Bagamoyo African Institute of Science and Technology - BIST

Bagamoyo African Institute of Science and Technology - BIST Empowering minds through quality education, practical skills, and innovation.

KWA NINI UCHAGUE BIST? Chuo unachochagua kina nafasi kubwa katika safari yako ya elimu na maendeleo ya ujuzi wako.✅ Mafu...
01/09/2026

KWA NINI UCHAGUE BIST?

Chuo unachochagua kina nafasi kubwa katika safari yako ya elimu na maendeleo ya ujuzi wako.

✅ Mafunzo ya vitendo yanayokupa ujuzi wa kufanya kazi katika mazingira halisi.
✅ Programu mbalimbali katika sekta za Sayansi, Kilimo, Afya, Biashara, Teknolojia na nyinginezo.
✅ Walimu wenye uzoefu wanaokusaidia kuelewa na kutumia kile unachojifunza.
✅ Mazingira bora ya kujifunzia yanayochochea ukuaji wa kitaaluma na binafsi.
✅ Fursa za HESLB kwa programu zinazostahili.
✅ Maendeleo ya ujuzi unaokusaidia kujiandaa kwa mahitaji ya soko la ajira.

Programu Zinazopatikana:
• Agriculture Production
• Animal Health and Production
• Veterinary Laboratory Technology
• Food Technology and Human Nutrition
• Land Survey and Mapping
• Occupational Health and Safety
• Medical Laboratory Technology
• Transport and Supply Chain Management
• Business Administration
• Accountancy
• Banking and Finance
• Accounting and Finance

📍 Bagamoyo Town
🌐 www.bist.ac.tz

📞 Kwa Maombi na Maelezo Zaidi:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

BIST – Transforming Minds.

Katika maabara, usafi na usalama ni kila kitu.Autoclave hutumia joto kali na pressure kuondoa vimelea hatari na kuhakiki...
29/08/2026

Katika maabara, usafi na usalama ni kila kitu.

Autoclave hutumia joto kali na pressure kuondoa vimelea hatari na kuhakikisha vifaa viko salama kabisa.

Medical Laboratory Technology ni taaluma inayokupa maarifa na ujuzi wa kufanya vipimo vya maabara vinavyosaidia katika kugundua magonjwa, kufuatilia afya ya mgonjwa na kusaidia wataalamu wa afya kufanya maamuzi sahihi.

BIST College, tunafanya zaidi ya kufundisha.

Tunabadilisha uwezo wa mwanafunzi—kutoka kawaida hadi kuwa mtaalamu.

BIST College — Transforming Minds. Building Futures
Tunakuandaa leo… kwa mafanikio ya kesho.

📞 Apply now:
+255 765 707 030 | +255 681 014 440
+255 611 827 030 | +255 772 406 048

🌐 www.bist.ac.tz
📍 Bagamoyo Town

Wanyama wenye afya, uzalishaji bora na jamii yenye maendeleo huanza na wataalamu wenye maarifa na ujuzi sahihi. Diploma ...
27/08/2026

Wanyama wenye afya, uzalishaji bora na jamii yenye maendeleo huanza na wataalamu wenye maarifa na ujuzi sahihi.

Diploma in Animal Health & Production kutoka BIST inakuandaa kwa maarifa ya afya ya wanyama, uzalishaji, udhibiti wa magonjwa na usimamizi wa mifugo kwa vitendo.

September Intake 2026/2027 iko wazi!

Jiunge na Bagamoyo Institute of Science and Technology (BIST) na anza kujenga taaluma yako katika sekta ya mifugo.

Qualifications:
2D in Science Subjects
2D in Non-religious Subjects

Fees: Tshs. 1,400,000 (ina mkopo wa HESLB)

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

📍 Bagamoyo Town
🌐 www.bist.ac.tz
📞 Contact Us:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

BIST - Transforming Minds, Building Futures.

Kwa Nini Usome BIST?Unatafuta chuo kitakachokupa zaidi ya nadharia? BIST ni sehemu sahihi ya kujenga taaluma yako kupiti...
26/08/2026

Kwa Nini Usome BIST?

Unatafuta chuo kitakachokupa zaidi ya nadharia? BIST ni sehemu sahihi ya kujenga taaluma yako kupitia elimu inayochanganya maarifa na vitendo.

➖Kozi mbalimbali zenye nafasi za ajira
➖Wataalamu wenye uzoefu wa kufundisha
➖Mazingira yanayokuwezesha kujifunza kwa vitendo
➖Mazingira rafiki na salama ya kujifunzia
➖Fursa ya kujenga ujuzi unaohitajika katika soko la ajira

Usisome kwa ajili ya cheti pekee—soma kwa ajili ya kupata maarifa, ujuzi na uwezo wa kufanya kazi.

Karibu Bagamoyo Institute of Science and Technology (BIST), mahali ambapo elimu inakutana na vitendo.

Wasiliana nasi leo na anza safari yako ya taaluma!

📍 Bagamoyo Town
🌐 www.bist.ac.tz
📞 Contact Us:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

Transforming Minds, Building Futures.

Happy Mawlid Al-Nabi to you all..
25/08/2026

Happy Mawlid Al-Nabi to you all..

Maisha ya kitaaluma hujengwa kwa vitendo, si nadharia pekee.Diploma in Land Survey and Mapping inakupa mafunzo ya vitend...
24/08/2026

Maisha ya kitaaluma hujengwa kwa vitendo, si nadharia pekee.

Diploma in Land Survey and Mapping inakupa mafunzo ya vitendo yanayokuwezesha kutumia vifaa vya kisasa vya upimaji ardhi, kufanya kazi katika mazingira halisi, na kujenga ujuzi unaohitajika katika sekta ya ujenzi, mipango miji, na maendeleo ya miundombinu.

Tunakuandaa kuwa mtaalamu mwenye maarifa, ujuzi, na kujiamini tayari kwa soko la ajira.

Dirisha la maombi ya September Intake 2026/2027 lipo wazi sasa!

Jiunge na BIST college leo, jifunze kwa vitendo, na ujenge taaluma yako katika Diploma in Land Survey and Mapping.

BIST - Bagamoyo African Institute of Science and Technology
📍 Bagamoyo Town
🌐 www.bist.ac.tz
📞 Contact Us:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

Transforming Minds, Building Futures.

Applications for September Intake 2026/2027 are NOW OPEN at BIST.Take the next step toward your future with our Diploma ...
21/08/2026

Applications for September Intake 2026/2027 are NOW OPEN at BIST.

Take the next step toward your future with our Diploma & Certificate Programs (NTA 4–6) designed to equip you with practical skills and professional knowledge for today’s competitive world.

✅ Programs with HESLB Loan Opportunities Available
✅ Chinese & German Language Courses Available

Available Programs:
* Agriculture Production
* Animal Health and Production
* Veterinary Laboratory Technology
* Food Technology and Human Nutrition
* Land Survey and Mapping
* Occupational Health and Safety
* Medical Laboratory Technology
* Transport and Supply Chain Management
* Business Administration
* Accountancy
* Banking and Finance
* Accounting and Finance

📍 Bagamoyo Town
🌐 www.bist.ac.tz
📞 Contact Us:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

Unapenda kilimo na unatamani kujenga taaluma yenye ujuzi wa vitendo? Diploma / Certificate in Agriculture Production kut...
20/08/2026

Unapenda kilimo na unatamani kujenga taaluma yenye ujuzi wa vitendo?

Diploma / Certificate in Agriculture Production kutoka BIST inakupa ujuzi wa vitendo kuhusu uzalishaji wa mazao, usimamizi wa mashamba, teknolojia za kisasa za kilimo na mbinu bora za kuongeza tija.

September Intake 2026/2027 inaendelea kupokea maombi.

Jiunge na BIST ujifunze kupitia vitendo, kukuza uwezo wako, na kuwa mtaalamu anayechangia maendeleo ya sekta ya kilimo na usalama wa chakula nchini.

Programu Zinazopatikana:
• Agriculture Production
• Animal Health and Production
• Veterinary Laboratory Technology
• Food Technology and Human Nutrition
• Land Survey and Mapping
• Occupational Health and Safety
• Medical Laboratory Technology
• Transport and Supply Chain Management
• Business Administration
• Accountancy
• Banking and Finance
• Accounting and Finance

📍 Bagamoyo Town
🌐 www.bist.ac.tz

📞 Kwa Maombi na Maelezo Zaidi:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

BIST – Transforming Minds.

19/08/2026

Occupational Health and Safety Officer anahakikisha mazingira ya kazi yanakuwa salama, yanazingatia viwango na yanamlinda kila mfanyakazi.

Jifunze Occupational Health and Safety Course kutoka BIST na jijengee maarifa ya kutambua hatari, kuzuia ajali na kukuza usalama mahali pa kazi.

📌Udahili unaendelea.

Programu Zinazopatikana:
• Agriculture Production
• Animal Health and Production
• Veterinary Laboratory Technology
• Food Technology and Human Nutrition
• Land Survey and Mapping
• Occupational Health and Safety
• Medical Laboratory Technology
• Transport and Supply Chain Management
• Business Administration
• Accountancy
• Banking and Finance
• Accounting and Finance

📍 Bagamoyo Town
🌐 www.bist.ac.tz

📞 Kwa Maombi na Maelezo Zaidi:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

BIST – Transforming Minds.

Furaha ya mwanafunzi huanza pale anapopata nafasi ya kusoma kile anachokipenda.Bagamoyo Institute of Science and Technol...
18/08/2026

Furaha ya mwanafunzi huanza pale anapopata nafasi ya kusoma kile anachokipenda.

Bagamoyo Institute of Science and Technology (BIST) inakupa fursa ya kuchagua taaluma unayoitamani na kujifunza katika mazingira salama, rafiki na yenye kukuwezesha kujenga ujuzi kwa vitendo.

Ikiwa ndoto yako ni kuwa mtaalamu katika Medical Laboratory Technology, BIST inakuandaa kwa maarifa na ujuzi unaohitajika katika maabara za hospitali, kliniki, vituo vya afya na taasisi mbalimbali za uchunguzi.

Programu Zinazopatikana:
• Agriculture Production
• Animal Health and Production
• Veterinary Laboratory Technology
• Food Technology and Human Nutrition
• Land Survey and Mapping
• Occupational Health and Safety
• Medical Laboratory Technology
• Transport and Supply Chain Management
• Business Administration
• Accountancy
• Banking and Finance
• Accounting and Finance

📌Udahili unaendelea!

📍 Bagamoyo Town
🌐 [www.bist.ac.tz](http://www.bist.ac.tz)

📞 Kwa Maombi na Maelezo Zaidi:
+255 765 707 030
+255 681 014 440
+255 611 827 030
+255 772 406 048

BIST – Transforming Minds.

Address

Kimarang'ombe, Kichemichemi Bus Stand, Sengerema Street (near Olympic Filling Station), Bagamoyo Town
Bagamoyo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bagamoyo African Institute of Science and Technology - BIST posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share