OfficialDelius

OfficialDelius

Share

When the inner Spirit has Liberation, Inspiration is born!

27/02/2024

“Niwapongeze wachezaji kwa kupambana na jitihada zao zikaenda kuzalisha furaha kwa mashabiki, jasho lao limekwenda kutengeneza rekodi kuwa klabu ya kwanza kushinda goli 4 dhidi ya timu kutoka ukanda wa kaskazini hususani taifa la kiarabu tena bingwa wa ligi.

“Nitakuwa mkosefu wa fadhila kwa kushindwa kuwashukuru benchi letu la ufundi chini ya Miguel Gamondi, wameandaa wachezaji vizuri, kiakili na kimwili. Unaongelea Belouzidad ambaye amecheza dakika 180 bila kuruhusu goli, na kufanikiwa kuwauzia Al Ahly kushindwa kulenganhata shuti moja. Kimsingi k**a wachezaji wasingeandaliwa vizuri basi isingekuwa shughuli nyepesi” Ally Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano Young Africans SC.

19/01/2024

Full time
Senegal 3 : Cameron 1😎😎

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam