13/01/2020
Better Light Daycare ni kituo salama cha malezi ya mwanao mlete mwanao tumlee kwa maadili Mema
kituo chetu kipo wilaya ya Ilala eneo maarufu la Ilala Kota
Tunaenedele kupokea watoto kwa ajili ya mwaka 2020
Kwa mawasiliano tupigie kwa simu namba 0712173245