Teacher love

Teacher love USHAURI WA MAPENZI NA ELIMU YA NDOA

02/10/2021
Katika maadili ya ndoa na kujistili kwamba maumbile ya mwili wako utakiwi kuyaonesha wazi sababu umeolewa ni ya mume wak...
09/02/2021

Katika maadili ya ndoa na kujistili kwamba maumbile ya mwili wako utakiwi kuyaonesha wazi sababu umeolewa ni ya mume wako tu sio unapost picha mtandaoni umegeuka nyuma watu waone mtuno wa makalio tako wakati wewe ni mke wa mtu na unaijua dini ..

Aise wanawake wanaoijua dini katika kujistili kati ya wanawake wa kislam na kikiristo wanawake gani wakiijua duni vizuri wanatambua mwili wake ni wa mume wake na autakiwi uwe wazi mbele za watu au mtandaoni

naomba maoni yako na ambatanisha na elimu ili wajifunze au mafunzo ya imani yanawaambia ni sawa tu kutojistili tatizo liko wapi

Mambo zenu
08/02/2021

Mambo zenu

Address

HIMO
Dar Es Salaam
UPENDONITUNDALAROHO

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Teacher love posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category