The Arusha East African Training Institute

The Arusha East African Training Institute Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji wa Redio na TV pamoja na International Relation.

Hongera sana noel Ibrahim kwa hatua  Kubwa hii ulio fikia jitihada heshima vitakupandisha zaidi hauna muda mrefu kwenye ...
26/10/2024

Hongera sana noel Ibrahim kwa hatua Kubwa hii ulio fikia jitihada heshima vitakupandisha zaidi hauna muda mrefu kwenye Tasnia ila mafanikio ni makubwa sana πŸ™

06/11/2022

BREAKING: NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWANI BUKOBA

Ndege hiyo imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
-
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani wakati ikijaribu kutua; uokoaji wa abiria unaendelea na Kwa mujibu wa mashuhuda, hali ya hewa ilikuwa mbaya huku kukiwa na mvua na ukungu uwanjani hapo.

07/10/2022
06/09/2022

Moja kati ya studio Bora πŸ”₯
Zinapatikana ndani ya chuo chetu ❣️😍

Mlete mwanao

12/07/2022

πŸ˜‚πŸ˜‚ ETI KIREFU CHA SMS NDIO HICHI KWELI



Tunawaalika kwenye Talent show ya mwezi huu tarehe 24/09/2021
15/09/2021

Tunawaalika kwenye Talent show ya mwezi huu tarehe 24/09/2021

Tunakuombea kwa Mungu upumzike kwa Amani, sote ni mavumbi na mavumbini tutarejea
22/07/2021

Tunakuombea kwa Mungu upumzike kwa Amani, sote ni mavumbi na mavumbini tutarejea

Tunapenda kuwatakia sikukuu njema na pia nafasi za masomo kwa muhula mpya bado zipo fika chuoni maeneo ya Philips Arusha...
21/07/2021

Tunapenda kuwatakia sikukuu njema na pia nafasi za masomo kwa muhula mpya bado zipo fika chuoni maeneo ya Philips Arusha au tupigie simu kwa namba 0754 494 316 au 0715 494 316.

Hakika tunaendelea kupata pongezi nyingi za wanafunzi wetu kufanya vizuri katika kila maeneo walipo na hii     inatokana...
08/07/2021

Hakika tunaendelea kupata pongezi nyingi za wanafunzi wetu kufanya vizuri katika kila maeneo walipo na hii inatokana na ubora wa chuo chetu, karibu sasa ujiunge nasi tupigie simu namba 0715 494 316 au 0754 494 316

Usajili wa July intake umeanza kwa kozi ya Uandishi wa Habari na Utangzaji pamoja na Mahusiano ya kimataifa, fomu zinapa...
01/07/2021

Usajili wa July intake umeanza kwa kozi ya Uandishi wa Habari na Utangzaji pamoja na Mahusiano ya kimataifa, fomu zinapatika chuoni Philips au tembelea katika tovuti yetu.

Address

Philips
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Arusha East African Training Institute posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category