Twayyibat Islamiyyat Seminary school

Twayyibat Islamiyyat Seminary school Tunatoa elimu bora na maadili mema kwa vijana wa Kiislam

Karibuni Twayyibat Islamiyyat Seminary School
22/09/2022

Karibuni Twayyibat Islamiyyat Seminary School

Twayyibat Islamiyat seminary school inakutangazieni wahitimu wote watarajiwa wa darasa la saba kwa mwaka 2022 nafasi za ...
19/09/2022

Twayyibat Islamiyat seminary school inakutangazieni wahitimu wote watarajiwa wa darasa la saba kwa mwaka 2022 nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kwa wanafunzi wa kutwa na hostel.

Pia shule ina nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza na kidato cha tatu kwa wanafunzi wa kutwa na Bweni

Pia shule imendaa program ya pre form one kwa mwaka 2022 kwa bei na fuu pamoja na offers mbalimbali

Karibuni sana
Mawasiliano 0625659643/0717659643

Address

Box 20013, Temeke Mwisho
Dar Es Salaam
NYUMBANAMBA6,MTAAWAMWAKAKATA14

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Twayyibat Islamiyyat Seminary school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Twayyibat Islamiyyat Seminary school:

Shortcuts

Share

Category