Mbelwa Arfuled Katto Katto

Mbelwa Arfuled Katto Katto EDMARK TANZANIA kagera

30/08/2021

KUVURUGIKA KWA HOMONI KWA WANAWAKE (KUTOPATA UJAUZITO NA MVURUGIKO WA HOMONI )

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mwili kubadilika.
Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.

Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe(kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.
Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

II. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI

Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana:

-Mifumo ya maisha wanayoishi,
-Elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulinganana makundi ya damu.

Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni k**a vile,

a) Uwepo wa sumu mwilini

b) Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

c) Umri

d) Kukoma kwa hedhi

e) Kutofanya mazoezi

f) Uzito mkubwa

g) Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

h) Msongo wa mawazo

i) Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

j) Upungufu wa lishe mwilini

k) Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango

l) Utoaji wa mimba

m) Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

n) Ongezeko ya homoni ya testosterone (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)

NB (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

III. DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele. Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:
1- Ukavu ukeni
2- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
3- Kutoa jasho usiku
4- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
5- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
6- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
7- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
8- Uchovu wa mara kwa mara
9- Hasira za mara kwa mara
10- Kukosa usingizi

jinsi usingizi unavyoathiri mzunguko wa homon

11- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
12- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
13- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
14- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele)
15- Maumivu ya viungo
16- Upungufu wa nywele kichwani.
17- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
18- Kuwa na hamu ya kula vyakula au vinywaji vya wa ndani.
19- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
20- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
21- Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
22- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

23- Kusinyaa na kupauka kwangozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
24- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
25- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
26- Kutokupata choo kwa wakati
27- Misuli hudondoka

IV. MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI

Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua, huathiri mtoto atakayezaliwa, huathiri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria), --

-kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
-Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi ---kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:
-Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

-Mimba kuharibika mara kwa mara
-Kukosa mtoto au Ugumba
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa kiume
-UTI (Urinary Tract Infection)
-Kuzeeka mapema
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Uvimbe (Fibroids and Cysts)

V. SULUHISHO

b. SURUHISHO LINALOPENDWA JAPO SIYO SALAMA
Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa hutumia madawa (bioidentical or synthetic hormones) na wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake k**a kawaida. Lakini hupelekea madhara k**a:
- Kuongeza uwezekano ya shinikizo la damu.
- Osteoporosis.
- Madhara katika mfumo wa uzazi.
- Saratani na mengineyo.

b SURUHISHO LA KUDUMU KUTOKA EDMARK PRODUCTS.

Spina chlorophyll liquids

Shake off
Bidhaa hizi ni maalumu kwa mambo yafuatayo
-kuondoa uchafu na Pumu katika mji wa mimba, mapafu, kibofu, mishipa ya damu, kongosho, INI na sehemu nyingi mwilini
-kupunguza uzito
-kurekebisha kiwango cha seli mwilini
-njia mzuri ya kuondoa mafuta na maumivu ya tumbo

Red bubble tea

Cafe Troika
Bidhaa hizi ni maalum kwa..
-kuhusika na kiini cha tatizo na kutibu kabisa
- kufufua seli zilizozorota au kuzeeka
- kuupa mwili nguvu na kukuondolea uchovu
- kusawazisha kiwango cha sukari mwilini
-kusaidia kongosho kufanya kazi vizuri
-kusaisia katika kuzalisha insulin mwilini

BIDHAA ZA EDMARK.bidhaa hizi ni bora na zina gerentee katika kutibu kwa mteja kurudishiwa gharama zake k**a akitumia dozi na hakupata matokeo atarudishiwa gharama zake zote..

08/08/2021

MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO ( URINALY TRACK INFECTION)

Mfumo wa mkojo huundwa na figo, njia ya mkojo inayotoka kwenye figo hadi kwenye kibofu(yureta),kibofu cha mkojo na njia ya mkojo inayotoka kwenye kibofu hadi nje ya mwili(yurethra).Maambukizi ya bacteria huweza kuathiri sehemu yoyote ya mfumo huu. Maambukizi ya mfumo wa mkojo ni ya pili ukiangalia maambukizi yote ya mwili.

Dalili za maambukizi ya mfumo wa mkojo ni zipi?

Dalili hutofautiana kulingana na ukali wa maambukizi,umri na sehemu iliyoathirika.

Dalili zinazojitokeza mara nyingi pakiwa na maambukizi (UTI):

1:Uchungu au kuwashwa unapokojoa.
2:Kuhisi kukojoa mara nyingi.
3:Homa na uchovu .
4:Mkojo wenye harufu mbaya na si safi (cloudy).

Dalili zinazotokana na maambukizi ya kibofu

1:Maumivu katika upande wa chini wa tumbo.
2:Kukojoa mkojo kidogo , wenye maumivu na mara nyingi.
4:Dalili za homa kidogo. Bila maumivu ya mbavu.
5:Damu kwenye mkojo.

Dalili zinazotokana na maambukizi ya upande wa juu wa njia ya mkojo

1:Maumivu ya upande wa juu wa mgongo na mbavu.
2:Kuwa na homa na kuhisi kibaridi. Kichefuchefu, kutapika, uchovu na kujihisi mgonjwa kwa ujumla.
3:Kuchanganyikiwa kwa wazee.

Maambukizi haya ni hatari sana yasipotibiwa vyema na haraka. Aidha yanaweza hata kuhatarisha maisha.

Kuwashwa na kukojoa mara nyingi ni dalili za maambukizi ya sehemu za mfumo wa mkojo.Chanzo

Nini kinachosababisha maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya mkojo?

1. Kuziba kwa njia ya mkojo.

2. Maumbile ya k**e Kwa sababu njia ya yurethra ya wanawake ni fupi kuliko ya wanaume,basi huwezekano wa kupata maambukizi ni mkubwa zaidi kuliko wanaume.

3. Maingiliano/ Kujamiiana: Wanawake wanaoshiriki tendo la ndoa huweza kupata maambukizi mengi zaidi kuliko wenzao wasioshiriki tendo hilo.

4. Mawe Mawe kwenye figo, njia ya kuelekea kwenye kibofu cha mkojo (ureta) au ndani ya kibofu chenyewe yanaweza kuzuia mtiririko wa mkojo na hivyo kusababisha maambukizi.

5. Mpira wa katheta Watu waliowekewa katheta wana uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi kirahisi.

6. Kasoro za kimaumbile Watoto wenye kasoro za kimaumbile k**a mkojo kurudi nyuma k**a kwenye kibofu na hivyo kwenda kwenye yureta ( vesicoureteral reflux) au k**a njia ya yurethra valve inafungukia nyuma, hupata maambukizi kwa urahisi sana.

7. Kuongezeka ukubwa wa tezi dume Wanaume walio na umri wa miaka zaidi ya sitini wanaweza kupata maambukizi kwa sababu ya kukua kwa tezi dume.

8. Kinga ya mwili iliyodhoofika Wagonjwa wa kisukari,UKIMWI au saratani.

9. Sababu nyingine: k**a njia za yureta na yurethra kuwa nyembamba,tibi (TB) kwenye njia ya mkojo, neurogenic bladder,diverticulumnk.

Kuziba njia ya mkojo ni sababu kuu ya maambukizi ya njia ya mkojo.Utambuzi

Je,maambukizi ya mara kwa mara hudhuru figo?

Maambukizi ya mara kwa mara kwa watu wazima hayawezi kudhuru figo . Kitu muhimu cha kuangalia ni hali iliyosababisha maambukizi hayo, k**a mawe, kuziba au njia kuwa nyembamba, tibii ya mfumo wa mkojo havijatibiwa ipasavyo.

kwa upande mwingine,maambukizi kwa watoto yasipotibiwa kwa haraka na kwa njia ifaayo,figo zao changa zinaweza kuharibika kabisa. Madhara haya yanaweza kufanya uwezo wa figo wa kufanya kazi upungue na mtoto kupata shinikizo la damu. Kwa hiyo maambukizi haya ni hatari zaidi kwa watoto kuliko watu wazima.

Utambuzi wa maambukizi ya sehemu za mfumo wa mkojo

Uchunguzi hufanywa ili kutambua ugonjwa na kujua ukali wake.Kwa mtu ambaye hupata maambukizi haya mara kwa mara au yenye matatizo mengi,vipimo tofauti hufanywa ili kujua chanzo cha ugonjwa na hatari zilizopo zinazomfanya kupata tatizo hili mara kwa mara.

1. Uchunguzi wa msingi wa maambukizi ya mfumo wa mkojo

1 Kuchunguza mkojo

Uchunguzi ambao ni hupendekezwa sana ni kupima mkojo wa kwanza wa asubuhi . Mkojo k**a una chembechembe nyeupe za damu nyingi huashiria maambukizi. Hata hivyo,kutopatikana kwa chembechembe hizi huwa haimaanishi hakuna maambukizi.Vijiti vyenye kemikali ambavyo hubadilika rangi vikiwekwa kwenye mkojo pia huweza kutumiwa nyumbani na hata ofisini.Jinsi rangi inavyobadilika ndivyo huashiria wingi wa bakteria kwenye mkojo. Vijiti hivi havipatikani kwa urahisi katika nchi nyingine kwa mfano India.

Maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa kawaida hauleti uharibifu kwenye figo na hasa k**a hakuna sehemu yoyote iliyoziba kupitisha mkojo.

2. Ukuzaji wa bacteria ili kuzichunguza

Uchunguzi huu ndio bora zaidi na unafaa kufanywa kabla ya kutumia dawa za antibayotiki.Hupendekezwa kwa maambukizi yenye matatizo mengi ,pia hufanywa kuthibitisha kile ambacho daktari alikuwa amewazia.

Ukuzaji huu huwa kwa saa 48-72,wakati huu mrefu wa kungoja ndilo tatizo kubwa la uchunguzi huu. Jinsi bakteria Wanavyokua kipimo hiki hutumiwa kutathmini uwepo na ukali wa maambukizi pia aina ya viumbehai vilivyosababisha maambukizi.Aina ya bacteria iliyosababisha maambukizi hujulikana na hivyo dawa za antibayotiki zinazotakiwa kutumika huamuliwa.

Ili kuzuia mkojo wa uchunguzi kuchafuka,mgonjwa hutakiwa asafishe sehemu za siri na kuchukua sampuli ya mkojo wa kati (mid stream) kwenye kichupa safi. Vifuko vya katheta pia hutumiwa kupata sampuli ya mkojo. Njia nyingine ni kupata mkojo moja kwa moja toka kwenye kibofu kwa kutumia sindano.

3. Kupimwa damu

Vipimo vya damu ambavyo huombwa mara nyingi ni pamoja na vile vya chembechembe nyekundu na nyeupe za damu, yurea kwenye damu, kiasi cha kreatinini,sukari ya damu na protini.

Kukuza adudu na kuona wanasikiaje dawa(culture and sensitivity) ni kipimo muhimu sana kwa utambuzi na kutibu mambukizi kwenye mfumo wa mkojo.

Uchunguzi ili kujua hali zingine za hatari zinazoambatana na maambukizi

Iwapo maambukizi hayaishi au yanarudi tena na tena, utafiti zaidi unahitajika kuchunguza iwapo kuna matatizo mengine,uchunguzi huo huzingatie :

1. Picha za ultrasound na eksirei ya tumbo.

2. Picha za CT na MRI za tumbo.

3. Voiding cystourethrogram.

4. Intravenous urography.

5. Kupima ugonjwa wa tibii (TB) ya mkojo.

6. Kuangalia ndani ya kibofu cha mkojo kwa kutumia mashine inayoitwa cytoscope.

7. Kupimwa na daktari wa uzazi .(k**a ni mwanamke).

8. Urodynamics.

9. Kupima damu ili kuotesha wadudu - (blood cultures).

Kwa matibabu bora ya maambukizi ya njia ya mkojo ni muhimu kuchunguza chanzo cha matatizo anayoambatana na ugonjwa.

Kuzuia

Kuzuia maambukizi ya mfumo wa mkojo

Kunywa maji mengi ,lita tatu hadi nne kila siku. Maji huzimua mkojo na kusaidia kutoa bacteria kwenye kibofu na njia ya mkojo.
Kukojoa kila baada ya saa mbili au tatu,usihairishe kukojoa,kuweka mkojo kwa muda mrefu huwapa bacteria nafasi ya kukua.
Kula vyakula vyenye vitamini C ,k**a vile matunda, ( ubuyu, machungwa…nk), mkojo wenye asidi hupunguza bacteria.
Zuia kufunga choo au tibu hali hii mara moja.
Wanawake na wasichana wajipanguse kutoka mbele wakielekea nyuma na si nyuma hadi mbele baada ya kujisaidia.
Kusafisha sehemu za siri ,mbele na nyuma baada ya kufanya mapenzi,kojoa kabla na baada ya kufanya mapenzi na kunywa gilasi ya maji baadaye.
Wanawake wanashauriwa kuvaa nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba ili kuruhusu hewa kuzunguka.Nguo za ndani za nailoni hazifai.
Maambukizi yanayorudi tena na tena baada ya kufanya mapenzi yanaweza kuzuiwa kwa kutumia dozi moja tu ya dawa za antibayotiki.

Ni muhimu kunywa maji mengi ili kuzuia na kutibu maambukizi ya njia ya mkojo.

Matibabu

Matibabu ya maambukizi ya mfumo wa mkojo Hatua za jumla

Kunywa maji mengi. K**a mtu ni mgonjwa sana ,ameishiwa na maji mwilini au hawezi kunywa maji kwa sababu ya kutapika,anahitaji kulazwa hospitalini na kuwekewa maji.

Kunywa dawa za kupunguza maumivu na dalili ya homa. Tumia vitambaa moto kujikanda hupunguza maumivu. Usinywe kahawa wala pombe, usivute sigara au kula vyakula vyenye viungo vikali. Hivi vyote husumbua kibofu. Zingatia hatua zote za kuzuia maambukizi.

Kutibu maambukizi ya sehemu ya chini ya mfumo wa mkojo

Kwa mwanamke wa umri mdogo,dawa za antibayotiki kwa siku tatu tu zinatosha.Madaktari wengine hupendelea kutoa dawa hizi kwa siku saba hadi kumi na nne. Wanaume huitaji matibabu ya sku 7 hadi 14 ya antibiotiki. Dawa ambazo mara nyingi hutumiwa ni trimethoprim, cephalosporins, nitrotuyantoin au fluoroquinolones.

Matibabu ya maambukizi makali ya figo(Pyelonephritis)

Wagonjwa wenye maambukizi makali huhitaji kulazwa hospitalini.Mkojo na damu hupimwa kabla ya kuanza matibabu ili kubaini chanzo na kuamua dawa zinazofaa.Wagonjwa hutibiwa kwa kuwekewa maji na dawa za antibiotiki kupitia kwenye mshipa . Hii hufuatiwa na tembe za antibayotiki kwa siku kumi hadi kumi na nne. Ikiwa dawa zinazotolewa hazisaidii na mgonjwa anazidi kuwa na dalili za maambukizi na homa na kuonyesha dalili za kudhoofika kwa figo,picha hupigwa. Mkojo hupimwa tena ili kutadhmini maendeleo ya matibabu.

Maambukizi ya mfumo wa mkojo ya mara kwa mara

Kwa mgonjwa mwenye maambukizo yanayo jirudiarudia, ni muhimu kutambua chanzo kinachosababisha maambukizi hayo. Kutegemea chanzo chake, matibabu ya dawa au upasuaji hupangwa.Wagonjwa k**a hawa huhitaji kufuatiliwa,kuzingatia ushauri wa kujitunza na dawa za antibayotiki kwa muda mrefu.

Mgonjwa mwenye maambukizi kwenye njia ya mkojo inafaa amwone daktari lini?

Mkojo ukipungua au kupotea kabisa.
Homa kali, kutetemeka, maumivu ya mgongo, mkojo usio safi (cloudy) au mwekundu.
Mgonjwa anayetapika sana, misuli kukosa nguvu na shinikizo la damu kuwa chini.
Watoto wote wenye maambukizi ya mfumo wa mkojo.
Wagonjwa wote wenye figo moja au/na historia ya kuwa na mawe.
Hakuna nafuu baada ya matibabu ya antibitiki kwa siku 2 hadi 3.

Homa kali kwa muda mrefu, homa ya baridi (chills), mkojo mchafu, kuunguza wakati wa kukojoa, hizi zote zinahitaji uchunguzi makini.

Je wajua Kwamba Ukitumia Shake off Itakusaidia K**a Upati Aja kubwa au Choo Kwa WakatiIna saidia kuondoa mgandamao kweny...
22/05/2021

Je wajua Kwamba Ukitumia Shake off Itakusaidia K**a Upati Aja kubwa au Choo Kwa Wakati

Ina saidia kuondoa mgandamao kwenye utumbo mpana ukitumia ndani ya masaa sita (6) mpaka manane (8) utaona matokeo,Kwahiyo utaweza kwenda aja kubwa na ukitoa uchafu uliokua umegandamana kwenye utumbo.

Maana utajisikia uko vizuri na utakua mwepesi kiasi na ukiendelea kutumia mpaka uk**ariza dozi mzima utaona matokeo mazuri sana.Ina maana utakua umeondoa sumu mwilini.

Ina tumika kwenye pande zote kwa wamoyo na watu wazima na ina radha nzuri ya aina mbili ya chungwa na embe.

Ina saidia watu ambao wanaokosa choo kwa mda mrefu Sana Kwahiyo utaweza kupata choo k**a kawaida k**a zamani.

Ina Maana usipopata choo matokeo yake yanakuwa ni mabaya sana unaweza kupata na kansa ya utumbo
Tuwasiliane Kwenye namba +255786960114/+255766731672

11/05/2021

Karibu

28/03/2021

Je Unajua Kwamba Ukitumia Splina Itakuondolea Tatizo lako Linalo Kusumbua

Wewe k**a ni mpiga rangi za manyumba unatatizo na wapulizia dawa za kuua wadudu wa nao shambling mimea Splina itakusaidia kukuondolea sumu mwilini.

Ukitumia Splina wakati wakutoka kwenye kazi yako ya kupiga rangi majumba au kupulizia dawa za mimea utakua unaondoa sumu mwilini Je?! Unajua Kwamba kupulizia dawa za mimea k**a kupulizia Pamba,Nyanya,Kolosho Mibuni ya Kahawa, kabeji ,je Unajua dawa iyo ni sumu

Je? Unajua asara yake izo dawa ikishaingia mwilini na utakua na matatizo gani kwenye mwili wako kwanza utakua na muwasho kwenye mwili na utapata magonjwa ya ngozi au kupata Kansa ya ngozi na usiwaze shukulu sho lipo ukitumia Splina itakusaidia kumaliza tatizo lako litaisha .

Na ukitumia zaidi ya Splina tatu utapata punguzo la 18℅ kutoka bei ya kawaida,lakini Splina ina vurutubisho vya kuondoa sumu mwilini na kutengeneza seli na kinga ya mwili.

Wewe k**a ni mpiga rangi za majumba Unajua Kwamba rangi via mbaya vya sumu nadhani utasema Japan au ndio sasa nakupa mabaka yake wapiga rangi upo uwezekano kua matatizo la kuwashwa mwili au kupatwa Ugonjwa wa tezi dume au kupatwa Ugonjwa wa Pumu au magonjwa yote ya kimufumo mwili ukitumia Splina utapona na kinga nibola kuliko tiba

Kwa Mawasiano yangu ni au tuma ujumbe kwenye namba izi au piga simu +255786960114/+255766731672 tuma ujumbe sasaivi au piga simu sasaivi

JE WAJUA UKITUMIA SHAKE OFF ITAKUONDOLEA MATATIZO YAKO YA KUKOSA AJA KUBWA BASI NAOMBA NICHUKUE MDA WAKO KIDOGO UKASOME ...
07/03/2021

JE WAJUA UKITUMIA SHAKE OFF ITAKUONDOLEA MATATIZO YAKO YA KUKOSA AJA KUBWA

BASI NAOMBA NICHUKUE MDA WAKO KIDOGO UKASOME MAELEZO AYO KWA DAKIKA KUMI TU (10)

Ina saidia kuondoa mgandamao kwenye utumbo mpana na ukitumia ndani ya masaa sita (6) adi manane (8) utaona matokeo Kwahiyo utaweza kwenda aja kubwa na ukitoa uchafu uliokua umegandamana kwenye utumbo mpana Maana ufanisi kua uko vizuri na utakua mwepesi kiasi na ukiendelea kutumia mpaka uk**ariza dozi mzima utaona matokeo mazuri sana Ina maana utakua imenda sumu mwilini

Ina tumika kwenye pandemic zote kwa watoto na watu wazima na ina radha mazuri ya aina mbili ya chungwa na embe

Ina saidia watu ambao wanakosa kwenda aja kubwa au choo kwa mda mrefu k**a akimaliza siku bila kwenda aja kubwa na wengine wanaenda ndani ya siku tatu Kwahiyo utaweza kupata choo k**a kawaida k**a zamani Ina maana usipopata choo kwa wakati matokeo yake ya nakushauli nimabaya sana unaweza ukapate na kansa ya utumbo.

MAELEZO KUUSU SHAKE OFF kwanini naelezea kuusu shake off Ni kwasababu Ni tiba ya kuondoa sumu mwilini au lea mbaya mwilini

1 shake off Ni aina ya vyakula vilivyo tengenezwa kuondoa lea mbaya kwenye mwili au kuondoa sumu mwilini

2 kwanini inaondoa sumu mwilini au lea mbaya mwilini nikwasababu sisi binanadamu tunakula vyakula aina mbalimbali vyenye viambata vya sumu mwilini na vyenye mafuta mengi

3 je!? Vyakula tunavyo kula vinaenda kukaa wapi kwanza vyakula tunavyo kula vinaenda kukaa kwenye utumbo mwembamba baada ya kusafishwa na kuchujwa kwenye utumbo mwembamba vinavyo baki K**a uchafu usukumwa kwenye utumbo mpana kwaajili kutoa uchafu uo K**a choo

4 je tunatoa uchafu uo kweli je K**a tunatoa uchafu uo kwa siku tunautoa Mara ngapi kwa siku kwasababu kila siku tunakula na kumya inavyo semekana K**a mfumo wako wachakula uko sawa inapaswa uende aja kubwa Mara tatu kwa siku je unaenda Mara tatu kwa siku K**a niapana unapaswa kutumia shake off

5 je unajua kwanini ua tunapata magonjwa mengi ya kimfumo mwili K**a kua na uzito mwingi kua nakitambi kukoswa choo siku tatu au siku saba na kupata choo ngumu je unajua sababu nini sababu uchafu ulio chujwa kutoka kwenye utumbo

Address

Bukoba

Telephone

+255786960114

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbelwa Arfuled Katto Katto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mbelwa Arfuled Katto Katto:

Shortcuts

Share

Category