08/01/2025
MADARASA YA WHATSAP AU TELEGRAM)
Je unahitaji kuwa mjasiriamali?? ujitengenezee kipato tofauti na mshahara wako?? Karibu Sunrise ujasiriamali ni ajira Tunawasaidia wajasiriamali kujifunza kutengeneza bidhaa za aina mbalimbali kwa kutumia mtandao wa whatsap au telegram
Mwl.salanga ndiye mhusika mkuu kwenye madarasa hayo ya Whatsapp au Telegram
MFUMO TUNAOTUMIA
♻️Video
♻️Audio
♻️Notes ( maelekezo)
♻️picha
Madarasa yetu k**a yafuatayo
1.Darasa la mchanganyiko.( sabuni za mche ,magadi , shampoo ya nywele, shampoo ya kuogesha mbwa,tiles cleaner, cupcakes,mikate batiki za kuchovya ,tea masala
2.Darasa la ubuyu wa Zanzibar.(aina mbalimbali)
3.Darasa la ubuyu wa vipande.
4.Darasa la usindikaji wa (pilipili,viungo vy chakula , garlic paste,Ginger paste)
5.Darasa la vijora vya batiki (ofa batiki za kawaida na mchele mchele)
6.Darasa la sabuni za tiba na kungarisha
(Mwani, kahawa,mkaratus,mchele,Manjano)
7.Darasa la bidhaa za nywele
( Steaming,leave in conditioner,mafuta ya nywele,shampoo free sulphate,hair tea ,hair mask ,hair spray sayansi ya nywele ) ada yake
8.Darasa la bites na mapishi (cupcakes ,mikate ,peanut butter n.k)
9.Darasa la Bure (telegram)
10.Darasa la ice cream ,koni na lambalamba
11.Darasa la bidhaa za usafi ( sabuni za maji aina zote ,sofa cleaner ,Dettol ,shampoo)
12.Darasa la sabuni za mche ,( magadi ,mche k**a jamaa na mche kawaida )
Njoo Whatsapp chagua darasa hapo utapewa mwongozo na gharama zake karibu sana
Whatsap 0682456819
Tupigie 0682456819