Serevius

Serevius

Share

A platform for everything

12/08/2024
04/03/2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022.

24/02/2022

Dear Jobseekers,

Tukumbushane: *Namna ya Uandishi wa Email za Kuombea kazi.*

Epuka kuandika email ambazo hazina mvuto kwa wapokeaji.

Embu sasa tupeane Basic kidogo

Yafuatayo ni maeneo Muhimu ya Email
1.To /Cc/ BCc

2.Subject

3. Main Body (Composing Mail)

4.Attachment

Tutaanza kimoja hadi kingine ili tuwekane sawa maaplicant waache kuwatia uvivu wasomaji kiasi cha kuzipuuza email zao mwisho wanalalamika hawaitwi kila wakiapply,kumbe uandishi mbaya wa email .

1. *To & CC & BCC*

*To* ; hapa unaandika email ya yule unayemtumia maombi yako.

*CC* ; hii haitumiki mpaka umeambiwa utumie, hii maan yake unamcopy mtu mwingine nayeye aone ulichotuma. Mfano anakwambia send your email to [email protected] and Cc: [email protected], maana yake kwennye to ni chitalika na kwenye Cc ni chitason.

*BCC* ; hii hainaga kazi mara nyingi , inatumika pale tu unapoona kuna mtu unataka aone email yako bila hawa walioko kwenye *To* na *CC* kuona. Imekaa kisnitch eee?😁😁basi iyo ndo kazi yake kwa wewe uliyekuwa hujui usifikiri ni mapambo tu.😜

2. *SUBJECT*
Hii k**a ni barua basi tunaita kichwa cha habari au heading. Hapo panaposomeka k**a subject kwenye email jitahidi uwe unaandika Nafasi unayoiomba, sio mara *My Konki CV* , mara *YenyeweyenyeweCV*, mara *My Updated CV* , mmoja alichosha kabisa anaandika story kwenye subject dah😂....

Mfano
Subject: *Application for ..(iandike iya nafasi)...post*

Kinyume na hapo utaandike kile tangazo limeelekeza mfano kuna matangazo yanataka pale kwenye subject uweke Reference number ya tangazo kwao wanaelewa ni nafasi fulani unaomba.

Ukiandika subject vizuri unawarahisishia wasomaji wa email kuona kwa haraka unachoomba ni nini...sio mtu anasoma email yako hadi afungue attachment zako...😊
Make it clear unaomba position gani kwa subject ili isaidie wasomaji.

3. *Main Body*

Hapa ni sehemu inayofuata ya kuandika ujumbe wako kwa yule unayemtumia emai. Ni sehemu inayofuata after Subject chini pal

Serevius Send a message to learn more

30/01/2022

K**a utatafuta njia yakupitia isiyokuwa na vikwazo, basi tambua njia hiyo itakupoteza k**a si kukupeleka tofauti na unapohitaji kwenda.

21/01/2022

JIFUNZE KUONGEA MANENO MAZURI NA YENYE KUSHAWISHI KULIKO KULALAMIKA.

Kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa mwenza wako, mtu mmoja anaweza kusema maneno yaleyale yakawa mazuri,
ila mwingine akayasema na kuwa mabaya, jifunze namna ya kuongea na mwenza wako.

*Mfano,* mwenza wako anachelewa kurudi badala ya kumuambia *“Kwangu mimi huwezi kunirudia saa nane usiku halafu nikufungulie mlango!”* Unaweza kumuambia *“Usiku una mambo mengi,* *kwanini usiwe unawahi kurudi mume wangu?*
*hata ukala kwanza ndiyo ukatoka?*
*kula usiku namna hii siyo vizuri!”*

Ukamuambia *“naomba basi wakati napika unisaidie kusuuza hivyo vyombo ili tule maana nimechoka.”* Badala ya kumuambia, *yaani hunionei hata huruma nipike,*
*nifue,*
*nioshe vyombo wewe umekaa tu?"*

Ni mke wako, umerudi chakula bado, badala ya kuanza kutukana, ongea vizuri *“Leo vipi nina njaa,*
*vipi msosi bado…?”* Umekuja na wageni ndani kuchafu badala ya kutukana kusema “Mnakaa kaatu hapa hata kufagia ndani huwezi?”

Mwambie
*“Leo vipi mke wangu mbona hivi?*
*una nini unajua nakuja na wageni hata hujaparekebisha rekebisha?”* Chagua maneno, ujumbe unafika bila kudhalilisha. Unapoongea maneno mazuri kwa mwenza wako inamfanya kujifunza zaidi na kukupunguzia kisirani, unakuwa na amani ya nafsi.
from
=BENSON

26/12/2021

Vijana hasa tunaotokea katika familia za kipato Cha chini tusijenge URAFIKI na STAREHE wakati SHIDA ni jirani yetu.
Iwapo tutaendekeza uvivu TUZO pekee tutakayostahili ni UMASKINI UNAONUKA.
Vijana wenzangu Maisha ni magumu na UMRI unazidi kwenda mbio. Tusipojituma sasa uzeeni tutajuta Sana.

03/07/2021

*WOSIA ALIONIACHIA MWALIMU MSTAAFU 2020:*

1. *Usiwe Msemaji sana ktk kituo chako cha kazi, hii itakusaidia kuepuka migogoro isiyo ya lazima.*

2. *Mheshimu Mkuu wa kituo chako cha kazi.*

3. *Fanya kazi kwa bidii, mafanikio utayaona.*

4. *Epuka tamaa za kupata Mali haraka maana mwisho utajiingiza ktk madeni mabaya na yenye aibu kwako.*

5. *Epuka kuwa na mahusiano na wanafunzi maana watashusha ufanisi wako wa kazi.*

6. *Epuka kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi, kwa kuwa wewe ni Mfanyakazi maana ukiwa na Wanawake wengi watakusababishia umasikini wa kipato.*

7. *Fikiria kuongeza kiwango chako cha Elimu, ingawa kusoma kwingi ni uoga wa maisha.*

8. *Acha kufanya ubaya kwa mwenzio, narudia tena acha kufanya ubaya kwa Wafanyakazi wenzio maana kesho yako huijui.*

9. *Usipende kujieleza kwa wenzio kuwa wewe una hali ngumu sana kimaisha maana watakudharau sana.*

10. *Uwe na suti hata moja au mbili ili Mkeo awe na kazi nzuri ya kupiga pasi.*

11. *Mmmh! Raha ya Mwalimu, ni shikamoo nyingi.*

```*I have a Dream```

22/06/2021

*```NAKUOMBA MWELEKEZE. MHITIMU WA KIDATO CHA SITA HAYA
1.k**a ana shughuli ya kujiingizia kipato aendelee Nayo..chuo kikuu hakuna jambo
2.Asisahau kuomba mkopo...k**a hali ya nyumban ni duni
3.mwambie ni bora akose vyote ila boom liwepo
4.laki tano anayodai atajenga akishaanza kupokea boom 💰ataikuta ila asijeshangaa mpk dawa ya mswaki anaomba
5.chuo hakuna fimbo ni njaa tyuu
6.sampo za wanawake mbali mbali zipo...asije akamsahau aliyemwacha kwao
7.Achunge sana , na asimame katika tabia..yakee. Asipo kuw makini huenda mpka dini akasahau
8.mwambie kuna kityu kina itwa Jolo.. Wali njugu...na UJASI
9.mwambie kila biashara inalipa ukiwa unasimuliwa
10.mwambie Semina za ujasiriamali zipo nyingi sana chuoni ila cha ajabu wadada wengi wanauza ubuyu na soksi.
11.Mwambie kuna uwezekano wa kuomba nauli ya kurudia ñyumbani . hivyo asiwaaminishe sana wazaz kuw boom litamaliza shida
12. Coursework ni 16/40 tyu. Ila humfanya mdada kushusha sketi.
13.mwambie kuna carryover, coursework na sup
15.mwambie mwanachuo ndo mtu wa kwanza kula mikate hata kuwazidi wana wa Israeli
16.mwambie kidgo akipata akitunzee....chuoni kila kitu kipo
18.mwambie kuingia darasani sio lazima.. Ila mkumbushe kuna kitu kina itwa quiz
19.mwambie kumwamini mpenzi atakae mkuta chuo ni kujipalia makaa
20.mwambie wadada wa chuo namba wanatoa ..ila akiwaomba meeting ataambiwa "tukutane cafe"
21.kila mdada ana skin jinsi nyeusi anayovalia kwa tumbo tshets akiwa ameichomekea alafu kibegi anakitudika juu ya makalio ...
22.mwambie akazee moyo..vushawishi ni Vingi ila asije msahau MUNGU
23.kila mtu atakae kutana nae chuo ana kitu cha kumfunza ...hivyo atachagua +ve au -ve
24.mwambie degree sio kutoboa maisha ..kaka angu k**aliza udaktari miaka saba mpaka saiz ni DJ kwenye gar la matangazo ya vifo na harusi

MKUMBUSHE KILA KITU KIPO MIKONONI MWA WATU....PESA....NYAZFA....FURSA.....

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Kigambon
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00