Find and get baby store

Find and get baby store LL BABY PRODUCTS FROM UK & USA
LOCATION: MIKOCHENI KWA NYEYRERE JUNCTION
TEL:0679828283

ALL BABY PRODUCTS FROM UK & USA
LOCATION: MIKOCHENI,MBEZI BEACH,DODOMA &ARUSHA
NO REFUND NO EXCHANGE QUALITY IS OUR MOTO
WE ARE OPEN MONDAY TO SUNDAY DELIVERY AVAILABLE

24/08/2026

Hupika na kusaga chakula cha mtoto kwa kutumia kifaa kimoja.
⏱️ Huokoa muda wa kuandaa chakula.
🥣 Husaidia kutengeneza puree laini inayofaa mtoto.
🍎 Unaweza kuandaa vyakula mbalimbali k**a matunda, mboga, nyama na vyakula vingine vinavyofaa mtoto.
💧 Hupika kwa mvuke, hivyo husaidia kuandaa chakula kwa upole.
🧑‍🍳 Ni rahisi kutumia kuliko kutumia vifaa tofauti vya kupikia na kusaga.

24/08/2026

Husaidia kupunguza colic na gesi kwa mtoto.
💨 Mfumo wa anti-colic hupunguza hewa kuingia tumboni wakati wa kunyonya.
🤱 Husaidia mtoto kubadilisha kati ya kunyonyesha na bottle kwa urahisi.
🍼 Nipple/teat zenye umbo linalofanana na breast humsaidia mtoto kushika na kunyonya vizuri.
💧 Zinapatikana kwa sizes na flow tofauti kulingana na umri wa mtoto.
🧼 Nyingi zinaweza kusafishwa na ku-sterilize kwa urahisi.
❤️ Husaidia kufanya feeding iwe comfortable zaidi kwa mtoto na mzazi.

24/08/2026

Cooler bags nzuri sna kwa ajili ya kutunza maziwa ya mtoto wako
✅️Ni BPA FREE yaani hazina kemikali itakayoweza kumuathiri mtoto
✅️Hudumu kwa muda mrefu
✅️Husaidia kutunza maziwa ya mtoto wako vizurii
✅️ni portable yaani inabe eka kwa urahisi popote

23/08/2026

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 20:00
Tuesday 08:30 - 20:00
Wednesday 08:30 - 20:00
Thursday 08:30 - 20:00
Friday 08:30 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:30
Sunday 08:30 - 20:00

Telephone

+255679828283

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Find and get baby store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Find and get baby store:

Shortcuts

Share

Category