Tartan Baking Academy

Tartan Baking Academy Professional baking and pastry training focused on practical skills,industry standards and sustainable growth for aspiring and developing bakers.

The Science of Baking, tunaingia ndani ya maarifa ya Amira aina zake, matumizi na namna ya kuchagua kulingana na bidhaa ...
26/08/2026

The Science of Baking, tunaingia ndani ya maarifa ya Amira aina zake, matumizi na namna ya kuchagua kulingana na bidhaa unayotengeneza.

Stay tuned. The Science of Baking inaendelea.....

MENTOR JOAN | Pastry Baker & Proffesional Baking Trainer

25/08/2026

Kupata classic cake yenye matokeo mazuri kunahitaji zaidi ya recipe. Zingatia vipimo sahihi, mixing technique na quality ya ingredients.

Endelea kujifunza, kuboresha skills na kuoka kwa uelewa na Tartan Baking Academy.

Chagua Ubora • Chagua TARTAN

24/08/2026

Tuwasiliane 0689 666633

22/08/2026

Uokaji ni muunganiko wa Sayansi na Sanaa.

Sayansi inatupa maarifa ya kuelewa kinachotokea kwenye kila hatua ya uokaji

wakati Sanaa inatupa ujuzi na ubunifu wa kuyatumia maarifa hayo kutengeneza bidhaa bora, salama na uthabiti.

Unapounganisha maarifa na ujuzi, ndipo uokaji umakuwa taaluma.

Kwa maelezo zaidi kuhusu Tartan Proffesional Masterclass tupigie/Whatsapp 0689 666633

Chagua Ubora • Chagua TARTAN

21/08/2026

Kiwango chako cha Uokaji kinaanza na kile unachojifunza. 👩‍🍳

Wekeza kwenye maarifa yatakayokusaidia kufanya kazi kwa usahihi, kuboresha matokeo na kukuza uwezo wako katika sekta ya uokaji.

Kwa maelezo zaidi: 0689 666633

Chagua Ubora • Chagua TARTAN

21/08/2026

Kiwango chako cha Uokaji kinaanza na kile unachojifunza. 👩‍🍳

Wekeza kwenye maarifa yatakayokusaidia kufanya kazi kwa usahihi, kuboresha matokeo na kukuza uwezo wako katika sekta ya uokaji.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: 0689 666633

Chagua Ubora • Chagua TARTAN

Baking Soda na Baking Powder zinatofautiana.👩‍🍳Kuelewa tofauti yake kunakusaidia kufanya uchaguzi sahihi na kupata matok...
19/08/2026

Baking Soda na Baking Powder zinatofautiana.👩‍🍳

Kuelewa tofauti yake kunakusaidia kufanya uchaguzi sahihi na kupata matokeo bora kwenye kila recipe.

Endelea kujifunza the Science of Baking hapa Tartan Baking Academy

Chagua Ubora • Chagua TARTAN

Uokaji ni taaluma inayohitaji zaidi ya kujua mapishi. 👩‍🍳Mafunzo haya yamejengwa kukupa uelewa, ujuzi wa vitendo na mtaz...
18/08/2026

Uokaji ni taaluma inayohitaji zaidi ya kujua mapishi. 👩‍🍳

Mafunzo haya yamejengwa kukupa uelewa, ujuzi wa vitendo na mtazamo wa kibiashara ili uweze kuzalisha kwa ubora na kufanya maamuzi sahihi katika biashara yako.

Wekeza kwenye maarifa. Boresha kiwango chako. Jenga biashara yenye msingi imara.

Mawasiliano; Tupigie/Whatsapp 0689 666633

Chagua Ubora • Chagua TARTAN

PROFESSIONAL PASTRIES & BREAD MASTERCLASS 👩‍🍳Siku 5 za Intensive Advanced Baking utajifunze kutengeneza Pastries & Bread...
17/08/2026

PROFESSIONAL PASTRIES & BREAD MASTERCLASS 👩‍🍳

Siku 5 za Intensive Advanced Baking utajifunze kutengeneza Pastries & Breads zenye ubora na potential ya biashara.

Tarehe: 10–14 Oktoba 2026
Usikose fursa ya kujifunza kutoka kwa Baking Expert & Certified Professional Trainer na kuongeza kiwango cha ujuzi wako.

Nafasi ni chache,Jipange Kushiriki.

Call/whatsapp: 0689 666633

Chagua Ubora • Chagua TARTAN

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tartan Baking Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category