Mtaala

Mtaala

Share

We are building an educational tool to amplify parents ability to follow up their children education

13/09/2022

Our New Mobile app is coming soon…Stay Tuned!

22/04/2022

Popote ulipo inakufikia. Huduma inayokuwezesha mzazi kufuatilia maendeleo ya mwanao shuleni BURE kupitia simu yako ya whatsapp.

Huduma hii inakupa muhtasari wa masomo yote anayofundishwa mwanao kulingana na ratiba ya elimu nchini

Kujiunga tembelea www.mtaala.co.tz

21/04/2022

ni huduma inayokuwezesha mzazi kufuatilia maendeleo ya mwanao shuleni BURE kupitia simu yako ya whatsapp.

Huduma hii inakupa muhtasari wa masomo yote anayofundishwa mwanao kulingana na ratiba ya elimu nchini

Kujiunga tembelea www.mtaala.co.tz

16/04/2022

Tunafahamu Ulivyo Busy kutafuta ADA yake. Hii Ndio Sababu Tunakupa urahisi wa kufuatilia masomo yake shuleni BURE Kupitia yako. Jiunge leo - www.mtaala.co.tz

15/04/2022

Popote ulipo, unaweza kufuatilia maendeleo ya mwanao shuleni BURE kupitia yako. Tembelea www.mtaala.co.tz kujiunga

15/04/2022

Tunafahamu Ulivyo Busy kutafuta ADA yake. Hii Ndio Sababu Tunakupa urahisi wa kufuatilia masomo yake shuleni BURE Kupitia WhatsApp yako. Jiunge leo - www.mtaala.co.tz

15/04/2022

Mtaala.co.tz inakuwezesha mzazi/mlezi kufuatilia kile anachosoma mwanao shuleni kupitia njia ya Whatsapp kwa urahisi zaidi.

Jiunge leo ufahamu maendeleo ya mwanao shuleni.

1. Tembelea website yetu www.mtaala.co.tz (Link ipo kwenye bio)

2. Weka namba yako ya Whatsapp na Chagua ngazi ya elimu aliyopo mwanao

3. Kamilisha usajili

Kila wiki tutakutumia vitu anavyotakiwa kusoma mwanao shuleni kwenye masomo yote.

12/04/2022

Tembelea www.mtaala.co.tz ili uweze kufuatilia maendeleo ya mwanao shuleni BURE kabila kupitia WhatsApp...

11/04/2022

Popote Ulipo. Fuatilia anachofundishwa mwanao shuleni kupitia WhatsApp. BURE kupitia www.mtaala.co.tz

04/04/2022

Usiogope kujaribu kitu kipya nyumbani / Don't be afraid to try something new at home

27/03/2022

Mwanao amejifunza nini shuleni wiki hii? Tembelea www.mtaala.co.tz kufahamu anachojifunza mwanao shuleni.

Photos from Mtaala's post 24/03/2022

Mtaala.co.tz ni njia rahisi zaidi kwako mzazi/Mlezi kufuatilia kile anachopaswa kufundishwa mwanao shuleni kupitia WhatsApp yako.

Jiunge kupitia www.mtaala.co.tz

Ni rahisi sana...

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Ubungo
Dar Es Salaam
00255