Double 24 Online TV

Double 24 Online TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Double 24 Online TV, Education Website, Dar es Salaam.

Rabbi inni lima anzalta ilayya min khairin faqir ​(Mola wangu, Hakika mimi ni mhitaji wa kheri yoyote utakayoniteremshia)

📲Sheikh Sharifu 0788989035
📲January 0714292709

25/08/2026

Miti ina maajabu makubwa sana📌


24/08/2026

Itunze hii📌


21/08/2026

Ada ya kujiunga na group ni elfu 20📌


21/08/2026

Sikiliza kwa umakini hii📌


20/08/2026

Siri nyingi za Mungu huwezi kuzijua ila kwa siri📌

20/08/2026

Ardhi zimetofautiana ubora📌


01/08/2026

Wazazi wote tuwathamini tusichague upande📌


01/08/2026

Kwa kufanya hivyo utafanikiwa katika kila jambo📌


01/08/2026

Ukipata radhi za wazazi umefanikiwa kwa kila kitu📌


29/07/2026

Haya ndio madarsa yatakayopatikana katika group letu la WhatsApp👇

▶️Siri, faida na taratibu za adhkar mbalimbali.

▶️Faida za aya za Qur'an katika uchamungu na kujitibu.

▶️Elimu kuhusu Swala na Ibada mbalimbali.

Group hili lina misingi na kanuni maalumu ambazo mtu atatakiwa kuzifuata zote na sio bure lina ada ya kujiunga ambayo ni Tsh. 20,000/=
⏩️Sababu ya kuwepo kwa group hili ni kuwarahisishia wale wenye lengo la dhati ya kujifunza zaidi na ada imewekwa ili watu wapate uchungu kwa ile elimu watakayoipata.

KWA WATAKAOTAKA KUJIUNGA TUMA MESEJI KUPITIA WHATSAPP +255714292709 📌

Assalam alaikum warahmaturah wabarakatuh🙏


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Double 24 Online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share