07/06/2022
Dunia ina watu ovyo sana leo kuna mteja nilikuwa nabishana nae oficen wakati mabishabo yanaendelea si kuna mzee kwa mbali a alikuwa anakuja uku kabeba tv anakuja nayo oficie wkat tunaendelea kubishana yule mzee akawa amefika sisi tukaendelea kubishana tu yule mtu nilie kuwa babishana nae si akalopoka " kuwa mafund wa kweli ni kinyozi tu " mala ghafla yule mzee akabeba tv yake na kuingia chumba chapili ambacho kilikuwa na saluni ya kiume, yule mtu nilie kuwa nabishana nae si akaondoka mimi nikawa namsikilizia yule mzee alie ingua na tv salun atoke nimuudumie, wakat nashangaa shangaa si nikaona mlango umefunguliwa mzee ametoka kanyolewa pala hatari kam kawaida nikaona aji kwangu anapitiliza nayo mpaka kwake, sasa sijui nae kinyoz ali mwambia kuwa sisi mafund waongo sana tv imeisha tu betrii akanunue betri za tiger 🤣😜🤭
👉👕👕🤝🙏