31/05/2026
Je umesoma kombi za art form six ? (HKL,HGL,HGK,HGE, KLF n.k)
Siyo lazima usome Education au Sheria Chuo kikuu.
Sisi Msewe College tunakushauri soma kozi nyingine zinazo kufaa na zina uhakika wa kupata kazi baada ya chuo.
Soma:-
1. Aviation Management
2. Digital Marketing
3. International Business
4. Economics
5. Accounting and Finance
6. Psychology hasa za watoto, mfn ECDE,
7. UI/UX Design
8. Animation and VFX
9. Business Analytics
10. Supply Chain and Logistics
11. Luxury Brand Management
12. Game Design
13. BCA in Artificial Intelligence (hapa wengi watabisha ila ukweli ndiyo huo AI adi wa arts wanasoma)
Msewe College tunapokea wanafunzi wa:-
1. Form Five na Six. (Sifa uwe na credits 3 yaani kati ya C au B au A ) ata k**a haujabalansi kombi
2. Wanaorudia mtihani wa Form four (k**a una C Mbili njoo tukusaidie upate nyingine moja uingie form five)
3. QT
4. Kozi ya Kompyuta
5. Ualimu wa chekechea na malezi (utapata cheti cha Ustawi/ Montessori)
6. Urembo na ususi
7. English course ...n.k
Tupo Dar ,es Salaam ,Ubungo karibu kabisa na stendi ya Mawasiliano
Tupigie 0676 240 948