Rafk college of health and allied Sciences

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rafk college of health and allied Sciences, College & University, MBEBE, Dar es Salaam.

18/08/2022
Home 18/05/2022

DIRISHA LA MAOMBI LAFUNGULIWA NAFASI ZIPO
TANGAZO LA KOZI ZA AFYA

RAFK ni chuo cha mafunzo ya Afya kilichopo wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe. Chuo kimesajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi NACTE kwa namba za usajili “REG/HAS/210P”. Wahitimu wote wa kidato cha nne (form IV) na cha Sita (Form VI) wanaohitaji kujiunga na kozi za Afya mwaka wa masomo 2022/2023 wanaarifiwa kwamba udahili wa mafunzo umeshaanza kwa kozi zifuatazo:-

1. STASHAHADA YA UTABIBU (DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE- 3 YEARS)
Sifa

Ufaulu wa masomo manne (4) ya Elimu ya Sekondari kwa kiwango cha “D” ikiwemo Chemistry, Biology Physics/Engineering, Mathematics. Ufaulu katika somo la Kiingereza ni sifa ya ziada.
2. ASTASHAHADA YA UTABIBU (CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE - 2YEARS)
Sifa

Ufaulu wa masomo manne (4) ya Elimu ya Sekondari zikiwemo “D” nne (4) za masomo ya Chemistry, Biology, Physics/Engineering ilimradi somo moja kati ya hayo lisipungue “D”. Ufaulu katika somo la English na Mathematics ni sifa ya ziada.

Chuo kina mandhari nzuri na tulivu kwa wanafunzi kujisomea na wakufunzi waliobobea katika fani na wanafundisha kwa teknolojia ya kisasa, maabara ya kisasa pamoja na maktaba bora ya kuwawezesha wanafunzi kujisomea na kufanya vema katika masomo
Tunapokea wanafunzi wanaohitaji kuhamia na wale wa ku-UPGRADE. Kozi ya kompyuta ni bure kwa wanafunzi wote
Gharama za ada ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu
Hosteli zinapatikana kwa wanafunzi wanaotoka mbali na watakaohitaji
Fomu za kujiunga zinapatikana katika Website ya chuo: www.rafkcollege.ac.tz
Au tupigie simu. /0756840400/0620342327/0769225902/0769306644.
Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 30/09/2022
KARIBUNI
Contact
0769225902 | 0620342327
0756840400| 0756840456
Email Us
rafkchas77Gmail.com

Home              RAFK is a Health Training College located in Ileje District Songwe Region. The college is registered with the National Council for Technical Education NACTE at registration numbers REG / HAS / 210P. All Form IV and Form VI graduates who need to join the Health Courses are informe...

18/05/2022

DIRISHA LA MAOMBI LAFUNGULIWA NAFASI ZIPO
TANGAZO LA KOZI ZA AFYA

RAFK ni chuo cha mafunzo ya Afya kilichopo wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe. Chuo kimesajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi NACTE kwa namba za usajili “REG/HAS/210P”. Wahitimu wote wa kidato cha nne (form IV) na cha Sita (Form VI) wanaohitaji kujiunga na kozi za Afya mwaka wa masomo 2022/2023 wanaarifiwa kwamba udahili wa mafunzo umeshaanza kwa kozi zifuatazo:-

1. STASHAHADA YA UTABIBU (DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE- 3 YEARS)
Sifa

Ufaulu wa masomo manne (4) ya Elimu ya Sekondari kwa kiwango cha “D” ikiwemo Chemistry, Biology Physics/Engineering, Mathematics. Ufaulu katika somo la Kiingereza ni sifa ya ziada.
2. ASTASHAHADA YA UTABIBU (CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE - 2YEARS)
Sifa

Ufaulu wa masomo manne (4) ya Elimu ya Sekondari zikiwemo “D” nne (4) za masomo ya Chemistry, Biology, Physics/Engineering ilimradi somo moja kati ya hayo lisipungue “D”. Ufaulu katika somo la English na Mathematics ni sifa ya ziada.

Chuo kina mandhari nzuri na tulivu kwa wanafunzi kujisomea na wakufunzi waliobobea katika fani na wanafundisha kwa teknolojia ya kisasa, maabara ya kisasa pamoja na maktaba bora ya kuwawezesha wanafunzi kujisomea na kufanya vema katika masomo
Tunapokea wanafunzi wanaohitaji kuhamia na wale wa ku-UPGRADE. Kozi ya kompyuta ni bure kwa wanafunzi wote
Gharama za ada ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu
Hosteli zinapatikana kwa wanafunzi wanaotoka mbali na watakaohitaji
Fomu za kujiunga zinapatikana katika Website ya chuo: www.rafkcollege.ac.tz
Au tupigie simu. /0756840400/0620342327/0769225902/0769306644.
Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 30/09/2022
KARIBUNI
Contact
0769225902 | 0620342327
0756840400| 0756840456
Email Us
[email protected]

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

MBEBE
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00