π—•π—œπ—Ÿπ—œ π— π—œπ—‘π—— 𝗗π—₯π—˜π—”π—  π—žπ—œπ——π—¦ π—¦π—–π—›π—’π—’π—Ÿ

  • Home
  • Tanzania
  • Dar es Salaam
  • π—•π—œπ—Ÿπ—œ π— π—œπ—‘π—— 𝗗π—₯π—˜π—”π—  π—žπ—œπ——π—¦ π—¦π—–π—›π—’π—’π—Ÿ

π—•π—œπ—Ÿπ—œ π— π—œπ—‘π—— 𝗗π—₯π—˜π—”π—  π—žπ—œπ——π—¦ π—¦π—–π—›π—’π—’π—Ÿ Discover.learn.become

11/12/2025
Kipindi cha krisimasi...ukiwa unatafakari  namna utachagua shule sahihi ambayo itakuwa bora kitaaluma na gharama nafuu z...
07/12/2025

Kipindi cha krisimasi...ukiwa unatafakari namna utachagua shule sahihi ambayo itakuwa bora kitaaluma na gharama nafuu za Ada.

Usikose kufuatilia . Kwani ni shule ambayo itakusaidia kumaliza utata wa mawazo yako.

Wasiliana nasi 0787260921/0750640282.

Tupo Dar es salaam -chanika Buyuni kigezi.

07/12/2025

Come to get together 2026.

05/11/2025

Vijana wanasoma bila wasiwasi.
Mlete kijana wako apate elimu bora. Endelea kufuatilia post zetu.

Tunaendelea kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza mwaka 2026.Wazazi tunawakaribisha bili mindTupo BUYUNI kigenzi.075...
05/11/2025

Tunaendelea kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza mwaka 2026.

Wazazi tunawakaribisha bili mind
Tupo BUYUNI kigenzi.
0750640282.

05/11/2025
BILI MIND NI SEHEMU MTOTO AKIWEPO HUJISIKIA AMANI.TUNA MICHEZO INAYO CHECHEMUA AKILI NA SIO BEMBEA.
05/11/2025

BILI MIND NI SEHEMU MTOTO AKIWEPO HUJISIKIA AMANI.

TUNA MICHEZO INAYO CHECHEMUA AKILI NA SIO BEMBEA.

Tunawakaribisha wazazi walezi wanaoishi mjini Chanika; sisi tunapatikana kwenye kata ya Buyuni mtaa wa kigezi juu.Tunapo...
21/01/2025

Tunawakaribisha wazazi walezi wanaoishi mjini Chanika; sisi tunapatikana kwenye kata ya Buyuni mtaa wa kigezi juu.
Tunapokea watoto wa day care na msingi mwaka mmoja (1) kwa day care
Primary kuanzia Darasa la kwanza hadi la tatu
Karibuni mpatie mtoto wako elimu bora ya malezi na taaaluma Bora kwakumuandikisha Bili mind dream kids school.

Ada zetu ni nafuu na unalipa awamu (4)

Wasiliana nasi kupitia namba hizi 0719609969 au 0787260921

❀️❀️🎯Karibu  Tangazo letu mpya la shuleni unalipa asilimia ngapi ???Usisahau kutu follow on.Tunawatakia weekend njema.Na...
19/01/2025

❀️❀️🎯
Karibu

Tangazo letu mpya la shuleni unalipa asilimia ngapi ???

Usisahau kutu follow on.

Tunawatakia weekend njema.

Na maandalizi ya shule jumatatu.

Address

Chanika Kigezi Juu
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 16:00
Tuesday 07:00 - 16:00
Wednesday 07:00 - 16:00
Thursday 07:00 - 16:00
Friday 07:00 - 15:00

Telephone

+255719509969

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when π—•π—œπ—Ÿπ—œ π— π—œπ—‘π—— 𝗗π—₯π—˜π—”π—  π—žπ—œπ——π—¦ π—¦π—–π—›π—’π—’π—Ÿ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category