GREAT Health

GREAT Health Ulimwengu wa Sasa umekuwa namaradhi mengi Sana sugu ,,,,,lakini great health group ni msaada kwenu

Tatizo la nguvu za kiume limekuwa changamoto Sana,BAADHI YA MATATIZO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI K**A ZIFUATAZO.1.K...
01/11/2021

Tatizo la nguvu za kiume limekuwa changamoto Sana,
BAADHI YA MATATIZO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI K**A ZIFUATAZO.

1.Kushindwa kusimamisha uume vzr.
1Kushindwa kuludia tendo la ndoa.
2.Kukosa hisia na hamu ya tendo.
3.Kutofika kileleni.
4.Kuwahi kufika kileleni.
5.Kutoa mbegu ambazo hazina uwezo wa kurutubisha yai.
6.Korodani kushindwa kuzalisha(Kurenfeneza mbegu Bora).
7.Kutanuka kwa Tezi dume(prostate gland enlargement)
8.Kuchelewa Sana kufika Kileleni.
9.Kuwa na uume mdogo.
10.Kuwa na aibu na kuathilika Kisaikologia Hadi kufikia kiwango vha Kuogopa wanawake.
11.Kuzalisha mbegu chache mno.

💊💊💊✍️✍️✍️ Matatizo hayo yote yanaweza kusababiswa na Sababu mbalimbali ambazo Mwanaume amekutana nazo au aliwahi kuzifanya.

✍️✍️BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA MATATIZO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI K**A ZIFUATAZO.

💊Kujichua (punyeto)
💊Ulaji wa Vyakula vyenye kemikali.
Mfano
✍️Vyakula vya viwandani.
✍️Vinywaji vya viwandani.

💊Stress(Msongo wa mawazo)
💊Umri
💊Magonjwa sugu k**a vile Kisukari na Presha.
💊Tezi dume.
💊Upungufu wa virutubisho Bora.
💊Udhoofu au udhaifu wa mwili na kuandamwa na magonjwa kwa mda mlefu.
N.k

CONTACT:0621244639

FEMICARE
30/10/2021

FEMICARE

♓ MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE):-🔵 Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vich...
20/10/2021

♓ MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE):-

🔵 Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapopata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya %80.

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI:-
⭕Uwepo wa sumu mwilini,
⭕Mfumo Mbovu wa maisha,
⭕Umri kuenda sana, kukoma kwa hedhi,
⭕Uzito mkubwa,
⭕Mabadiliko ya mazingira,
⭕Msongo wa mawazo,
⭕Upungufu wa lishe bora mwilini,
⭕Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango,
⭕ Utoaji wa mimba kiholela,
⭕Ongezeko la homoni ya Androgen hupelekea mwanamke [kuota ndevu, base voice]

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI:-
🔵Uke kuwa mkavu,
🔵Maumivu wakati wa tendo la ndoa,
🔵Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi,
🔵Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa,
🔵Mabadiliko ya siku za hedhi mfano kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7 na hutoka mabonge ya dam au dam nyingi zaid kuliko kawaida.

Contact:.0621244639

11/10/2021

Wanahitajika watu wa kazi za marketing and sales. Eneo ni Dar Es Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0621244639.

11/10/2021

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255621244639

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GREAT Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to GREAT Health:

Shortcuts

Share