28/05/2026
Hallelujah
Kijana mwenzangu naomba tupambane pamoja hatuna Muda k**a tunavyofikiri
Tujitahidi KUUKOMBOA WAKATI maana ZAMANI HIZI NI ZA UOVU.
WAEFESO 5:15-17
KUMBUKA:
Ukifika mahali unapotakiwa kuwepo kwa Ibada au kazi au kikao n.k kabla ya Muda UMEWAHI, na Ukifika Kwa WAKATI ni umechelewa maana kuna mambo utashindwa kuyaweka sawa maana Muda umeshafika na KUCHELEWA haikubaliki.
MUNGU AKUBARIKI SANA