Ubunifu Academy

Ubunifu Academy Tunakuletea Kozi za video vilizoandaliwa kwa kiwango cha hali ya juu, Ujipatie cheti kutoka vyuo vik

This book revolves around Liam who is a successful entrepreneur in the timber industry in his early 30s. With all that h...
23/06/2023

This book revolves around Liam who is a successful entrepreneur in the timber industry in his early 30s. With all that he has, he is indeed successful and remembers every minute of hard work within 15 years - what he does not remember is his 16 years in the past.

He is yet to discover the shadows that he left behind as he makes his decision to marry his fiancΓ©, Selah.

Its now available in our website link in bio. πŸ“–πŸ”₯
Scan qr code to get it now.

By the one only

Je! unatafuta kujifunza jinsi ya kutumia Adobe Photoshop?Je! unatafuta kua mtalam wa Adobe Photoshop na kupata ajira kwe...
10/06/2023

Je! unatafuta kujifunza jinsi ya kutumia Adobe Photoshop?

Je! unatafuta kua mtalam wa Adobe Photoshop na kupata ajira kwenye makampuni makubwa?

Usihangaike tenaa!

Darasa letu la Adobe Photoshop ni bora kwa wanaoanza na wenye ujuzi pia wa Adobe Photoshop.

Katika darasa hili, utajifunza jinsi ya kutumia zana na vipengele vya Adobe Photoshop ili kuunda picha na michoro maridadi.

Iwe unatafuta kuunda sanaa ya kidijitali, kuhariri picha, au michoro ya muundo wa biashara yako, darasa letu lina kila kitu unachohitaji ili kuanza.

Jisajili leo na uanze kuunda picha nzuri na Adobe Photoshop!

Join Group Tuanza darasa.! 😎
https://chat.whatsapp.com/HxpqTg3eEcQ144Lvmq3yU7

Namna ya kuendesha matangazo ya kulipia ndani ya instagramUnda Tangazo lako la kwanza la Instagram. Uuzaji bora wa Insta...
23/04/2023

Namna ya kuendesha matangazo ya kulipia ndani ya instagram

Unda Tangazo lako la kwanza la Instagram. Uuzaji bora wa Instagram na Matangazo ili kutengeneza trafiki na miongozo ya biashara ya barua pepe.

Unda Tangazo lako la kwanza la Instagram. Uuzaji bora wa Instagram na Matangazo ili kutengeneza trafiki na miongozo ya biashara ya barua pepe.

It is very easy to do business online as long as you have a strategy that gives you direction and procedures to follow s...
21/04/2023

It is very easy to do business online as long as you have a strategy that gives you direction and procedures to follow so that you don't get out of the goal, don't give up, don't be under pressure, and this is what we call social media strategy

Link in bio πŸ“–πŸ€“

Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujen...
19/04/2023

Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujenga sifa, Nani unamlenga, Je huyo unaye mlenga anatarajia nini kwako. Ukiya elewa haya ni rahisi sana mtu yoyote kushawishika na wewe na kutaka kuwa karibu na wewe au kufanya kazi na wewe.

Fungua link kwenye bio upate ebook leo yako kwa bei ya offer.

Bado hujapata wazo la biashara? . Biashara inachechemea? . Unataka kufanya Biashara gani? . Watu wengi mno mnaulizia Bia...
19/04/2023

Bado hujapata wazo la biashara? . Biashara inachechemea? . Unataka kufanya Biashara gani? . Watu wengi mno mnaulizia Biashara za kufanya. . Napokea zaidi ya message mpya 500 kwa siku. . Ukweli siwezi kumjibu kila mtu na kuongea na kila mtu ingawa najitahidi kufikia kila mtu lakini ninaweza kukujibu kupitia hiki kitabu. . Hiki kitabu cha USTAWI WA BIASHARA Kina kila kitu unachotaka kujifunza ili kuanza na kukuza Biashara yako. . Humu utajifunza.

Fuata link kwenye bio upate nakala yako ya ebook kwa bei ya offer.

Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujen...
19/04/2023

Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujenga sifa, Nani unamlenga, Je huyo unaye mlenga anatarajia nini kwako. Ukiya elewa haya ni rahisi sana mtu yoyote kushawishika na wewe na kutaka kuwa karibu na wewe au kufanya kazi na wewe.

Fuata link kwenye bio upate e-book yako kwa bei ya offer.

Kuna watu wengi wanauza bidhaa au huduma uliyonayo mtandaoni. Nini kitawafanya wateja wanunue kwako na si kwa watu wengi...
18/04/2023

Kuna watu wengi wanauza bidhaa au huduma uliyonayo mtandaoni. Nini kitawafanya wateja wanunue kwako na si kwa watu wengine?

1. Kuwa mtaalamu. Onyesha kuwa unachokiuza unakijua vizuri, kuwa k**a daktari kabla hajakuhudumia anafahamu shida yako. Ijue bidhaa yako vizuri.

2. Kuwa mshauri. Usikimbilie kuuza tu, washauri watu namna ya kutumia bidhaa zako, namna ya kuzitunza na umuhimu wake.

3.Kuwa mwalimu. Wafundishe wateja wako kuhusu bidhaa yako, namna unavyoiandaa, vifaa na kuitunza. Gusa hisia za mteja, fanya mteja akukumbuke.

https://ubunifuacademy.co.tz/master_class/21/Mbinu%20Za%20Kuuza%20Zaidi

Lets start learning. πŸ‘¨β€πŸ’»
17/04/2023

Lets start learning. πŸ‘¨β€πŸ’»

Address

Kinondoni B
Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ubunifu Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share