Mwanafunzi wa usiku/Schooler of the night

Mwanafunzi wa usiku/Schooler of the night The last hope..🤚

12/11/2024
11/07/2024

Habari wapendwa katika jina la kristo..
Nataka kuwafahamisha kuwa kutakuwa tukijifunza kwa pamoja elimu kuhusu dini na njia rahisi za kumjua Muumba wetu,
Elimu hii itakujia kwa njia mbili(2) tofauti, masimulizi pamoja na maandishi, lugha itakayotumika ni kiswahili, chapisho moja(1) kwa kila wiki.
Masimulizi pamoja na maandishi yote yatakuwa kwa ufupi ili tupate kuelewa kidogo kidogo ila kwa uhakika.
Nawasalimu kwa jina la mwokozi wetu, YESU KRISTO, amen.

08/07/2024

Watoto wanapokua huwa wakiuliza maswali mengi mno kwa walezi wao k**a vile, kwanini anga ni bluu? Kwanini nyota inawaka? Kwanini kuna usiku halafu mchana? Tunabaki tunawaangalia kisha tunacheka tu..
Pengine hata wewe leo ni k**a unajiuliza, kwanini nimeumbwa? Je Mungu ana kusudi gani kwa mateso ninayopitia? Je Mungu ni mwenye huruma?
Biblia inatufundisha kuwa 'Tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa, ombeni nanyi mtampewa (Mt 7.7)

07/07/2024

Basi tambua kwamba M/MUNGU anakupenda..
Watoto wakianza kukua huwa na maswali mengi mara zote kwa wakubwa wao, wanaanza kuuliza kwanini anga ni la bluu, AMA kwanini nyota zinawaka, AMA kwanini kuna mchana halafu usiku???
Wakati mwingine tunacheka tu na kuwaangalia, lakini pia hata wewe labda ushawi kujiuliza kwa nini tunaishi? AMA MUNGU yupo kweli??
Lakini tunaambiwa katika biblia, ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa(Mt 7.7)

Address

+255672722462
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanafunzi wa usiku/Schooler of the night posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share