:_
*Ukhty Sophia Abdallah.*
FaidikaNaMawaidha.
*"Jiunge Leo Upate Chakula Cha Roho"*
*📲+96899420700*
*📲+255777690004*
*📲+96879056144*
28/11/2019
Click here to claim your Sponsored Listing.