St. Augustine Secondary School - Dar Es Salaam

  • Home
  • St. Augustine Secondary School - Dar Es Salaam

St. Augustine Secondary School - Dar Es Salaam Shule ya Sekondari ya Mt. Augustino ipo katika kata ya Saranga, Tarafa ya Ubungo, Wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar Es Salaam. Augustino (OSA).

Shule hii ipo umbali wa kilomita 3 kutoka barabara kuu iendayo Morogoro upande wa kulia. Shule hii ni ya Kanisa Katoliki inayomilikiwa na Shirika la Mt. Shule hii inaendeshwa kwa kufuata taratibu zote za wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, yaani sharia ya Elimu Na. 25 ya 1978 na marekebisho yake ya Na. 10 ya mwaka 1995. Shule hii ni ya mchanganyiko inapokea wanafunzi wa jinsia zote bila kujali d

ini, dhehebu, kabila au rangi. Shule hii kwa sasa ni ya bweni. Mwaka 2014 iliaanza, na sasa ina kidato kwanza hadi cha sita.

Form Six Boys 2024/25
28/02/2025

Form Six Boys
2024/25

Warmest congratulations on your achievement! Wishing you even more success in the future.
30/01/2023

Warmest congratulations on your achievement! Wishing you even more success in the future.

31/05/2022
Pongezi kwa matokeo mazuri
15/01/2022

Pongezi kwa matokeo mazuri

27/03/2021
Congratulations! Keep going higher!
15/01/2021

Congratulations! Keep going higher!

St. Augustine Tagaste Secondary School
02/09/2020

St. Augustine Tagaste Secondary School

Thanks U.S. Embassy Tanzania for Visiting Our School and sharing with us different opportunities in U.S. Schools.
01/02/2020

Thanks U.S. Embassy Tanzania for Visiting Our School and sharing with us different opportunities in U.S. Schools.

17/01/2020
Pongezi kwa matokeo mazuri kidato ll
10/01/2020

Pongezi kwa matokeo mazuri kidato ll

Kwa mara ya kwanza kumi bora kitaifa. Hongereni sana wanafunzi, walimu, wazazi, walezi na wadau wengine wote kwa matokeo...
09/01/2020

Kwa mara ya kwanza kumi bora kitaifa. Hongereni sana wanafunzi, walimu, wazazi, walezi na wadau wengine wote kwa matokeo haya mazuri sana.

Address

P. O. Box 62170 Dar Es Salaam, Tanzania

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Augustine Secondary School - Dar Es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your school to be the top-listed School/college?

Share