Christian MUSIC Training Centre

Christian MUSIC Training Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Christian MUSIC Training Centre, College & University, P. O BOX 5034, Arusha.

05/03/2020
Ule wimbo tuliokuwa tunausubiri sasa unaweza kuupakua bure kabisa. Huu ni ule wimbo wa Queen Masiko, Uendao kwa jina la ...
22/04/2018

Ule wimbo tuliokuwa tunausubiri sasa unaweza kuupakua bure kabisa. Huu ni ule wimbo wa Queen Masiko, Uendao kwa jina la Maisha yangu ni kwako, ulioandaliwa na producer Vankuva kutoka studio za vanpro, jijini Dar-es-salaam. Kuwa wa kwanza kuupata na kuwa na kwanza kusambaza ujumbe huu mzuri, hii sio ya kukosa. Kuupakua bofya link hii apo chini https://www.vanprostudio.com/listen

Unaruhusiwa kushare mbaraka huu

Bwana akubariki sana

Mwanafunzi wetu mpya ndani ya CHRISTIAN MUSIC TRAINING CENTRE. Bado wewe! Kwa mawasiliano 0679088205/0625617696
21/09/2017

Mwanafunzi wetu mpya ndani ya CHRISTIAN MUSIC TRAINING CENTRE. Bado wewe! Kwa mawasiliano 0679088205/0625617696

Evening Classes!
18/07/2017

Evening Classes!

30/06/2017

Happy Sabbath as you enjoy listening and watching to this beautiful song from one of our student. Welcome to Christian MUSIC Training Centre

LEO NI KIMITIHANI ZAIDI. Kujipima kwa mitihani ya ndani ni muhimu sana ili kujua k**a wanafunzi wanaelewa. Na hili ndilo...
26/06/2017

LEO NI KIMITIHANI ZAIDI. Kujipima kwa mitihani ya ndani ni muhimu sana ili kujua k**a wanafunzi wanaelewa. Na hili ndilo tulifanyalo ili kujiridhisha. Ukitaka kujiunga wasiliana nasi kwa namba 0679088205/0628059659

WENGINE NDIO WANAENDELEA NA MAZOEZI SASA! HATA WEWE NJOO UJIUNGE KWENYE DARASA HILI ZURI LA WAPIGA PIANO. WASILIANA NASI...
22/06/2017

WENGINE NDIO WANAENDELEA NA MAZOEZI SASA! HATA WEWE NJOO UJIUNGE KWENYE DARASA HILI ZURI LA WAPIGA PIANO. WASILIANA NASI KWA NAMBA 0679088205/0628059659

OFFER! OFFER! OFFER! OFFER! OFFER!Piga piano ndani ya mwezi mmoja tu kupitia program yetu maalum ya HEAR & PLAY CRUSH PR...
07/06/2017

OFFER! OFFER! OFFER! OFFER! OFFER!
Piga piano ndani ya mwezi mmoja tu kupitia program yetu maalum ya HEAR & PLAY CRUSH PROGRAM kwa gharama ya Tsh 150,000 tu na kwa muda wa siku 30 utakuwa na uwezo wa kupiga Piano bila shida. Huhitaji kujua kusoma noten! Wahi sasa nafasi ni chache. Tunapatikana Ukonga Magereza katika kanisa la Waadventista wa Sabato. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0628 059 659 AU 0679088205

Address

P. O BOX 5034
Arusha
255

Telephone

+255625617696

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Christian MUSIC Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share