Fahamu Zaidi

Fahamu Zaidi Hey am a genius but I can't prove it, give me time. || Instagram

Wakuu habari.Miaka ya 2000 kulikua na mwanadada machachali sana katika Bongo Fleva anaitwa Zay to tha B mwanadada GaiDI....
02/06/2026

Wakuu habari.

Miaka ya 2000 kulikua na mwanadada machachali sana katika Bongo Fleva anaitwa Zay to tha B mwanadada GaiDI.

Mwanadada alikua anajitahidi sana kwa nyakati zake kwenye game na walikua mahasimu sana ma mwenzake Sista P.

Alitoa nyimbo maarufu Nipo Gado akishirikisha Kibra, na alikua na Album Mama Africa ambayo kwa nyakati zake pia ilihit sana.

Kipindi yeye yupo hot kwa upande wa kina dada ni Sista P tu ndio alikua wanasumbuana. So tunaweza sema ni moja ya waasisi wa ili game Tanzania.

Siku zimepita kimya, sijamsikia kwenye vyombo vya habari, social media wala story za vijiwe.

Last time alitoa wimbo wa Penzi la Teja ila naona haukupokelewa kiviile.so akala bati.

REST IN PEACE ZAY B🕊️

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahamu Zaidi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share