Punguza uzito kwa haraka kiafya na happy salvatory

Punguza uzito kwa haraka kiafya na happy salvatory Ungana nasi tupunguze uzito kiafya bila kutumia dawa ya aina yeyote Ile..inawezekana kabisa.

85000 kubwa kg 3 kg 2 kg 1 nzuri mnooo mnooo boss zangu0754 983801
07/02/2025

85000 kubwa kg 3 kg 2 kg 1 nzuri mnooo mnooo boss zangu
0754 983801

Hebu fanya jambo kwa umpendae..Hivi mnajua kitenge kina upendo flani hivi ambao aulinganishwi na kitu Kingine ..Kwa kuse...
28/05/2024

Hebu fanya jambo kwa umpendae..
Hivi mnajua kitenge kina upendo flani hivi ambao aulinganishwi na kitu Kingine ..
Kwa kusema hivyo
Naomba mnunulie umpendae
Ni elfu 30 tuu
Vipo vingi ukihitaji nakutumia picha unachagua
0754983801

Kunyonyesha tuu si kazi rahisi hasahasa k**a hushindi nyumbani unatoka kwenda kwenye mihangaikooo..inahitaji moyo ..utay...
25/03/2024

Kunyonyesha tuu si kazi rahisi hasahasa k**a hushindi nyumbani unatoka kwenda kwenye mihangaikooo..inahitaji moyo ..utayari wa ndani kabisaaaa.. wale tunanyonyesha na kukamua mnaendeleaje huko bado miez mingapi mtoto afunge 6 ..mtatoboa 6 bila kumpa kituuuu ??? Mim bado napambana tunakimbizia miez 5

Kundi lipo ma watu wanaendelea na mapambano ya kupunguza uzito kiafya  .Karibu 0754983801Nawe ujiunge
24/03/2024

Kundi lipo ma watu wanaendelea na mapambano ya kupunguza uzito kiafya .
Karibu
0754983801
Nawe ujiunge

Client plate0754983801Karibu tupunguze uzito kiafya
23/03/2024

Client plate
0754983801
Karibu tupunguze uzito kiafya

Nidhamu nidhamu nidhamu kwenye kula Na kwenye kufanya mazoez wewe kupungua ni swala jepesi sana
29/02/2024

Nidhamu nidhamu nidhamu kwenye kula
Na kwenye kufanya mazoez wewe kupungua ni swala jepesi sana

Hata wewe unaweza Anza leoooo Usiogope garama utakula vyakula vinavyopatikana kwenye mazingira yako Sawa eehKaribu sasa ...
13/02/2024

Hata wewe unaweza Anza leoooo
Usiogope garama utakula vyakula vinavyopatikana kwenye mazingira yako Sawa eeh
Karibu sasa ungane nasi upunguze uzito kiafya

Kwenye picha ni mimi mwenyewe Kiufupi nakufundisha kitu ninachokijuaNawakaribisha tupunguze uzito kiafyaa0754983801What'...
08/02/2024

Kwenye picha ni mimi mwenyewe
Kiufupi nakufundisha kitu ninachokijua
Nawakaribisha tupunguze uzito kiafyaa
0754983801
What's app

Wale wa hiviYaani mim kitambi changu nikuambie tuuuKwanza hakiniumii..hakiniwashii..wala hakininyimi rahaaa..Nawasalimia...
06/02/2024

Wale wa hivi
Yaani mim kitambi changu nikuambie tuuu
Kwanza hakiniumii..hakiniwashii..wala hakininyimi rahaaa..
Nawasalimia
Vipi 2024
Mtaungana nasi tupunguze uzito kiafya au bado mpoo na sera yenu??
0754983801
What's app
Tupunguze uzito kiafya

Tunakula... tunashiba...tunapungua  .tunapendeza..na hatutumii dawa ya aina yeyote..K**a bado hujajiunga nasi chakua no ...
06/02/2024

Tunakula... tunashiba...tunapungua .tunapendeza..na hatutumii dawa ya aina yeyote..
K**a bado hujajiunga nasi chakua no uje what's app
0754983801

Siku zote mimi ni mwalimu ambaye nampongeza mwanafunz wangu hata k**a amepunguza 0.5kg yaani naamini siyo Sawa na bure K...
31/01/2024

Siku zote mimi ni mwalimu ambaye nampongeza mwanafunz wangu hata k**a amepunguza 0.5kg yaani naamini siyo Sawa na bure Kuna kitu amepunguza....
Kwa hiyo wewe unaepambana na kupunguza uzito kiafya usikate tamaa kwa kuona unapunguz kg chache kwa mwez nakuambia tuu ukitoa hata 3 kwa mwez jipongeze umepiga hatua..hebu ona futa la kilo 2.5 lilivyo kubwa

Yaani k**a wewe bado hujajisajili na challenge ya ya mwez wa pili nikuambie tuu utapitw na mengi .ona watu walivyoamua k...
28/01/2024

Yaani k**a wewe bado hujajisajili na challenge ya ya mwez wa pili nikuambie tuu utapitw na mengi .ona watu walivyoamua kujikoki kwa kununua vifaa vya kufanyia mazoez hii inaitwa n Vita muraaa ya kupunguza uzito muraaa watu wanataka kuwa portable muraaa utabaki wewe tuu unayejihurumiaaa..
0754983801
Njoo what's app nawe uwe mmojawapo tupunguze uzito kiafya

Address

Happy Salvatory
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

0754983801

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Punguza uzito kwa haraka kiafya na happy salvatory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category