30/05/2026
1 Day to Go!
Umeshajaza Form ya Kupokelea Gawio la CRDB?
○ K**a wewe ni Mwanahisa wa CRDB hakikisha umejaza Form
○ K**a bado sio Mwanahisa Anza na Elimu ya Uwekezaji kwanza Kisha Uanze kuwekeza ili Awamu ijayo uwe miongoni mwa Wanahisa watakaopokea Gawio.
Kwa Elimu ya Uwekezaji Follow Account na comments NIFUNZE