30/01/2025
Je Mwanao amemaliza kidato cha Nne na Ungependa kumwandaa kufanya uchaguzi mzuri wa kidato cha tano. Karibu sana tukuhudumie.
Our Vision: Children and youths thrive and succeed at school, Work place and Life
We envision Children and Youth who succeed at School, Work and Life through providing lifelong learning to build skills and competencies for 21st Century
30/01/2025
Je Mwanao amemaliza kidato cha Nne na Ungependa kumwandaa kufanya uchaguzi mzuri wa kidato cha tano. Karibu sana tukuhudumie.
16/11/2022
AFYA YA AKILI KWA WATOTO
Sasa unaweza kufanya Child's Mental Health Test kuanzia watoto wa miaka 3 na kujua mwanao k**a yupo hatarini kupata ugonjwa wa Akili. Kumbuka dalili za kukosa afya ya akili kwa watoto hudhirika zaidi kupitia tabia. Ni tofauti na watu wazima. Tutampima mwanao na kukushauri cha kufanya mahali popote ulipo kwa mchango mdogo sana! Kwa maelezo zaidi Tuwasiliane!
13/11/2022
Kongamano la Kubadilisha Fikra za Vijana.
Vijana wanahitaji sana taarifa sahihi ili kufanya maamuzi sahihi.
Learning Minds Africa DSM imeandaa kongamano mahususi kwa ajili ya kuwapatia vijana uelewa muhimu wa kuwasaidia kufanya maamuzi na kufanikiwa maishani.
Karibu sana
Kwa kujiandikisha na mawasiliano zaidi piga namba katika Posta.
Karibu sana upate CV muhimu sana itakayokusaidia kupenya kwenye ushindani wa soko la ajira.
in the crowd
12/10/2022
Call us now.. 0765530267.
12/10/2022
Mental health matters.
help.
Our team is here for you.
11/10/2022
Leo ni siku ya mtoto wa k**e duniani.
Kauli mbiu: Muda ni Sasa, haki zetu; mustakabali wetu.
sisi k**a taasisi ya learning Minds Africa tunajali na kusapoti harakati za kuandaa mustakabali wa mtoto wa k**e kwa kuwajengea stadi za muhimu za maisha zitakazowawezesha kufaulu katika maeneo ya shule, kazini na maishani.
Tunatoka huduma/mafunzo ya malezi Kwa watoto, na stadi za maisha na uwezo endelevu wa fani kazi katika maisha yake.
Karibu sana ofisini kwetu kijitonyama, sayansi tukuhudumie Kwa huduma Bora na za kitaalamu kabisa..
Tupigie Sasa: 0756341172.
05/08/2022
Ahsanteni sana Wazazi ambao mliwezesha watoto wenu kufika kwenye semina ya Malezi kwa vijana leo. Hakika mtoto wako amepata kitu cha kumsaidia kuweza kujenga hatima iliyo bora.
Kila siku watoto na vijana wetu wanakabiliwa na maamuzi na ili waweze kufanya maamuzi wanahitaji taarifa sahihi. Hatuna haki ya kuwalaumu vijana au watoto k**a hatuwekezi katika kuwapatia taarifa za kuwasaidia kufanya maamuzi sahihi. Learning Minds Africa ipo kukuhudumia
25/07/2022
Semina Mahususi kwa ajili ya kuwasaidia vijana ( adolescents) kujitambua. Je Unajua vijana wengi wadogo wanaadhiriwa sana na Makundi Rika na wanajikuta wametumbukia kwenye tabia ngumu zinazogharimu HATIMA zao? Learning Minds Africa imeandaa Semina hii Mahususi kwa ajili ya kuokoa HATIMA za vijana wetu. Mwandikishe Mwanao sasa.
25/07/2022
Do you need Resume which will sell you in a competitive Job Market. We are here to Support you, give us a call.