laoshiopenschool

laoshiopenschool QT na Resisters
Tuitions
Pre form one
Computer courses
Kozi za lugha
Ufanyaji mitihani na masahihisho

15/09/2024
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WANAOJISALI K**A QT KUANZIA MWAKA 2024 NA KUENDELEA
24/01/2024

TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WANAOJISALI K**A QT KUANZIA MWAKA 2024 NA KUENDELEA

KWA WATAHINIWA WA MWAKA 2024. MAANDALIZI YA KUFAULU MTIHANI VIZURI HUWA HAYAFANYWI SIKU CHACHE KABLA YA MTIHANI. HAKIKIS...
18/01/2024

KWA WATAHINIWA WA MWAKA 2024.

MAANDALIZI YA KUFAULU MTIHANI VIZURI HUWA HAYAFANYWI SIKU CHACHE KABLA YA MTIHANI.

HAKIKISHA UNAANZA SASA KWA KUJIANDAA VYEMA, KUJISAJILI NDANI YA MUDA ULIOELEKEZWA NA NECTA.

KARIBU TUKUANDAE MAPEMA
Wasiliana nasi leo.
+255 626 643 137
+255 749 632 632

Au tembelea website yetu
www.laoshiinstitute.ac.tz

Pia, waweza kutuandikia barua pepe (E-mai)
[email protected]

MATOKEO YA HSK YAMETOKAHuyu ni mwingine kati ya wanafunzi wetu waliofanya mitihani hiyo na amefaulu kwa alama za jumla y...
16/08/2023

MATOKEO YA HSK YAMETOKA

Huyu ni mwingine kati ya wanafunzi wetu waliofanya mitihani hiyo na amefaulu kwa alama za jumla ya 235 kati ya 300 baada ya kufanya mtihani wa daraja la nne (HSK 4).

Ufaulu huu unampa nafasi ya kuomba scholarship ya kwenda kusoma China.

Mitihani hii ilifanyika tar 16 July 2023 k**a tulivyotangaza kupitia kurasa zetu.

Ikiwa nawe una ndoto ya namna hii, umejaribu na kushindwa, tupo kukusaidia kufikia malengo yako k**a waalimu na washauri wako.

+255 626 643 137
+255 674 137 638
E-mail:
[email protected]

Website:
www.laoshiinstitute.ac.tz

MATOKEO YA HSK YAMETOKAHuyu ni mmoja kati ya wanafunzi wetu waliofanya mitihani hiyo na amefaulu kwa alama za jumla ya 2...
16/08/2023

MATOKEO YA HSK YAMETOKA

Huyu ni mmoja kati ya wanafunzi wetu waliofanya mitihani hiyo na amefaulu kwa alama za jumla ya 225 kati ya 300 baada ya kufanya mtihani wa daraja la nne (HSK 4).

Ufaulu huu unampa nafasi ya kuomba scholarship ya kwenda kusoma China.

Mitihani hii ilifanyika tar 16 July 2023 k**a tulivyotangaza kupitia kurasa zetu.

Ikiwa nawe una ndoto ya namna hii, umejaribu na kushindwa, tupo kukusaidia kufikia malengo yako k**a waalimu na washauri wako.

+255 626 643 137
+255 674 137 638
E-mail:
[email protected]

Website:
www.laoshiinstitute.ac.tz

UNATAFUTA PA KUSOMA WAKATI WA LIKIZO?UNA CHANGAMOTO KWENYE SOMO/MASOMO AU TOPIC/TOPICS?UNATAMANI KUFANYA MITIHANI YA KUJ...
01/06/2023

UNATAFUTA PA KUSOMA WAKATI WA LIKIZO?

UNA CHANGAMOTO KWENYE SOMO/MASOMO AU TOPIC/TOPICS?

UNATAMANI KUFANYA MITIHANI YA KUJIPIMA?

Walewale Laoshi Institute of Languages, sasa wanakuja na Laoshi Open School pia.

Laoshi Open Scholl tumekuletea nafasi hii kwa mkazi Dar es Salaam, na kwa atakayekuwepo Dar es Salaam wakati wa likizo.

Huduma zetu:
• Tuitions kwa wanafunzi (primary, O level na A level)
• Kufanya mitihani ya kujipima
• Masomo kwa QT na Resiters
• Kujifunza lugha.

OFFER YA PRE FORM ONE MWAKA HUU.
• Ada ni 40,000 pekee
• Mwanafunzi atachagua lugha moja kujifunza bure.

HUDUMA ZETU NI ENDELEVU, UAMINIFU NA HUDUMA BORA NI KIPAUMBELE KWETU. TUJARIBU UJITHIBITISHIE.

Mawasiliano
+255 626 643 137

E-mail
[email protected]

MAFANIKIO YAKO NI NDOTO YETU.


Address

Saba General House, Lumumba Na Mchikichi Street, Kariakoo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 20:30
Tuesday 08:30 - 20:30
Wednesday 08:30 - 20:30
Thursday 08:30 - 20:30
Friday 08:30 - 20:30
Saturday 08:30 - 12:00

Telephone

+255626643137

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when laoshiopenschool posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share