Zoom Polytechnic Institute

Zoom Polytechnic Institute

Share

Zoom is registered institute and located in Bukoba Municipal. http://www.facebook.com/zoompolytechnicistitute

14/12/2018

TANGAZO LA ELIMU:
Je wajua wapi umpeleke mwanao mhitimu kidato cha iv akasome kozi zenye fursa ya ajira?.
Ni chuo; zoom polytechnic institute pekee, chuo kilichosajiliwa na nacte pamoja na veta kwa no ya usajili nacte ; REG/BTP/080P na veta; VET/KGR/PR/2018/C/058
Chuo kipo bukoba manispaa mtaa wa kafuti barabara iendayo bandarini kastamu.
Chuo kinakutangazia muhula wa masomo unao tarajia kuanza tarehe 3/01/2019. Ktk masomo yafuatayo:
ICT – Information and communication Technology- NVA level I-III
BOA – Business operation assistance (masomo ya biashara na uhasibu) –NVA Level I-III
SECRETARIAL DUTIES.
SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI TAJWA HAPO JUU NI MHITIMU KIDATO CHA IV Mwenye ufaulu kuanzia D”2” ktk matokeo ya kidato IV, na Muda wa masomo mwaka mmoja na Miezi Sita.
Mhitimu ktk chuo Zoom atakuwa na sifa ya Kuajiliwa na serikali au taasisi binafsi, Atakuwa na sifa ya kujiendeleza Zaidi ktk masomo ya ATEC yanayosimamiwa na Board ya Accountants & Auditors (NBAA). Au kuendelea na Diploma.
Pia chuo kinatoa mafunzo ya computer kwa wahitimu wa kidato cha nne wanaosubiri matokeo kwa gharama nafuu.
Vilevile chuo kinakutangazia muhula mpya wa masomo kwa ngazi ya NACTE unaotarajia kuanzia tarehe 15 January 2019 kwa ngazi ya Cheti na Diploma, katika kozi zifuatazo:
i) Basic Technician Certificate in Business Administration.
ii) Technician Certificate in Business Administration.
Mwombaji awe amehitimu kidato cha IV na awe anaufaulu usiopungua vipindi 4.
Mwisho wa kupokea maombi ya kujiunga na chuo kwa ngazi ya NACTE ni tarehe 20 February, 2019 na masomo yataanza tarehe 5 mwezi wa tatu 2019.
Sifa za Mhitimu katika chuo ZOOMAtakuwa na sifa;
• Kuajiliwa kwenye idara za ( uhasibu na fedha , manunuzi au mauzo na masoko)
• Atakuwa na sifa ya kuendelea na elimu ya chuo kikuu baada ya kuhitimu diploma chuoni kwetu ZOOM polytechnic institute
Ni zoom polytechnic institute pekee chuo chenye kukamilisha ndoto yako ya kielimu.
Fomu za kujiunga: Chuoni Bukoba Municipal,karagwe: Nkwenda Mababu Stationary-karibu na bushangaro gest house, Kayanga; Redio Karagwe, keneth kato electronics au mr k. Majengo ya nanenane karibu na kayanga shule ya msingi.
KWA MAWASILIANO ZAIDI:-
kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi wa chuo kupitia namba:- 0767624932/0769021480/0621602317/0788486724 au tembelea tovuti ya chuo

www.zoomistitute.ac.tz

30/06/2018

Posted on June 29, 2018
TANGAZO LA ELIMU MUHULA MPYA WA MASOMO SEPTEMBER 2018
NI ZOOM POLYTECHNIC INSTITUTE PEKEE, Chuo kilichosajiliwa na NACTE na VETa kwa Usajili REG/BPT/080P na VTC/2006/385. Chuo zoom kipo Bukoba Manispaa mtaa wa kafuti Kastamu.
Uongozi wa chuo Zoom Polytechnic institute, unakutangazia muhula mpya wa masomo kwa ngazi ya cheti na Diploma katika kozi zifuatazo
• Diploma in Business administration
• Certificate in Business administration
• Certificate in ICT NVA level I-III
• Certificate in BOA (Accounting , Procurement & supplies) NVA level I-III
• NABE Stage I-III
Chuo kimeanza kupokea maombi ya kujiunga na chuo na mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 8/09/2018.
Chuo zoom polytechnic institute tunakutangazia ofa maalumu kwa kozi za kompyuta hasa kwa wanachuo na wahitimu chuo kwa mkakati wa kuweza kuwa na ufanisi zaidi ktk kazi na masomo kwa kipindi cha miezi 2 katika kozi uhasibu wa kutumia computer, na office application package ya kutumia computer ktk kozi zifuatazo;
1. Office application kwa gharama ya kiasi cha Tsh 80,000/= badala ya kali 2
2. Computerized account (M.Y.O.B, & Quickbook account) kwa gharama ya Tsh 100,000/= badala ya laki 4
Na atakaye hudhuria kozi atapata cheti kinachotambuliwa na serikali. Unasubiri nini.
Wahi upate fomu na hakikisha unarudisha fomu mapema. Garama ya fomu ni shilingi elfu kumi tu.
Fomu zinapatikana; chuoni Zoom polytechnic institute Bukoba manispaa, Muleba Shirika la posta, Kamachumu, Karagwe, Ngara,Kyaka Shirika La posta. Kaisho kwa Abasi Stationary, rwambaize dukani kwa dar win.
Huduma za hostel zinapatikana kwa wanaotoka mbali.
Kwa mawasilano zaidi;- 0767624932, 0765497237,0769021480,0788486724, 0766275723, 0621602317.
Website ya chuo: www.zoominstitute.ac.tz
Zoom polytechnic institute ni chuo mahili kinachotoa mafunzo kuanzia ngazi certificate mpaka diploma.

www.zoominstitute.ac.tz

30/06/2018

JE WAJUA WAPI UKASOMO NGAZI YA CHUO?
NI ZOOM POLYTECHNIC INSTITUTE PEKEE, Chuo kilichosajiliwa na NACTE na VETa kwa Usajili REG/BPT/080P na VTC/2006/385. Chuo zoom kipo Bukoba Manispaa mtaa wa kafuti Kastamu.
Chuo zoom kinakutangazia muhula mpya wa masomo unaotarajia kuanza September 2018, Chuo kimeanza Kudahili na kusajili wanachuo kuanzia ngazi ya Certificate mpaka Diploma kwa wahitimu kidato cha IV mwenye ufaulu kuanzia D “4” na mhitumu kidato cha sita kuanzia Principal pass moja na subsidial moja katika kozi zifuatazo:- Business administration (Basic Technician Certificate) na Business Administration. Kwa NACTE
Pia tumeanza kusajili wanachuo wenye ufaulu chini ya D “4” katika kozi zifuatazo:
• ICT –Stage one to three
• NABE – stage one to three
• Business Operation Assistant (BOA)- stage one to three
Mwisho wa kuleta maombi ni tarehe 8/09/2018 katika kozi zote tajwa kozi Zinzosimamiwa na NACTE na VETA.
Chuo zoom polytechnic institute kwa kuwa kinajali watu wake tumetoa promotion ya punguzo la Ada kwa wanachuo watarajiwa na waliopo vyuoni. Kozi Office application Programme kwa gharama ya Tsh 80,000/= badala ya laki mbili, Computerized account (M.Y.O.B, Quickbook) Promosion Price 100,000/ badala ya laki 4. Hii ni kwa ajili ya wanachuo kujua kutumia kompyuta kabla hajaanza masomo. Kozi hii inaanza rasmi tarehe 25 mwezi wa saba na itachukua muda wa miezi miwili. Mnaalikwa kufika kwa wingi kwani wataalamu waliobobea ndio watakao simamia na kufundisha kozi hizi. Mhitimu atapata cheti.
Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana; chuoni zoom polytechnic institute, muleba shirika la posta, karagwe, Ngara, Kyaka, Rwambaize kwa dada wini dukani
Huduma za hostel zinapatikana kwa wanaotoka mbali.
Kwa mawasilano zaidi;- 0767624932, 0765497237,0769021480,0788486724, 0766275723, 0621602317.
Zoom polytechnic institute ni chuo mahili kinachotoa mafunzo kuanzia ngazi certificate mpaka diploma.

28/02/2018

Zoom Polytechnic Institute is the best institute where we found no one candidate graduated at Zoom without a job not only that they are performing better and are not comparable. up to now we have no even a single candidate either finished certificate or Diploma with no job, the they are held a big position and influential post in the department, some of them they are progressing with universities and doing best and others are graduated this is to show how con-create we are in term of skills and knowledge in ICT and Business. we invite you to join with zoom in the March Intake. thank you all and All might bless you.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Bakoba/Kafuti
Arusha
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
21:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00