Afya Bora

Afya Bora Tunakusaidia kuboresha afya yako kupitia afya

03/05/2026

Usiteseke tena na uzito, unene wala kitambi, program zetu zitakusaidia kupungua kwa njia salama kabisa kiafya

Sio dawa ni lishe
Tutumie ujumbe moja kwa moja kupitia whatsapp tutakusaidia

01/05/2026

Kila mama anatamani kumuona mtoto wake akiwa na afya, nguvu na furaha kila siku.

Lakini ukweli ni kwamba sio kila mtoto anakula kila aina ya chakula anachohitaji. Wengine wanachagua sana, wengine wanakula kidogo… na hapo ndipo changamoto ya lishe inaanza polepole.

Ndio maana ni muhimu sana kumpatia mtoto virutubisho ili kuimarisha vizuri afya yake

Wasiliana nasi moja kwa moja sasa uweze kupata virutubisho bora kwa ajili ya afya ya mtoto wako

Afya huanza tumboni Watu wengi hupuuza umuhimu wa mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula, lakini unaweza kuathiri afya ya ...
18/04/2026

Afya huanza tumboni
Watu wengi hupuuza umuhimu wa mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula, lakini unaweza kuathiri afya ya mwili wako kwa ujumla

Tumekuandalia suluhisho la changamoto zote hizi kupitia lishe
Tutumie ujumbe whatsapp moja kwa moja tukusaidie

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category