Social Business Initiative

Social Business Initiative

Share

Social Business Initiative is dedicated to enhancing the health and wellness of individuals through impactful education and resources.

Bilingual Bible Study Quiz App – Bible Study App 28/04/2025

Roho zetu tunazilisha nini?
🎢 Muziki kila mahali.
⚽ Kabumbu kila wakati.
πŸ’¬ Udaku usio na mwisho.
⚑ Siasa siasa siasa.

Lakini, zipo wapi apps za kujifunza Biblia kwenye simu za vijana na watoto wetu?
Nafsi zao zinahitaji zaidi.
Imani yao inahitaji kulelewa.
Mustakabali wao unategemea hilo.

🌟 Watangulize watoto wako, familia yako, na wewe mwenyewe β€” kwa App ya Kwanza kabisa ya Maswali ya Biblia kwa Kiswahili na Kiingereza.

βœ… Inafurahisha, inashirikisha, na inaleta uzima wa kiroho. Inaongeza ujuzi wa kiswahili sanifu na Kiingereza fasaha
βœ… Ni TZS 5,300 / KES 258 tu kila mwezi. (unsusbscribe any time)
βœ… Inapatikana sasa β€” rahisi kufikia.

πŸ‘‰ Bofya hapa kujisajili leo: https://www.nurukuu.com/bilingual-bible-study-quiz-app/

Chagua Biblia. Chagua Uzima.

Bilingual Bible Study Quiz App – Bible Study App Join hundreds of others growing their knowledge and faith every day. Subscribe now for full access to the Bible Study App quizzes in English and Swahili!

Join the English/Swahili Bible Study beta 16/04/2025

πŸ“’ Habari Njema! πŸŽ‰ Shinda upate zawadi Tsh 20000 au Ksh 1030
App yetu ya Maswali ya Biblia kwa Kiswahili na Kiingereza sasa inapatikana kwa majaribio ya awali bila malipo kwenye iPhone kupitia TestFlight! πŸ‘‰ https://apps.apple.com/app/testflight/id899247664


Watu 10 wa kwanza kujaribu app yetu kupitia TestFlight app na kujaza fomu hapa https://forms.gle/mNKSvLbjD6swpJQ89 (Kiswahili) watapata zawadi ya Tsh 20,000 au KSh 1030. Fomu inapatikana kwa kiingereza (English) hapa https://forms.gle/dspPsNF7MQs4w4xy7 . Jaza fomu moja tu Kiswahili au kiingereza.

Ili kujaribu App yetu ya Maswali ya Biblia, tafadhali fuata hatua hizi fupi:
Pakua App ya TestFlight kutoka App Store:
πŸ‘‰ https://apps.apple.com/app/testflight/id899247664
Fungua App ya TestFlight kwenye simu yako
Bonyeza link hii ya majaribio (TestFlight):
πŸ‘‰ https://testflight.apple.com/join/8jmmFKhF

Ukishajaribisha app yetu, jaza hii fomu: https://forms.gle/mNKSvLbjD6swpJQ89 ili kutoa maoni yako.

Tafadhali tujulishe kupitia ibox hapa Facebook au WhatsApp simu number +61416460723 k**a utahitaji msaada.Tunathamini sana maoni yako!

Join the English/Swahili Bible Study beta Available on iOS

16/04/2025

https://www.facebook.com/share/p/18L7Njq48E/
Shinda upate zawadi ya Tsh 20000, au Ksh 1030. Maelezo yapo hapo chini kwenye post πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ“’ Habari Njema! πŸŽ‰
App yetu ya Maswali ya Biblia kwa Kiswahili na Kiingereza sasa inapatikana kwa majaribio ya awali bila malipo kwenye iPhone kupitia TestFlight! πŸ‘‰ https://apps.apple.com/app/testflight/id899247664

πŸ“–βœ¨ Jipime maarifa yako ya Biblia kupitia maswali ya kuchagua jibu sahihi –app inawafaa watoto, vijana na watu wazima!

πŸ’‘ Kuwa miongoni mwa watumiaji wa kwanza kujaribu na kutoa maoni yako kabla ya uzinduzi rasmi.

Watu 10 wa kwanza kujaribu app yetu kupitia TestFlight app na kujaza fomu hapa https://forms.gle/mNKSvLbjD6swpJQ89 (Kiswahili) watapata zawadi ya Tsh 20,000 au KSh 1030. Fomu inapatikana kwa kiingereza (English) hapa https://forms.gle/dspPsNF7MQs4w4xy7 . Jaza fomu moja tu Kiswahili au kiingereza.

Ili kujaribu App yetu ya Maswali ya Biblia, tafadhali fuata hatua hizi fupi:

Pakua App ya TestFlight kutoka App Store:
πŸ‘‰ https://apps.apple.com/app/testflight/id899247664

Fungua App ya TestFlight kwenye simu yako

Bonyeza link hii ya majaribio (TestFlight):
πŸ‘‰ https://testflight.apple.com/join/8jmmFKhF
Bonyeza β€œAccept” ili kujiunga na majaribio ya app

Kisha bonyeza β€œInstall” ili kuinstall app kwenye simu yako
Bonyesa Sign up ili kuingia kwenye app na kuijaribisha.

Ukishajaribisha app yetu, jaza hii fomu: https://forms.gle/mNKSvLbjD6swpJQ89 ili kutoa maoni yako, weka namba yako ya simu kwenye fomu ili tuweze kukutumia zawadi yako iwapo utaibuka mshindi.

πŸ“ Tafadhali tujulishe kupitia ibox hapa Facebook au WhatsApp simu number +61416460723 k**a utahitaji msaada au ukikumbana na changamoto kwenye kuipata app kwa ajili ya majaribio. Tunathamini sana maoni yako!

Photos from Social Business Initiative's post 01/02/2025

Social business nyanda za juu kusini. Tumekutana na kina mama na vijana wa kata za Kirando na Kabwe. Wilaya ya Nkasi.

04/10/2022

Tumeanza kutoa ruzuku kwa vikundi vya Champion Mothers and Fathers vya shirika la SoTheyCan. Hawa ni kina baba na kina mama wanaojitolea kuelimisha jamii kuhusu masuala ya haki za binadamu, usalama wa watoto na umuhimu wa elimu kwa watoto.

Ruzuku hizi zina lengo la kuwasaidia Champion Mothers and Fathers kuendesha biashara ndogondogo zitazowasaidia kujikimu wao na familia zao.

Pichani ni Delphina, Mkuu wa kitengo cha elimu, akiwa na baadhi ya wazazi wanufaika.

22/09/2022

Wivu Bustani ya Edeni ni riwaya ya Kiswahili iliyoandikwa na Dotto Rangimoto. Dotto ni mshindi wa tuzo ya kimataifa ya Safal-Cornell Kiswahili Prize for African Literature mwaka 2017. Bei ni Tsh 20,000 tu. Usikose riwaya hii ya kusisimua. Jipatie nakala yako

Riwaya inapatikana:
DAR: TPH Bookshop
ZANZIBAR: Alif Bookshop Mkunazini
ARUSHA: Nje ya Kimahama Bookshop
MORO: Kihonda Bima

Kwa mawasilano zaidi 0762845394

So They Can | Empowering African Communities Through Education 01/09/2021

Tunashirikiana na taasisi zilizosajiliwa Tanzania kwa kuchangia kuwawezesha watoto, vijana na jamii kwa ujumla kupata elimu, na kuendeleza biashara ndogo ndogo.
Sasa tunashirikiana na Taasisi ya So they can

So They Can | Empowering African Communities Through Education So They Can is an international not for profit organisation and a registered Charity in Australia, New Zealand, United States, Kenya and Tanzania, empowering children living in poverty in East Africa through education. Because every child matters.www.sotheycan.org

01/09/2021

SoTheyCan champion fathers and mothers in Babati Tanzania, community fathers and mothers who volunteer to take care of the community

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam