Institute of Adult Education Dsm Campus

Institute of Adult Education Dsm Campus Welcome to the Institute of Adult Education page, here you can find different news happen to our institution

Uongozi ni kuacha alama kwa watu unaowaongoza.
07/06/2022

Uongozi ni kuacha alama kwa watu unaowaongoza.

Mh. Rais wa serikali ya wanafunzi kushoto pamoja na Mh. Spika wa bunge la serikali ya wanafunzi kulia wakipata picha ya ...
07/06/2022

Mh. Rais wa serikali ya wanafunzi kushoto pamoja na Mh. Spika wa bunge la serikali ya wanafunzi kulia wakipata picha ya pamoja baada ya kikao cha kuvunja bunge la serikali ya wanafunzi.

Picha ya pamoja baada ya kikako cha kuvunja bunge la serikali ya wanafunzi IAE kilichofanyika Tarehe 06/06/2022.
07/06/2022

Picha ya pamoja baada ya kikako cha kuvunja bunge la serikali ya wanafunzi IAE kilichofanyika Tarehe 06/06/2022.

07/06/2022
07/06/2022

Video zikionesha wanafunzi wa Diploma mwaka wa 2 na Bachelor mwaka wa 3 wakianza safari ya Tour kwenda Kilwa na Saadani.

Pichani ni wanafunzi wa Institute Of Adult Education (IAE) wakiwa katika Tour Saadani National Park mnamo Tarehe 03/06/2...
07/06/2022

Pichani ni wanafunzi wa Institute Of Adult Education (IAE) wakiwa katika Tour Saadani National Park mnamo Tarehe 03/06/2022.

WELCOME FIRST YEAR JANUARY 14, 2022
12/01/2022

WELCOME FIRST YEAR JANUARY 14, 2022

WANACHUO WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA KUWAKARIBISHA WANACHUO WA MWAKA WA KWANZA TAREHE 14 JANUARY 2022
12/01/2022

WANACHUO WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA KUWAKARIBISHA WANACHUO WA MWAKA WA KWANZA TAREHE 14 JANUARY 2022

BATA VIMBWETANI
08/12/2021

BATA VIMBWETANI

Hii function itafanyikia tarehe 18/12. Siku ya jumamos. Vijana kwa umoja wa vyuo vikuu wameandaa ili kuweza kubadilisha ...
08/12/2021

Hii function itafanyikia tarehe 18/12. Siku ya jumamos. Vijana kwa umoja wa vyuo vikuu wameandaa ili kuweza kubadilisha experience kwa pamoja na wameandaa wazungumzaji ambao ndio hawa wanaoonekaka kwenye mabango

30/11/2021

-DSM

Kampuni ya SoftyTrainers Ltd inakualika kushiriki mafunzo ya;

MANAGERIAL CREATIVITY & INNOVATION LEADERSHIP on;

Creative Leadership, Public Speaking, Customers Relationship, Capital Raising & Project Proposal
04&05/12/2021, 9Am-6Pm

UTAPATA:
2 Days Training, Softdrinks, Notebook, Certificate, BP&PP Samples, Network, P.Speaking & Cash Awards
Lipa 45,000 kwa
Katikiro-0626317335 Hamissi-0786878168
Upate TIKET B4 Friday 6Pm

GUSA LINK HII KUPATA TAARIFA YA ZIARA YA RAIS WA IAESO ALIPOTEMBELEA HOSTEL YA KIGOGO  JANA TAREHE 17.11.2021
18/11/2021

GUSA LINK HII KUPATA TAARIFA YA ZIARA YA RAIS WA IAESO ALIPOTEMBELEA HOSTEL YA KIGOGO JANA TAREHE 17.11.2021

Conveniently share files to you and your friends. All files can be easily controlled for permissions. A secure storage system guarantees your file security.

Address

Bibititi, P. O. Box 20679 DAR
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255222150838

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Institute of Adult Education Dsm Campus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Institute of Adult Education Dsm Campus:

Shortcuts

Share

Category