10/06/2026
Newcity driving school iliyopo ubungo shekilango inawakaribisha kwene mafunzo ya udereva wa awali
Mafunzo ya mwezi mmoja unajifunza Gari mbili(manual na automatic)kwa gharama za tsh 350,000
Mafunzo ya week mbili unajifunza Gari moja Kati ya automatic au manual kwa gharama za tsh 270,000
KUMBUKA BAADA YA MAFUNZO UTAPEWA CHETI NA RISITI YA MALIPO YA EFD
Mawasiliano 0787719348
Karibuni