Mwl. Madenga educational center

Mwl. Madenga educational center Mwl Madenga

NECTA 2024 watoto msituangushe jamani sosi walimu wenu tunatumia nguvu mingi kuwafundisheni, jamii nzima kwa ujumla mnat...
06/09/2025

NECTA 2024 watoto msituangushe jamani sosi walimu wenu tunatumia nguvu mingi kuwafundisheni, jamii nzima kwa ujumla mnatuangusha kwa kisingizio kuwa hesabu ni ngumu si kweli

30/08/2024

Wajibu wa shule ktk kumlea mtoto coming soon

WAJIBU WA MWALIMU zangu walimu ni wajibu wetu kuhakikisha nchi hii ya Tanzania, inakuwa na misingi imara kimaadili  kiku...
26/08/2024

WAJIBU WA MWALIMU

zangu walimu ni wajibu wetu kuhakikisha nchi hii ya Tanzania, inakuwa na misingi imara kimaadili
kikuu cha watoto kukosa maadili hasa hasa shuleni sisi pia walimu tunachangia kwa namna moja ama nyingine
kwa hali na mali kwa faida ya watanzania wote kwa kwani k**a tutatengeneza watoto wasiokuwa na uwezo akilini, watoto wasiopenda kujishughulisha basi tu atengeneza taifa litakalotuangamiza sisi wenyewe huko mbeleni

Walimu walimu walimu sisi ndiyo tumeshikilia hatima ya nchi yetu tuwajengeee watoto uwezo wa kutatua changamoto bila utegemezi ndugu zangu yaani walimu wenzangu

Niite mwl. Madenga nikiwa founder na CEO wa Mwl. Madenga educational center
ITV Tanzania Azam TV Clouds TV Tom Cruz GGM Marketing millard ayo

Lets create our thinking capacity
29/02/2024

Lets create our thinking capacity

23/01/2023

Lets enjoy mathematics accross the world faida ya kusoma mathematics kwa mtoto ni kumtengenezea deep thinking ability hata katika maisha yetu ya kawaida pamoja na kutatua changamoto zote zinazoikabili jamii kwa ueledi mkubwa sanaenjoy mathematics ma people soon nitaanza kutoa video za mafunzo ya topics mbali mbali both primary and secondary schools

Address

P. O. Box 230
Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl. Madenga educational center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share