06/04/2025
Sabasaba 2009,kuangalia wanyama pori.
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Iddi higilo, chakula bora/manzese, Dar es Salaam.
06/04/2025
Sabasaba 2009,kuangalia wanyama pori.
28/02/2025
Tbt 2010 at UDZUNGWA NATIONAL PARK(hifadhi ya UDZUNGWA),,Walimu kutalii.
Baada ya wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo yao ,tulipata ofa ya kwenda kutalii katika hifadhi ya milima ya Udzungwa .
Ila somo langu la Kemia kwa kidato cha pili ( form two) lilikuwa linafanya vizuri linaongoza kila mwaka , wanafunzi walikuwa wanafaulu sana.
Hata sir Mpinda nakumbuka alisema'' inabidi wakupe zawadi yako''
Hata Fizikia ( physics) wanafunzi walikuwa wanapenda sana ! ndio somo linaloogopewa lakini wanafunzi waliona rahisi sana!
Mpaka Joseph( mwanafunzi UDSM _Computer science) alikuwa naye akifundisha part time Salma Kikwete Sekondari,,kuna siku aliniuliza kwanini wanafunzi wanakukubali sana !?
Ndio maana wanafunzi wengi walikuwa wanapenda na kung'a ng' ania kusoma SAYANSI, Waliamini moyoni na akilini mwao wakifika kidato cha NNE (form four) pia watafaulu sana , k**a vile kidato cha pili(form two),, madarasa yalijaa na kufurika !
Pamoja na walimu wenzangu tulifanya masomo ya SAYANSI kuwa masomo ya kawaida na rahisi sana !
Hilo ndio lilkuwa lengo.
Wapi Sir Haule ,,sir Mpinda ,,Joshua na Joseph.
16/02/2025
WATU WANAPENDA KUNIULIZA ULIZA , UNAFANYA NINI SIKU HIZI ? UMEACHA KUFUNDUSHA ? UNAFUNDISHA WAPI?
Mimi iddi higilo ni mwalimu wa masomo ya kemia na hisabati , pia hata Fizikia.
Nilikuwa nafundisha serikalini , niliajiriwa katika wilaya ya Mafia, mkoa wa pwani , nilikuwa nafundisha katika shule ya sekondari Baleni.
Huko ndipo nilipotokea na kuja Dar es salaam juni 2015.
KITU GANI KILITOKEA HADI KUNITOA KAFARA
Kwa kawaida wanafunzi wanapoingia kidato cha tatu(form three) kuna kuchagua michepuo ya masomo ama Sayansi au Art.
Mwaka 2014 mwezi February ( mwezi wa pili) niliwachagua wanafunzi thelathini(30) wenye uwezo wa kusoma masomo , lakini wenzangu hawakukubali suala hilo ,wanasema mwanafunzi yeyote atakayetaka na asome!
Nilishangaa sana jamani hata k**a hana uwezo!
Baada ya hapo kukawa na mgogoro mkubwa kati yetu .
Maafisa Elimu walisuruhisha na kutoa maamuzi kuwa Mimi Niko sahihi, wanafunzi hao thelathini(30) wabakie hivyo hivyo.
Lakini wenzangu walichukia sana hawakukubali kushindwa ! Wakawaambia wanafunzi wasitoke !
Kuna siku moja niliingia darasani kufundisha niliwakuta wale wanafunzi wapo darasani, niliwatoa ila kuna mwanafunzi mmoja wa like alikuwa mbishi na mjeuri sana , alitaka kupigana na Mimi ndipo alining'ata mkononi.
KUSH*TAKIWA
Ndipo maafisa Elimu na Bodies ya shule walinipa barua ya kunish*taki kwa : kumuadhibu mwanafunzi kinyume na utaratibu, kuwanyima wanafunzi haki ya kusoma, kupanga utaratibu nivyojisikia na kuwadharau viongozi wangu.
KUNITOA KAFARA
Ndipo baada ya miezi kadhaa kupita wenzangu ,nilisikia wakizungumza wamemkalia kikao wanataka kumtoa kafara!
KUSIKIA SAUTI YA MTU(WATU) IKITOKA KWENYE MTI NA NDANI YA NYUMBA
Ndipo mwezi Desemba 2014 nilisikia sauti ikitoka kwenye Mti na ndani ya nyumba lazima waniparalaizishe kwa kosa nililomfanyia mwanafunzi!
Nilidhani ni utani tu na masihara, kumbe Mimi nilikuwa sijui kuhusu Teknolojia
13/02/2025
Tbt,nyuma ya jengo la maabara ,mazengo sekondari mwaka 2005.
29/12/2024
People were very surprised that I was getting fat and good looking ( beautiful) !
Also know how the tumors started appearing in my mouth !
20/12/2024
Ukimwi wa siku hizi tofauti na zamani mtu haukondi kondi, unanenepa na kupendeza,hautokwi na vipele Pele wala nywele kunyonyoka''
Maneno hayo nilimsikia mtu akimwambia mwenzake wakati Mimi nilipokuwa napita !
Wakati Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kutibu matatizo mengine na wala sio Ukimwi !
Na huku Dar es salaam hali k**a hiyo ilitokea mwaka 2016 Mimi nilikuwa natumia DAWA kwa ajili kuua FUNZA mwilini na nyinyi mkaniletea taharuki !!!?