Akili Education Study Abroad

Akili Education Study Abroad Tunakusaidia kupata vyuo bora nje ya nchi kwa gharama nafuu ya kuanzia milioni 8 kwa mwaka

09/08/2026

Watanzania, kaeni mkao wa kula. Akili Education tunakuja!

Kwa miaka mingi mzazi wa Kitanzania akisikia mtoto anataka kwenda kusoma Malaysia, kitu cha kwanza kinachokuja kichwani ni gharama.

Milioni 30, 40 mpaka zaidi kwa mwaka.

Kwa familia nyingi, hapo ndipo ndoto inaishia.

Lakini sisi Akili Education tumejiuliza swali moja...

Kwanini elimu bora ya Malaysia ibaki kuwa fursa ya watoto wa familia chache zenye uwezo mkubwa pekee?

Ndiyo maana safari imeanza.

Muda huu Balozi wetu Maulid Kitenge yupo njiani kuelekea Malaysia kwa mission moja kubwa:

KUVUNJA BEI. ๐Ÿ”ฅ

Tunakwenda kukutana na vyuo vikuu, kufanya mazungumzo ya moja kwa moja, kutafuta scholarships na kujenga partnerships zitakazowezesha Watanzania kupata elimu bora Malaysia kwa gharama nafuu zaidi.

Na hatutaki kuishia kuangalia brochures.

Tutakwenda vyuoni wenyewe.

Tutaangalia mazingira ya kusomea.

Tutaangalia hostels.

Tutaangalia kozi zao.

Tutazungumza na management.

Na tutawaonyesha Watanzania kila kitu tutakachokikuta huko.

Tunataka Malaysia iwe destination nyingine kubwa kwa wanafunzi wa Akili Education wanaotaka kusoma Artificial Intelligence, Cyber Security, Data Science, Engineering, Business, Health Sciences na kozi nyingine za mwaka wa mbele.

K**a tuliweza kuwafungulia Watanzania milango ya India kwa gharama ambazo zamani zilionekana haziwezekani...

Sasa macho yetu yapo Malaysia. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡พ

Hatuwezi kuahidi bei kabla mazungumzo hayajakamilika.

Lakini tunaweza kuwaahidi kitu kimoja:

TUNAENDA KUPAMBANA NA BEI.

Siku chache zijazo tutaanza kuwaonyesha vyuo, kozi, mazingira na gharama tutakazofanikiwa kupata.

Kwa hiyo mzazi au mwanafunzi uliyekuwa unatamani Malaysia lakini ukakatishwa tamaa na gharama...

Usiondoke hapa. Kaa mkao wa kula.

Safari ndiyo kwanza imeanza. ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‡ Comment โ€œMALAYSIAโ€ k**a unataka tukupe taarifa za kwanza kabisa kuhusu vyuo na bei tutakazokuja nazo.

๐Ÿ“ž 0793939320
๐Ÿ“ Akili Education, ITV Road โ€“ Jengo la Neolife

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡พ Tukutane Malaysia. Akili Education tunakuja!

Mzazi mwenye akili hawezi kupita post hii bila kuisoma mpaka mwisho.Dunia ya fedha inabadilika kwa kasi! Benki sasa hazi...
09/08/2026

Mzazi mwenye akili hawezi kupita post hii bila kuisoma mpaka mwisho.

Dunia ya fedha inabadilika kwa kasi! Benki sasa hazihitaji wahasibu wa kawaida pekee; zinahitaji wataalamu wanaoelewa fedha, biashara, Artificial Intelligence, digital payments na usalama wa mifumo ya kifedha.

Hii ndiyo sababu B.Com FinTech & Artificial Intelligence si B.Com ya kawaida. Mtoto anajifunza Commerce pamoja na teknolojia inayotawala benki na biashara za kisasa.

Kozi hii ina modules zinazotisha k**a vile

๐Ÿ”ฅ Artificial Intelligence & Machine Learning in Finance
๐Ÿ”ฅ Blockchain Technology & Cryptocurrency
๐Ÿ”ฅ Cybersecurity & Fraud Detection
๐Ÿ”ฅ Digital Payments & Payment Systems
๐Ÿ”ฅ Financial Modelling & Analytics
๐Ÿ”ฅ FinTech Entrepreneurship & Innovation

Akimamaliza, anakuwa na uwezo wa kufanya kazi kwenye benki, kampuni za bima, microfinance, investment firms, mobile-money companies na FinTech startups.

Anaweza pia kuringa kwa kuzikataa ajira na kuwa FinTech consultant, akazisaidia taasisi hizo kuboresha digital payments, kupunguza utapeli na kutumia AIโ€”halafu akawalipisha consultancy fee nzuri!

Uzuri zaidi, kozi hii ni industry-integrated with Paytm, moja ya kampuni kubwa za teknolojia ya fedha nchini India, inayojulikana kwa digital payments, mobile wallet na huduma mbalimbali za kifedha. Hivyo mwanafunzi haishii kwenye theory; anaandaliwa kulingana na mahitaji halisi ya industry.

Kozi inapatikana India kwa bajeti ya takribani TZS milioni 12 kwa mwaka, ikijumuisha:

โœ… Ada ya chuo
โœ… Malazi
โœ… Chakula

Bahati mbaya, nafasi zimebaki 3 tu kwa intake hii. Ukichelewa, mwanafunzi wako anaweza kusubiri intake nyingine huku wenzake wakianza safari yao kuelekea kuwa wataalamu wa fedha na teknolojia.

Akili Education tutakusaidia kwenye uchaguzi wa chuo, udahili, scholarship, nyaraka, visa hadi maandalizi ya safari.

Andika โ€œFINTECHโ€ kwenye comment au tutumie ujumbe sasa ili tumshikie mtoto wako moja ya nafasi tatu zilizobaki.

๐Ÿ“ž 0793 939 320
๐Ÿ“ Ofisi: ITV Road, Neolife Building

09/08/2026

Wakati baadhi ya wazazi wa Dar es Salaam bado wamelala wakiamini kuwa kusoma nje ya nchi ni kwa watoto wa matajiri pekee, wazazi wa mikoani wameamka!

Kutoka Mwanza, Arusha, Singida, Dodoma, Mbeya na mikoa mingine, wazazi wanasafiri hadi uwanja wa ndege kuwasindikiza watoto wao kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi.

Hawaoni tena kwenda kusoma India, Dubai, Malaysia au nchi nyingine k**a anasa. Wamegundua kuwa ni uwekezaji unaoweza kumwandaa mtoto kwa soko jipya la ajira duniani.

Ndiyo maana watoto unaowaona kwenye video hii hawajaenda kusoma kozi za kawaida. Wamechagua kozi zinazotawala dunia ya sasa na zijazo k**a:

Cyber Security, Data Science, Artificial Intelligence, Computer Science, Software Engineering na nyingine nyingi.

Wazazi hawa wameelewa kuwa dunia inabadilika kwa kasi.

Leo karibu kila benki, hospitali, kampuni ya mawasiliano, taasisi ya serikali na biashara binafsi inahitaji wataalamu wa teknolojia, data na usalama wa mifumo.

Cha kushangaza ni kwamba baadhi ya wazazi wa mikoani walifika Akili Education wakidhani kusomesha mtoto nje ya nchi kunahitaji zaidi ya milioni 30 kwa mwaka.

Baada ya kupewa maelezo, waligundua kuwa katika baadhi ya nchi mtoto anaweza kusoma, kuishi hostel na kupata chakula kwa bajeti inayoanzia milioni 8 kwa mwaka.

Kusoma nje ya nchi si suala la kuishi Dar es Salaam. Ni suala la kupata taarifa sahihi, kuchagua kozi yenye nafasi za baadaye na kuanza maandalizi mapema.

Mzazi wa Mwanza, Arusha, Singida, Dodoma, Mbeya, Kigoma, Kagera, Geita, Tabora na mikoa mingine, huna haja ya kuhama mkoa ndipo mtoto wako apate nafasi. Akili Education inaweza kukuhudumia ukiwa popote Tanzania.

Tutakusaidia kuchagua nchi, chuo na kozi inayolingana na uwezo wa mtoto pamoja na bajeti yako. Pia tutasimamia application, admission, visa, maandalizi ya safari na kumpokea mwanafunzi anapofika katika nchi anayoenda kusoma.

K**a una mtoto aliyemaliza Form Four, Form Six, Diploma au Bachelor, usisubiri nafasi za kawaida zimfanye apoteze ndoto zake. Tutumie matokeo yake tukufanyie ushauri wa kozi na gharama bila kupoteza muda.

Wazazi wa mikoani mmeamka, sasa ni wakati wa kuwapa watoto nafasi ya kushindana duniani.

Phone: 0793939320
Office: ITV Road, Neolife Building, Mwenge

Jumatatu hii si siku ya kawaida kwetu.Ni siku ambayo ndoto za zaidi ya wanafunzi 200 zitaanza rasmi kutimia.Kutoka Uwanj...
02/08/2026

Jumatatu hii si siku ya kawaida kwetu.

Ni siku ambayo ndoto za zaidi ya wanafunzi 200 zitaanza rasmi kutimia.

Kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, wanafunzi wetu wataanza safari kuelekea India kuanza maisha mapya ya elimu ya kimataifa.

Na kwa sababu safari kubwa inahitaji maandalizi makubwa...

Leo tunafurahi kuzindua rasmi Akili Education Travelling Kit.

Kila mwanafunzi atasafiri akiwa amebeba utambulisho wa familia ya Akili Education.

๐Ÿงข Kofia.

๐Ÿ‘• T-shirt.

๐Ÿ“’ Notebook.

๐Ÿ”‘ Keyholder.

Vyote vikiwa vimebeba nembo ya Akili Education.

Lakini kitu tulichokipenda zaidi ni ujumbe uliopo kwenye keyholder yetu...

"Elimu ni ufunguo wa maisha, Akili ndiyo keyholder ya huo ufunguo." ๐Ÿ”‘โค๏ธ

Kwa sababu tunaamini kazi yetu haiishii kumpatia mwanafunzi admission.

Tunataka ajivunie kuwa sehemu ya familia ambayo imeamua kubadilisha maisha yake kupitia elimu.

Safari hii pia haitakuwa ya wanafunzi pekee.

Tutakuwa na mzazi mmoja aliyejitolea kuambatana nasi mpaka India ili kujionea kwa macho yake mazingira ambayo watoto wetu wataishi na kusoma.

Na k**a hiyo haitoshi...

Balozi wetu Maulid Kitenge, mzee wa minyama, atatembelea vyuo vyote ambavyo wanafunzi wetu watakuwa wanasoma, ili Watanzania waone kwa macho yao ubora wa mazingira, huduma na maisha ya wanafunzi wetu nchini India.

Hii ndiyo tofauti ya Akili Education.

Hatukupeleki tu chuoni.

Tunatembea na wewe mpaka uhakikishe mtoto wako amefika salama na ameanza safari yake ya mafanikio.

Ndugu mzazi, bado hujachelewa.

Bado unaweza kumpa mtoto wako elimu ya kimataifa kwenye kozi za mwaka wa mbele k**a Artificial Intelligence, Cyber Security, Data Science, FinTech, Cardiovascular Technology na nyingine nyingi.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Masomo nchini India kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka, gharama inayojumuisha ada, malazi na chakula.

๐Ÿ“ž 0793939320

๐Ÿ“ Akili Education, ITV Road โ€“ Jengo la Neolife

Mzazi, kuna jambo moja nataka nikwambie.Mtoto wako atasoma chuoni mara moja tu.Lakini kozi atakayochagua leo inaweza kua...
01/08/2026

Mzazi, kuna jambo moja nataka nikwambie.

Mtoto wako atasoma chuoni mara moja tu.

Lakini kozi atakayochagua leo inaweza kuamua maisha yake kwa zaidi ya miaka 30 ijayo.

Ndiyo maana usikubali kuchagua kozi kwa sababu tu ndiyo zinazojulikana.

Chagua kozi ambazo dunia inazihitaji.

K**a leo ungekuja Akili Education kutuomba ushauri, hizi ni baadhi ya kozi ambazo tungekuonyesha kwa sababu zinaendana na mahitaji ya soko la ajira la kimataifa:

โœ… BBA FinTech & Artificial Intelligence
โœ… BBA Information Technology
โœ… BCA Data Science
โœ… BCA Cyber Security
โœ… BCA Artificial Intelligence
โœ… BBA Logistics & Supply Chain Management
โœ… B.Tech Big Data & AI Analytics
โœ… Bachelor in Cardiovascular Technology
โœ… Bachelor in Renal Dialysis Technology
โœ… BBA Airlines & Airport Management

Utaona jambo moja...

Karibu kila kozi ina kitu kinachohusiana na teknolojia, Artificial Intelligence, data au sekta ambazo zinaendelea kukua duniani.

Hii si bahati mbaya.

Ni kwa sababu dunia ya leo inahitaji wahitimu wanaoweza kutatua matatizo ya kesho, si wale wanaojua nadharia za jana.

Ndiyo maana sisi Akili Education tumekuwa tukisisitiza jambo moja...

Usimpeleke mtoto kusoma kozi kwa sababu ndiyo watu wengi wanaisoma. Mpeleke akasome kozi ambayo itamfanya watu wengi wamtafute baada ya kuhitimu.

Habari njema ni kwamba kozi zote hizi zinapatikana katika vyuo vikuu bora nchini India kwa bajeti ya kuanzia milioni 8 hadi 12 kwa mwaka, gharama inayojumuisha ada, malazi na chakula.

K**a bado hujafanya maamuzi kuhusu mtoto wako, usisubiri mpaka nafasi ziishe.

Karibu Akili Education tukushauri kozi, chuo na nchi inayomfaa mtoto wako kulingana na ndoto zake na mwelekeo wa dunia.

๐Ÿ‘‡ Comment neno "KOZI" tukutumie mwongozo wa kozi hizi na namna ya kujiunga.

๐Ÿ“ž 0793939320

๐Ÿ“ Akili Education, ITV Road โ€“ Jengo la Neolife

๐Ÿšจ CHUO GANI TANZANIA KINA BSC IN FOOD TECHNOLOGY? ๐Ÿค”๐Ÿฅ›๐ŸŒพNauliza kwa sababu naamini kuna wazazi wengi watakaoisoma caption h...
29/07/2026

๐Ÿšจ CHUO GANI TANZANIA KINA BSC IN FOOD TECHNOLOGY? ๐Ÿค”๐Ÿฅ›๐ŸŒพ

Nauliza kwa sababu naamini kuna wazazi wengi watakaoisoma caption hii na kujiuliza kwa mara ya kwanza, "Kumbe kuna Bachelor in Food Technology?"

Lakini je, Bachelor of Science in Food Technology inapatikana Tanzania?

Na k**a ipo, ni vyuo vingapi vinafundisha kozi hii kwa kiwango kinachokidhi mahitaji ya viwanda vikubwa vya chakula duniani?

Pichani ni Destiny.

Baada ya kufanya utafiti wa kutosha, amefanya maamuzi ya busara kwenda kusoma Bachelor of Science in Food Technology katika chuo cha Uttaranchal University, nchini India.

Watu wengi wakisikia Food Technology hudhani ni kupika chakula.

Hapana.

Hii ni sayansi inayohusika na utengenezaji, uhifadhi, ubora, usalama na ubunifu wa bidhaa za chakula.

Ni wataalamu wanaohakikisha maziwa tunayokunywa, juisi, biskuti, mafuta ya kula, vinywaji, nyama zilizochakatwa na bidhaa nyingine nyingi zinafika sokoni zikiwa salama kwa matumizi ya binadamu.

Ndiyo maana wahitimu wa kozi hii wanapata nafasi katika:

๐Ÿญ Viwanda vya chakula na vinywaji.

๐Ÿงช Maabara za kupima ubora wa chakula.

๐Ÿข Mamlaka za usalama wa chakula na viwango.

๐ŸŒ Kampuni za kimataifa zinazozalisha na kusafirisha bidhaa za chakula.

๐Ÿš€ Tafiti, ubunifu wa bidhaa mpya na hata kuanzisha viwanda vyao wenyewe.

Kwa wanafunzi wa CBG na CBN, hii ni moja ya kozi ambazo wazazi wengi hawazijui, lakini soko lake la ajira linaendelea kukua kadri dunia inavyohitaji wataalamu wa kuhakikisha usalama wa chakula.

Hii ndiyo falsafa ya Akili Education.

Hatutafuti tu chuo.

Tunakusaidia kuchagua kozi yenye maisha baada ya graduation.

โณ Udahili wa India unakaribia kufungwa.

Na kesho kutwa, tarehe 3 Agosti, kundi la kwanza la wanafunzi litaondoka kuelekea India likiongozwa na Mkurugenzi wa Akili Education, ambaye atasafiri pamoja na mzazi mmoja ili kujionea mazingira ambayo watoto wao wataishi na kusoma.

K**a bado hujafanya maamuzi kuhusu mtoto wako, huu ndio wakati sahihi.

Karibu Akili Education tukushauri kozi, chuo na nchi inayomfaa mtoto wako kabla nafasi hazijafungwa.

๐Ÿ“ž 0793939320

๐Ÿ“ Akili Education, ITV Road โ€“ Jengo la Neolife

Kuna kozi ukisikia mtoto anakwenda kusoma, unajua kabisa future yake ni ya uhakika.Moja wapo ni Cyber Security.Kadri dun...
28/07/2026

Kuna kozi ukisikia mtoto anakwenda kusoma, unajua kabisa future yake ni ya uhakika.

Moja wapo ni Cyber Security.

Kadri dunia inavyozidi kuhamia kwenye teknolojia, ndivyo mahitaji ya wataalamu wa kulinda benki, hospitali, serikali na kampuni dhidi ya uhalifu wa mtandao yanavyozidi kuongezeka.

Pichani ni Vivian, ambaye Akili Education tunamsaidia kuelekea nchini India kusoma Bachelor in Cyber Security.

Akiwasili, ataungana na Michelle pamoja na Watanzania wengine wanaosoma katika Poornima University, moja ya vyuo vinavyojulikana kwa programu zake za Cyber Security nchini India.

Kinachotufurahisha zaidi ni jinsi safari yake ilivyoanza.

Mzazi wake alitupigia simu na akasema,

"Mwanangu nataka asome Cyber Security... ipo au haipo?"

Hapo ndipo tulijua jambo moja...

Wazazi wa Tanzania wameanza kubadilika.

Leo mzazi mwenye maono hachagui kozi kwa sababu ni maarufu.

Anachagua kozi kwa sababu anaelewa dunia inaelekea wapi.

Ndiyo maana Cyber Security na Artificial Intelligence zimekuwa miongoni mwa kozi zinazouliziwa zaidi ofisini kwetu.

Mwaka huu tumeshuhudia jambo ambalo hatukuwahi kuliona miaka iliyopita.

Karibu kila mzazi anayefika Akili Education anaulizia AI au Cyber Security.

Hii inaonyesha kwamba Watanzania wameanza kufanya maamuzi kwa kuangalia future, si mazoea.

Na k**a kuna jambo tunalolijivunia, ni kuona wazazi wakibadilisha mtazamo wao na kuwapa watoto nafasi ya kusoma kozi ambazo zitakuwa na thamani kubwa miaka ijayo.

Ndugu mzazi...

Inawezekana umechelewa kufanya maamuzi.

Lakini bado hujachelewa kupita Akili Education.

Tutakushauri kozi, chuo na nchi inayomfaa mtoto wako kulingana na ndoto zake na uwezo wako.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka, gharama inayojumuisha ada, malazi na chakula.

๐Ÿ‘‡ Comment neno "CYBER" tukutumie mwongozo wa vyuo vinavyotoa kozi hii na namna ya kujiunga.

๐Ÿ“ž 0793939320

๐Ÿ“ ITV Road, Jengo la Neolife

27/07/2026

Kusoma nje ya nchi si kupata admission na visa pekee.

Ni kuhakikisha mwanafunzi ana mfumo salama wa kifedha utakaoendelea kumhudumia akiwa maelfu ya kilomita kutoka nyumbani.

Ndiyo maana leo tumepata heshima kubwa kutembelewa na timu ya CRDB Diaspora Banking, wakiongozwa na Joseph Mosha, Senior Director wa Diaspora Banking, pamoja na Godfrey Mbeshi, Manager wa Business Development.

Lengo lao lilikuwa moja.

Kuwafungulia wanafunzi wetu wanaokwenda kusoma nje ya nchi CRDB Tanzanite Account, akaunti iliyoundwa mahsusi kwa Watanzania wanaoishi, kufanya kazi au kusoma nje ya nchi.

Akaunti hii imekuwa chaguo la wanafunzi wengi kwa sababu inawapa huduma zinazokwenda sambamba na maisha yao ya kimataifa.

Miongoni mwa faida zake ni:

โœ… Hakuna makato ya kila mwezi.

โœ… Bima ya maisha bila gharama ya ziada.

โœ… Fursa za mikopo ikiwemo Mortgage Loan kwa wale wanaopanga kuwekeza nchini baadaye.

โœ… Huduma za kibenki zinazorahisisha miamala ya kimataifa na usimamizi wa fedha ukiwa nje ya Tanzania.

Akizungumza na wanafunzi wetu, Godfrey Mbeshi aliwahimiza Watanzania wote wanaoishi nje ya nchi pamoja na wanaojiandaa kusafiri kufungua CRDB Tanzanite Account, akieleza kuwa akaunti hiyo imeundwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya diaspora na inarahisisha usimamizi wa fedha bila gharama zisizo za lazima.

Ushirikiano kati ya CRDB Bank na Akili Education unaendelea kuwapa wanafunzi wetu zaidi ya huduma za udahili.

Tunawaandaa pia kuwa na msingi mzuri wa kifedha kabla hata hawajapanda ndege.

K**a unaandaa safari ya masomo nje ya nchi, karibu Akili Education tukusaidie kupata udahili na kukuelekeza kwenye huduma muhimu zitakazorahisisha maisha yako ukiwa ughaibuni.

๐Ÿ“ž 0793939320

๐Ÿ“ Akili Education, ITV Road โ€“ Jengo la Neolife

Najua kuna wazazi wengi watakasirika kusoma sentensi ya kwanza.Lakini kabla hujanihukumu, tafadhali nisome mpaka mwisho....
25/07/2026

Najua kuna wazazi wengi watakasirika kusoma sentensi ya kwanza.

Lakini kabla hujanihukumu, tafadhali nisome mpaka mwisho.

Kwa miaka mingi, wanafunzi wote wa PCB wameaminishwa kwamba ukifaulu vizuri, lazima ukasome Medicine au Pharmacy.

Tatizo ni kwamba...

Dunia imebadilika.

Hospitali za leo si k**a hospitali za miaka 20 iliyopita.

Leo hii Artificial Intelligence inaingia kwa kasi kubwa kwenye sekta ya afya.

AI ndiyo inasaidia kugundua saratani mapema kupitia X-Ray na CT Scan.

AI ndiyo inachambua mamilioni ya taarifa za wagonjwa ndani ya sekunde chache na kumsaidia daktari kufanya maamuzi sahihi.

AI ndiyo inasaidia kutengeneza dawa mpya kwa haraka zaidi.

AI ndiyo inachambua vinasaba (DNA) ili kutabiri magonjwa kabla hata hayajatokea.

Na hapo ndipo unapokuja Bachelor of Science in Artificial Intelligence in Healthcare & Bioinformatics.

Hii si kozi ya kufundishwa kutumia ChatGPT.

Ni kozi inayokufundisha kutumia Artificial Intelligence kutatua matatizo makubwa ya afya duniani.

Utasoma mambo k**a:

๐Ÿงฌ Bioinformatics na uchambuzi wa DNA.

๐Ÿค– Artificial Intelligence katika uchunguzi wa magonjwa.

๐Ÿ“Š Medical Data Analytics.

๐Ÿฉบ Clinical Decision Support Systems.

๐Ÿ’Š AI katika ugunduzi wa dawa mpya.

๐Ÿง  Machine Learning kwa matumizi ya hospitali.

๐Ÿ“ˆ Big Data kwenye sekta ya afya.

Kwa kifupi...

Unakuwa mtu anayesimama katikati ya teknolojia na tiba.

Na ukweli ni huu...

Madaktari wataendelea kuwepo.

Lakini hospitali za miaka 10 ijayo zitahitaji pia watu wanaojua AI katika afya.

Kwa hiyo swali si kwamba Medicine si nzuri.

Swali ni hili...

Kwa nini uende kwenye kozi ambayo kila mwaka maelfu ya watu wanaisoma, wakati unaweza kuwa miongoni mwa wachache wenye ujuzi ambao dunia inaanza kuuhitaji kwa kasi?

Wazazi...

Msifungie macho kozi za kizazi kijacho.

K**a zamani kila mtu alikimbilia Medicine, leo dunia inaanza kukimbilia watu wanaoweza kuunganisha Artificial Intelligence na Healthcare.

Kupitia Akili Education, kozi hii inapatikana nchini India kwa bajeti ya kuanzia milioni 11 tu kwa mwaka, gharama inayojumuisha ada, malazi na chakula.

Miaka 10 ijayo mtoto wako hatalipwa kwa sababu ana degree pekee.

Atalipwa kwa sababu ana ujuzi ambao watu wachache duniani wanauweza.

๐Ÿ‘‡ Comment neno "AI" tukutumie syllabus ya kozi hii, vyuo vinavyoitoa na namna ya kujiunga.

๐Ÿ“ž 0793939320

๐Ÿ“ Akili Education, ITV Road โ€“ Jengo la Neolife

Address

Itv Road Neolife Building
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Akili Education Study Abroad posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category