Øffïçīålæçøūñt whízøhmæñh

Øffïçīålæçøūñt whízøhmæñh Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Øffïçīålæçøūñt whízøhmæñh, Dar es Salaam.

23/05/2020

-Klabu ya Simba Leo imetangaza kufungua website rasmi ya Klabu www.simbasc.co.tz habari mbalimbali, ratiba na matokeo, Historia ya Klabu, matukio yote ya Klabu ya Simba na sehemu ya wanachama zitapatikana kwenye tovuti hiyo.

23/05/2020
23/05/2020

Cristiano Ronaldo akiwa La Liga msimu wa 2014/15:

•Mechi- 35
•Magoli- 48
•Assist- 16

23/05/2020

“Wiki ijayo tutazindua app. Hii ya sasa itaenda mpaka mwisho wa msimu. Kuanzia msimu ujao kwa baadhi ya huduma mtumiaji atailipia. Hiyo itakuwa moja ya njia ya mashabiki kuchangia klabu.”-

CEO Senzo Mbatha.

23/05/2020

Mshambuliaji hatari wa klabu ya RB Leizpg anayewindwa na mabingwa wa ulaya klabu ya Liverpool, Timo Warner amesema kamwe hawezi kujiunga na Manchester United wala Chelsea kwani endapo etajiunga klabu moja wapo kati ya hizo atakuwa amerudi nyuma sana katika maendeleo yake ya soka.

Warner anashika nafasi ya pili kwa kucheka na nyavu katika ligi kuu ya Germany bundesliga akiwa magoli 21, Nyuma ya mshambuliaji wa Buyern Munich Robert Leowondoski anyeongoza kwa magoli 26.

New New
11/05/2020

New New

ANARUDI
....kwa undani wa habali za michezo na burudani chakufanya like page na share post Katika magroup

LIKE PAGE ➡️ JAYM_sport

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Øffïçīålæçøūñt whízøhmæñh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share