19/11/2023
Kwa nini jitegemee secondary ni sehemu sahihi kwa mtoto wako
1. Jitegemee kuna usalama mkubwa wa mwanao atasoma huku tukihakikisha elimu bora, maadili na nidhamu ni vipaumbele kwa mwanafunzi.
2. Elimu lazima itautue changamoto katika jamii yetu hivyo mwanafunzi aliyehitimu jitegemee ana nidhamu ana elimu ya ujasiria mali na biashara tofauti na wengine hii inampa ujasiri wa kujitegemea hivyo ana uwezo mkubwa wa kutatua changamoto za ajira kwa kujiajiri.
3. Mwanafunzi wa jitegemee ni mbunifu anaweza kubadilisha maisha yake mwenyewe kwa uzoefu alioupata shule kupitia elimu kwa vitendo na pia ni kiongozi katika jamii anakidhi mahitaji ya kiongozi bora
4. Shule ya Jitegemee ina maabara bora sana kufindishia wanafunzi kwa vitendo na maktaba iliyosheheni vitabu vya kiada na ziada hivyo mwanao hatahangaika kutafuta vitabu vipo na maabara zipo kumuanda kuwa taifa bora la kesho.
5. Mafunzo ya ukak**avu yanyomjenga mwanafunzi kuwa kijana bora wa taifa la kesho vilevile kujenga uzalendo kwa nchi ya Tanzania
6. Uvumbuzi huletwa na elimu kwa vitendo tunazingatia sana elimu kwa vitendo ndio maana masomo yetu yanalenga mwanafunzi aweze kuvumbua kitu muhimu ambacho kitasaidia jamii yetu. Mfano tunaye mkurugenzi wa girls voice allience ni mwanafunzi wetu aliyehitimu mwaka 2023 na kuweza kuanzisha kampuni ya
7. Hizi ni sababu zinazoifanya Jitegemee Secondary kuwa sehemu sahihi ya elimu kwa kila Mtananzania
MUHIMU SANA
1. Nafasi za kidato cha kwanza kwa mwaka 2024 zipo
2. Nafasi za kuhamia kidato cha pili, tatu na cha nne na kidato cha tano.
3. Nafasi za kurudia mtihani kidato cha nne na masomo ya QT
4. Darasa maalumu kwa wanaotaka kusafisha vyetu ambao ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali (EXCUTIVE CLASS)
WASILIANA NASI
0747 943 988
068 306 7681
067 804 7742