Imperial Schools Tanzania

Imperial Schools Tanzania Imperial Schools Tanzania, is a Co-educational full boarding school with a spirit, where every

27/05/2026

Eid Mubarak

10/05/2026
Celebrating ๐—ช๐—ผ๐—ฟ๐—น๐—ฑ ๐—–๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐˜๐˜† ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—œ๐—ป๐—ป๐—ผ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐——๐—ฎ๐˜†Imperial Schools Tanzania, tunaamini kuwa ubunifu wa kweli unaanzia kweny...
21/04/2026

Celebrating ๐—ช๐—ผ๐—ฟ๐—น๐—ฑ ๐—–๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ๐˜๐˜† ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—œ๐—ป๐—ป๐—ผ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐——๐—ฎ๐˜†

Imperial Schools Tanzania, tunaamini kuwa ubunifu wa kweli unaanzia kwenye msingi imaraโ€”maarifa, vitendo, na kumjua Mungu.

Kutoka maabara zetu zilizojaa ubunifu hadi uzoefu wa kimataifa k**a US Trip, wanafunzi wetu wanajifunza kufikiri nje ya mipaka na kuwa wabunifu wa kesho.

Lakini tukumbuke, hekima ya kweli huanza kwa kumcha Mungu ((๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฏ๐˜€ ๐Ÿญ:๐Ÿณ ๐—ก๐—œ๐—ฉ), na mafanikio yanahitaji bidii na kujituma (๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฏ๐˜€ ๐Ÿญ๐Ÿฌ:๐Ÿฐ ๐—ก๐—œ๐—ฉ
) ๐Ÿ™๐Ÿ’ก

Wakati tunaadhimisha siku hii tunawakumbusha vijana wetu Maombi ni muhimu sanaโ€”yanatuongoza, yanatupa mwelekeo. Lakini maombi bila jitihada hayawezi kutufanya wavumbuzi. Lazima tuunganishe imani na vitendo.

Tunaendelee kulea kizazi cha wabunifu wenye maono, maadili, na ujasiri wa kubadilisha dunia.

FutureLeaders

12/04/2026

What the ocean marathon held this weekend in Cape Town taught usโ€ฆ ๐ŸŒŠ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ

Itโ€™s not about how you start โ€” itโ€™s about how you endure and finish.

Runners didnโ€™t stop midway when the waves got rough. They pushed through pain, stayed focused, and gave everything to reach the finish line. Because ุงู„ุญู‚ูŠู‚ูŠ victory is not participationโ€ฆ itโ€™s finishing at your absolute best.

And thatโ€™s the same mindset every Form Five student must carry.

Form Five si darasa la kawaida โ€” ni turning point ya maisha yako.
Ni pale unapochagua: kusimama njiani au kusonga mbele bila kukata tamaa.

โ€œUsikubali kufia njianiโ€ฆ hakikisha unafia kileleni.โ€ ๐Ÿ

At Imperial Schools Tanzania, we build students who donโ€™t quit โ€” we shape finishers.
Wenye nidhamu, uvumilivu, na nguvu ya akili ya kushinda mpaka mwisho.

KOMAA NA KESHO YAKO. ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ”ฅ

Address

Msolwa/Morogoro Road
Chalinze

Opening Hours

07:00 - 17:00

Telephone

+255757700700

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imperial Schools Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Imperial Schools Tanzania:

Shortcuts

Share

Category