22/09/2022
Karibuni Twayyibat Islamiyyat Seminary School
Tunatoa elimu bora na maadili mema kwa vijana wa Kiislam
22/09/2022
Karibuni Twayyibat Islamiyyat Seminary School
19/09/2022
Twayyibat Islamiyat seminary school inakutangazieni wahitimu wote watarajiwa wa darasa la saba kwa mwaka 2022 nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kwa wanafunzi wa kutwa na hostel.
Pia shule ina nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza na kidato cha tatu kwa wanafunzi wa kutwa na Bweni
Pia shule imendaa program ya pre form one kwa mwaka 2022 kwa bei na fuu pamoja na offers mbalimbali
Karibuni sana
Mawasiliano 0625659643/0717659643