sheria za Mapenzi

sheria za Mapenzi

Share

Shule ya mahusiano

18/02/2025

Mahali ya Hamisa mobeto milioni 30 Azizi k ametoa hiyo. Je Hamisa anasitahili hiyo pesa au nindogo? Usisahau amezaa watoto wa2

08/01/2025

HAYA TUMALIZE UTATA NANI MKALI WA NYASH (MAKALIO) KATI YA
1. VERA SIDIKA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช (KENYA)
2. MALAIKA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (TANZANIA)

18/02/2024

Dada pamoja na tabia nzuri uliyo nayo lakini jua hili kuwa hakuna mwanaume anaependa mwanamke mbaya, jitahidi kuwa mrembo PastorLilian Kadodoo

12/01/2024

NDOTO ZA WANAWAKE WENGI
Umetoka Job,
Mume amechinja kuku,
Amekupikia Pilau LA kuku,
Amekusubiri mule Wote,
Amekubandikia Maji ya Kuoga,
Baad ya kula Anakufanyia Massage,
Alafu Nguvu za Kumuacha Utatoa wapi Wewe mtoto wa Mama Gee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

27/12/2023

KILA NGUVU ILIYOFUNGA MAHUSIANO YAKO USIOLEWE USIZAE USIDUMU KWENYE NDOA IKUACHIE KUANZIA SASA KWA JINA LA YESU

Kila maneno ya laana uliyo tamkiwa na maadui zako kuwa hutaoa hutaolewa, hutazaa, hutadumu kwenye ndoa, nayafuta kuanzia sasa kwa jina la Yesu

Nakutangazia kwa jina la Yesu Utaolewa Utazaa Utadumu kwenye mahusiano mpaka Ndoa, na utapata Watoto na furaha kwenye ndoa kwa jina la Yesu ๐Ÿ’Ÿ

Kila giza lililofunika nyota yako na uzuri wako ili usionekane na watu sahihi wa kukuoa naliondoa kwenye maisha yako kwa jina la Yesu.

Nuru ya uzuri wako na nyota yako ionekane kwa watu sahihi kwa jina la Yesu ๐Ÿ’ฅ

Kila uganga na uchawi uliotumwa kuharibu hatima yako ili thamani yako isionekane na uteketeza kwa moto wa Mungu kuanzia sasa ukuachie kwa jina la Yesu.

Nakuvua kila vazi baya ulilovalishwa linalofanya ukataliwe na watu sahihi kwa jina la Yesu nalichana hilo vazi la giza likuachie

Kila mizimu ya kwenu inayopinga wewe kuolewa na mtu sahihi inayotaka uolewe na watu watakao endeleza uchawi na mira zakwenu ili udidimie kimaisha naivunja hiyo mazabahu ya mizimu kwenye maisha yako kwa jina la Yesu, kuanzia sasa uko huru
๐Ÿ™Œ

Kila mizimu ya kwenu iliyofunga tumbo ulipo olewa na mtu asiye wakwenu ili uachike na uteseke kwenye ndoa, naiteteketeza kwa moto wa Mungu ikuachie wewe siyo fungu lao kwa jina la Yesu

Kuanzia sasa utapata mimba utazaa, na uzao watumbo lako umefunguliwa kwa jina kuu la Yesu ๐Ÿ’ฏ

Kila majini mahaba yanayokutesa yakizuia watu sahihi na mafanikio kwenye maisha yako, nayakemea kwenye kila eneo la mwili wako na maisha yako kwa jina la Yesu yakuachie, hayana nafasi kwenye maisha yako, wewe ni mali ya Mungu hutamilikiwa na majini na mizimu kwa jina la Yesu

Sema mimi ni mali ya Mungu sitamilikiwa na mashetani kwa jina la Yesu ๐Ÿ™

Kila mapepo yaliyo kuingia kwa njia ya tendo la ndoa ulilofanya na watu wasio sahihi, au kwa ndoto za wachawi usiku, yanayo sababisha wewe kupoteza nuru yako mume mke hana furaha na wewe. Nayaondoa ndani yako kwa jina la Yesu

Nakutakasa kwa damu ya Yesu kuanzia sasa wewe ni kiumbe kipya kwa damu ya Yesu, mumeo atakufurahia mkeo atakufurahia kwa jina la Yesu.

Nafuta roho ya taraka na kuachika inayosumbua ukoo wenu na kabila lenu. Wewe hutaachika kwa jina la Yesu.

NAKUTANGAZIA KUWA KUANZIA SASA UMEKUWA HURU VIFUNGO VIMEKUACHIA KWA JINA LA YESU. NAKUANZIA SASA UTAONA MABADILIKO KWENYE MAHUSIANO, NDOA, UCHUMI, NA MAISHA YAKO.

โœby Mtumishi Fahim 0716 822126 Whatsapp

Maombi na ushauri 0716 822126

01/11/2023

Eti ni jina la mwanaume gani hawezi kumpa pesa mwanamke๐Ÿคฃ

12/09/2023

THAMINI CHOCHOTE ULICHO NACHO๐Ÿค”

(1) K**a upo SINGLE na umekazana kusema* siamini mtu katika MAPENZI" kumbuka rafiki zako wanaoa na kuolewa kila siku acha mawazo hasi omba MUNGU akujalie mwenza wa maisha ambae utaendana nae.

(2) K**a upo ndani ya ndoa na umekazana kusema NACHUKIA HII NDOA huoni wanandoa wengine ambao wanasherehekea jubilee ya miaka 20 ya ndoa zao? omba MUNGU aiponye ndoa yako.

(3) K**a umekazana kusema NAACHANA NA MUME WANGU SABABU ANANISALITI" tafadhali hebu nenda mjini pita maeneo uone wanawake Malaya wenye uchu ambao wanamsubiri kwa hamu mumeo wamchune vizuri ambao kwao hawajali ku share mwanaume omba MUNGU aitengeneze ndoa yako.

(4)K**a unasema NAICHUKIA KAZI YANGU" angalia maelfu ya vijana ambao hawana ajira wanazunguuka kila siku na bahasha maofisini vipi unataka kujiunga nao? hebu kuwa na SHUKRANI!

(5) Unasema unapachukia unapoishi tafadhali nenda kawatembelee watoto wa MTAANI uone mazingira magumu wanayoishi mshukuru MUNGU walau unalala hata kwenye kigodoro.

(6) Wengine husema nimechoka na haya maisha sawa nenda mahospitalini na uone watu wanavyopigania uhai wao, nenda mochwari na utazame na uniambie unafikiri nini! Chamuhimu ni kumshuku MUNGU.

Hebu nisikilize kwa makini...

Kutambua thamani ya miaka minne au mitatu muulize muhitimu wa chuo kikuu.

Kutambua thamani ya mwaka mmoja muulize mwanafunzi alifeli mtihani wake wa mwisho, kutambua thamani ya miezi tisa muulize mama aliyejifungua mtoto aliye njiti.

Kutambua thamani ya wiki moja muulize mhariri wa gazeti linalotoka kila wiki.

Kutambua thamani ya dakika moja muulize abiria aliyeachwa na usafiri wa ndege, bus au treni.

Kutambua thamani ya sekunde moja muulize mtu yeyote aliyenusurika katika ajali.

Furahia kila dakika ambayo Mungu amekupa kuendelea kuvuta pumzi yake acha kulalamika maisha ni jinsi wewe unavyoishi.๐Ÿ™

By Mtumishi Fahim 0716 822126 ๐Ÿ’ฅ

Ushauri na maombi 0716 822126 Whatsapp

14/08/2023

Malizia mwenyewe ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

31/07/2023

Mpenzi wako akikukosea usimsamehe achana nae maana hata sisi wenyewe tunamtaka๐Ÿ˜œ

22/07/2023

Niambie ni mwanamke gani kwenye biblia aliolewa akiwa na mtoto

22/07/2023

Huyu atafika mbinguni amechoka

18/06/2023

Eti jamani naomba majibu๐Ÿ˜…

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam