Meizona Day Care

Meizona Day Care

Share

Day Care Center

20/07/2023
20/07/2023

MEIZONA Day Care Center
Tupo Tegeta Wazo- Bwawani
Tunapokea watoto kuanzia miaka miwili,
Mlete mwanao apate Elimu ya awali ambayo itamjengea msingi Imara sana kimwili na kiroho.
Namba zetu za simu ni 0766505630 na 0652992096

03/02/2023

Karibu MEIZONA Day Care Center, tunaendelea kupokea watoto Kwa mwaka huu wa 2023, huduma zetu ni Bora sana na gharama zetu ni nafuu mno. Tupo Tegeta - Wazo- Bwawani.
Ofisi zetu zipo wazi kuanzia saa Moja kamili asubuhi mpaka saa kumi na Moja kamili jioni. Jumatatu mpaka Jumamosi.
Kwa mawasiliano piga 0766505630, 0652992096

03/02/2023

MEIZONA Day Care Center
Tupo Tegeta -Wazo- Bwawani namba zetu ni 0766505630, 0652992096

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Tegeta/Wazo
Dar Es Salaam