Yellowstone Nursery n Primary School

Yellowstone Nursery n Primary School Yellowstone nursery & primary school is located at
Pugu majohe kichangani..near kwa mustafa or ķig

Karibuni sana Yellowstone schools..namba za simu 0713830629 tunaendelea kupokea wanafunzi wapya
28/11/2025

Karibuni sana Yellowstone schools..namba za simu 0713830629 tunaendelea kupokea wanafunzi wapya

Hongereni sana kwa kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba mtihani wa taifa…Kati ya wanafunzi 38 A-30 B-8…Karibu...
05/11/2025

Hongereni sana kwa kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba mtihani wa taifa…Kati ya wanafunzi 38 A-30 B-8…Karibu sana Yellowstone school kwa elimu bora ya mtoto wako

Baada ya kutembelea maeneo mbalimbali bagamoyo walipata wasaa wa kula kuogelea na kuendelea kufurahia safari
27/06/2025

Baada ya kutembelea maeneo mbalimbali bagamoyo walipata wasaa wa kula kuogelea na kuendelea kufurahia safari

Walipata kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo makumbusho ya utumwa ya caravan serai,ikulu ya mjerumani,mji wa kihistoria...
27/06/2025

Walipata kutembelea maeneo mbalimbali ikiwemo makumbusho ya utumwa ya caravan serai,ikulu ya mjerumani,mji wa kihistoria wa kaole,historia ya kanisa katoliki,mbuyu wa kwanza kabisa kupandwa,kaole snake park n.k

Hongereni sana kwa matokeo mazuri shule yetu..ushirikiano kati ya wanafunzi walimu na wazazi hakika umezaa matunda..Kari...
04/01/2025

Hongereni sana kwa matokeo mazuri shule yetu..ushirikiano kati ya wanafunzi walimu na wazazi hakika umezaa matunda..Karibuni sanaa

Hongereni sana shule yetu kwa matokeo mazuri ya Darasa la 7 mtihani wa taifa..Tumekua Daraja A-yani “Bora”. A-22 B -8 Ua...
01/11/2024

Hongereni sana shule yetu kwa matokeo mazuri ya Darasa la 7 mtihani wa taifa..Tumekua Daraja A-yani “Bora”. A-22 B -8 Uandikishaji unaendelea Chekechea mpaka la saba ☎️ 0713830629

Hongereni sana shule yetu  kwa matokeo mazuri ya Darasa la saba mtihani wa taifa..tumekua Daraja A-yani “Bora”…Asante Mu...
29/10/2024

Hongereni sana shule yetu kwa matokeo mazuri ya Darasa la saba mtihani wa taifa..tumekua Daraja A-yani “Bora”…Asante Mungu ….karibu sana uandikishaji unaendelea Chekechea mpaka la saba
Wastani A-22 B -8

Karibuni sana -0713830629
30/09/2024

Karibuni sana -0713830629

16/09/2024
May God guide the seventh graders as they begin the national exams today... Mungu akawaongoze darasa la saba wanapoanza ...
11/09/2024

May God guide the seventh graders as they begin the national exams today...

Mungu akawaongoze darasa la saba wanapoanza mitihani yao ya taifa leo…

Wanafunzi wapya karibuni sana  0748777000 na 0713830629
04/06/2024

Wanafunzi wapya karibuni sana 0748777000 na 0713830629

Address

Majohe Kichangani. . . . Near Kigogo Or Kwa Mustafa Bus Station
Dar Es Salaam

Telephone

+255713830629

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yellowstone Nursery n Primary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Yellowstone Nursery n Primary School:

Shortcuts

Share

Category