25/08/2026
🌙 HERI YA MAULID! 🕌✨
Tanzania Institute of Project Management (TIPM) inawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla Maulid yenye baraka, amani na furaha.
Tunapoadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), tukumbuke na kuenzi tunu za upendo, amani, huruma, umoja, uadilifu na kusaidiana katika kujenga jamii bora.
🤲 Mwenyezi Mungu atujaalie amani, mshikamano na baraka katika familia zetu na taifa letu.
TIPM – Your Partner in Project Management
Upendo Tanzania