Mkali Wenu laiza

Mkali Wenu laiza

Share

fundi simu mbalimbali Tanzania mizima

01/05/2021

Wale wanao teseka wako wapi

17/03/2021

TOVITU NI NINI ASWA JMN

15/03/2021

Karibuni Sana wadauu wangu wote

07/03/2021

Timu ya yavunja benchi nzima la ufundi pamoja na kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo CEDRIC KAZE .

Unadhani kuvunjwa kwa benchi la ufundi na kumfukuza kocha Cedric Kaze ndio litakuwa suluhisho la timu ya yanga kuweza kupata matokeo mazuri ?

Toa Maoni yako hapa


07/03/2021

Baada ya Uongozi wa Yanga kuvunja benchi la timu hiyo na kumfukuza kocha mkuu wa timu hiyo Cedrick Kaze msemaji wa Timu ya Simba Sc
atoa nasaha.

kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika .

"Nasaha zangu Kwa Watani zangu

K**a hujajua tatizo lako katu huwezi kufanikisha utakacho!!!

Hadi sasa watani zetu Utopolo hawajajua wapi wanapojikwaa kila siku na siku wakishajua Simba itakuwa mbali mno kwao.

Niwaibie siri watani??

Shida yenu kubwa mnataka kushindana na Simba ambayo misingi ya kitimu ishajengwa kitambo,,hamkubali kuwa Simba ni bora maradufu ya timu yenu Kwa sasa,,hamkubali kuwa tuna management very strong kuwazidi mara laki, hamjawahi kuelewa ni nusura ya Ghalib tu, bila yy labda mngekuwa nafasi ya kumi muda huu,,hamjawa bado na uongozi wa kushindana na bodi ya Simba.

Pia mmekosa kiongozi au mtu k**a Haji anaeweza kutoka ktk public kuwatuliza Washabiki pale hali inapokuwa tete, na hayo yote hayawezekani kufanywa ktk muda mfupi k**a mnavyoaminishana huko kwenu.
Pepo tunaitaka lakini haipatikani bila kufa.

Hebu shikeni haya maneno toka Kwa mtu msiyempenda, siku moja yaweza kuwastiri

Kubalini kuwa chini yetu Kwa sasa kisha mtengeneze timu na msiamini sana redio na headlines zinazowaaminisha nyie ni bora.

Kubwa rudini nyuma mvute kasi ya kutufikia tulipo Kwa speed ya mwanariadha,,hapo mlipo kukimbia Kwa kushindana na Simba hamtaweza hadi kiyama !! Mnasajili wachezaji wasiopungua ishirini wapya kila mwaka,,hii hapo kokote duniani,,,mbaya zaidi mnaanza kuwapamba hata kabla ya kuingia uwanjani,,mnawapokea kifalme ilhali hata utumwa hawastahilia...

Ahhh nisiwachoshe na stress zenu bureeee,,jumba bovu la Polisi likaja kuniangukia mm ðŸĪŠðŸĪŠ

Pole kocha Kaze ndio maisha ya soka yalivyo Bro"

𝗟𝗜𝗞𝗘 ð—Ģ𝗔𝗚𝗘 𝗎𝗘𝗧ð—Ļ 𝗞𝗊𝗔 𝗛𝗔𝗕𝗔ð—Ĩ𝗜 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜.


Photos from Young Africans Sports Club's post 06/03/2021
06/03/2021

DIBAH Sports News ð—Ķð—Ģð—Ēð—Ĩ𝗧ð—Ķ ð—Ąð—˜ð—Šð—Ķ|| 𝗧ð—Ĩð—”ð—Ąð—Ķ𝗙𝗘ð—Ĩ ð—Ąð—˜ð—Šð—Ķ || 𝗖ð—Ēð—Ąð—§ð—˜ð—Ąð—§ 𝗖ð—Ĩ𝗘𝗔𝗧ð—Ēð—Ĩ|| 𝗊ð—Ĩ𝗜𝗧𝗧𝗘ð—Ĩ.

𝗝ð—Ēð—Ļð—Ĩð—Ąð—”ð—Ÿð—œð—Ķ𝗧-ðŸ‡đðŸ‡ŋ ðŸ‡ĻðŸ‡Ū ðŸ‡ēðŸ‡Ķ ðŸ‡ĐðŸ‡ŋ ðŸ‡ŋðŸ‡Ķ ðŸ‡ļðŸ‡ģ 🇧ðŸ‡Ŧ ðŸ‡đðŸ‡ģ 🇊🇎 ðŸ‡ŋðŸ‡ē 🇎ðŸ‡ķ ðŸ‡ģ🇎 🇎🇞 ðŸ‡ĻðŸ‡ŧ ðŸ‡ēðŸ‡ą 🇎ðŸ‡ģ 🇎🇭 ðŸ‡ĶðŸ‡ī ðŸ‡ēðŸ‡ŋ ðŸ‡ĻðŸ‡Đ ðŸ‡ē🇷 🇎ðŸ‡ē ðŸ‡ĻðŸ‡ē ðŸ‡ģðŸ‡Ķ âĐ 🌍

06/03/2021

karibuni shesho moshi ushirika kuna jambo letu kesho saa 10 jioni sahunia iliyo pita yajayo ndo habari ya mjini

Mungu ibariki yanga tupate point 3

Like na share Michezo yanga

06/03/2021

Hakuna kukata Tamaa

Kesho katika dimba la Sheikh amri abeid karume Arusha polisi Tanzania vs yanga saa 10;00 jion

Tunaenda kuzisaka point 3 za jasho na damu kurudisha imani kwa mashabiki Wetu

Like na share page hii Michezo yanga

19/02/2021

SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WADAI WANAONEWA
:
:
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hautendewi haki kwenye masuala yao tofauti na wengine namna ambavyo wanafanyiwa ikiwa ni pamoja na sakata la mchezaji wao Bernard Morrison ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya Simba.

Morrison amekuwa na mvutano mkubwa na mabosi wake hao wa zamani ambapo wao wanadai kwamba ana kandarasi ya miaka miwili ndani ya Yanga huku mchezaji akiweka wazi kuwa alisaini dili la miezi sita.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredric Mwakalebela mwishoni mwa 2020 aliweka wazi kuwa mchezaji huyo alisaini mkataba feki jambo ambalo limefumbiwa macho na wahusika pamoja.

Pia amesema kuwa Morrison alitakiwa kulipa fedha kwa kwa Yanga ila mpaka sasa imekuwa kimya tofauti na wao wanapofanya makosa kupewa adhabu mara moja.

Mwakalebela amesema:"Mkataba feki wa mchezaji mpaka sasa imekuwa kimya, tunaomba tuitwe tuthibitishe, ukweli kuhusu suala hilo ila tunamaliza ligi hatujaitwa.

"K**ati ilisema mchezaji anapaswa arudishe fedha kwenye Klabu ya Yanga, hadi leo hakuna suala hilo kuona linazungumzwa na hakuna majibu na hakuna suala linalozungumziwa.

"Hatujasskia TFF,(Shirikisho la Soka Tanzania) likisema kuwa mchezaji huyo amelipa ama kuna taarifa yoyote inayohusu malipo yake.

"Ila ikitokea sasa ni suala la Yanga limetokea muda huohuo adhabu inatolewa kwa wakati na utaskia tunaambiwa kwamba tunakatwa kwenye mapato ya getini," .

19/02/2021

Hi maana yake nini

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam