Okoa Mtaa Foundation

Okoa Mtaa Foundation

Comments

Bonyeza haya Maandishi ya bluu https://youtu.be/WBcSBjil7jk Kujifunza namna ya kumsifia mpenzi wako na kuyanogesha mapenzi Chumbani
Forty5q na sight more
Okoa Mtaa
Okoa Mtaa
Mc As Mc Must Provide Knowledge And Education To Tha Citizens Through Rymes, & Mc He/she Must Be Creativity,[email protected],
Mc As Mc Must Provide Knowledge And Education To Tha Citizens Through Rymes, & Mc He/she Must Be Creativity,[email protected],
Back 2 sua
registration ya undergrounds Hapo S.U.A ni lini jaman

"Creative streets with Wisdom, Intelligence and Understandings" Non-Governmental Organization to spread Peace, Love, Unity,
Happiness and the right Knowledge through Arts, creativity and Culture in East Africa.

Why Spreading all That? Okoa Mtaa believes that if we will have Society that has Peace,Love,Unity,Happiness and The right Knowledge will create a generation that has "Wisdom,Intelligent and Understanding" yaani "Busara,Akili na Uelewa"

Our Vision? A progressive Society that use Arts and Culture to contribute in Social & economical development in East Africa.

Operating as usual

[06/15/21]   Mabibi Na Mabwana basi k**a ilivyotangazwa hapo awali kwamba watapatikana wawakilishi kumi katika @hiphopasilifestiva #Arusha watakaowakilisha Arusha katika kilele cha fainali za @hiphopasilifestival #Daressalaam, tarehe 25 – 27 june 2021,

Habari ni kwamba wamepatikana wawakilishi hao 10 ambao ni:
INNOCENT MINJA @Djcent255
KILUMBO STEVEN B Boy Kilumbo
ALFA JERAND B Boy Alfa
ELLISHA JAMES Ellisha James
JOSEPH [email protected]
DAVID ALBERT Bob Dee Tz
BONIFACE LAIZER Bony C
SALYM SALYM AMOUR @Slim c
ROLIN ALOYCE [email protected]
ABDALLAH [email protected].

Hongera sana kwao, tuwatakie uwakilishi mwema.

Shukrani: @Hiphopasilifestival, @Af Arusha, French Embassy in Tanzania, Nafasi Art Space, Okoa Mtaa Foundation @teamsua Alliance Française Arusha Arusha City council, @Toy entertainment Thadei Meela Spanish Tiles, Benson Benjamin Maneno, Q-The Don, JCB, Frank Illanga @DjAlly na Arusha nzima.

04/06/2021

Karibu kushuhudia Tamasha la Hip Hop Asili Jijini Arusha, Jumapili, 13 Juni 2021, katika viwanja vya Peace Park (Round about ya Impala) kuanzia saa 8 mchana. Ambapo watapatikana jumla ya washindi kumi katika vipengele vitatu (MC, DJ na B BOY). Washindi hao wataelekea katika kilele cha "Hip Hop Asili Festival" Dar es Salaam.
HAKUNA KIINGILIO

Nafasi Art Space Alliance Française Arusha East Africa Rise Up French Embassy in Tanzania Okoa Mtaa Foundation

Karibu kushuhudia Tamasha la Hip Hop Asili Jijini Arusha, Jumapili, 13 Juni 2021, katika viwanja vya Peace Park (Round about ya Impala) kuanzia saa 8 mchana. Ambapo watapatikana jumla ya washindi kumi katika vipengele vitatu (MC, DJ na B BOY). Washindi hao wataelekea katika kilele cha "Hip Hop Asili Festival" Dar es Salaam.
HAKUNA KIINGILIO

Nafasi Art Space Alliance Française Arusha East Africa Rise Up French Embassy in Tanzania Okoa Mtaa Foundation

02/06/2021

BREAK DANCER (B BOY & B GIRL)

Ili kushiriki kwenye "Asili Hip Hop Festival" – Arusha
Jiandikishe katika namba +255 757 357 463. Tuma Jina kamili, Jina la kisanii na mawasiliano (namba ya simu/barua pepe)
Mwisho wa kujiandikisha ni Tarehe 5 Juni 2021.

BREAK DANCER (B BOY & B GIRL)

Ili kushiriki kwenye "Asili Hip Hop Festival" – Arusha
Jiandikishe katika namba +255 757 357 463. Tuma Jina kamili, Jina la kisanii na mawasiliano (namba ya simu/barua pepe)
Mwisho wa kujiandikisha ni Tarehe 5 Juni 2021.

31/05/2021

Ili Kuweza kushiriki katika Tamasha la kwanza la "Asili Hip Hop Festival"
Jiandikishe katika namba +255 757 357 463 kwa kutuma Jina kamili, Jina la kisanii, aina ya sanaa na mawasiliano (namba ya simu/barua pepe)
Mwisho wa kujiandikisha ni Tarehe 5 Juni 2021.

Ili Kuweza kushiriki katika Tamasha la kwanza la "Asili Hip Hop Festival"
Jiandikishe katika namba +255 757 357 463 kwa kutuma Jina kamili, Jina la kisanii, aina ya sanaa na mawasiliano (namba ya simu/barua pepe)
Mwisho wa kujiandikisha ni Tarehe 5 Juni 2021.

Photos from Kibanda Umiza's post 23/05/2021

Photos from Kibanda Umiza's post

21/05/2021

Be ready for tomorrow !
Alliance Française is going to Sinoni.

Moovie screening for everyone !
In partnership with @okoamtaafoundation

#cinema #free #arusha #culture

Photos from Okoa Mtaa Foundation's post 20/05/2021

Saturday is dedicated for the street at Sinon Ground.
#Filmfestival Kibanda Umiza Alliance Française Arusha.
Karibuni sana.

18/05/2021

Okoa Mtaa Foundation wakishirikiana na @Alliance France Arusha wanakukaribisha katika Kibanda Umiza kutazama filamu fupi kutoka mataifa mbalimbali. Tarehe 22, Jumamosi, kuanzia saa 12 jioni - Uwanja wa Sinon.

HAKUNA KIINGILIO.
Wote mnakaribishwa.

12/12/2020

Wanawake Imara Na jasiri Ni wazazi Na walezi wa Taifa🇹🇿 Imara. Tunawapongeza Kwa Ujasiri wenu, Nyie ni hamasa ya uhakika kwa wanawake katika Sanaa na maendeleo Tanzania.
@teamsua
#kaakijanja
#back2sua2020

01/12/2020

Ili uweze kufikia malengo yako inakupasa Kijana kujilinda Na kujikinga Kwa Kila hali #kaakijanja Na uishi ndoto zako. #aidsday

26/11/2020

This Saturday Let's celebrate together #makorokoro
____________________________________________________________
#makorokoro #makorokoro2020 #makorokoro28Nov #garagesale #familyfunday #arushatanzania

17/11/2020

K**a wewe Ni mwandishi wa muziki, filamu, Vitabu, mashairi, Makala, nk. Hii Ni Fursa sahihi.

11/11/2020

JISAJILI SASA!!
Dirisha la usajili limefunguliwa. #Kaakijanja,
#back2sua2020
#back2street
#Arusha

04/11/2020

#S.U.A Ni Jukwaa Huru Kwa wasanii Na wabunifu wote inayoandaliwa Na @okoamtaafoundation. Endelea kukaa kijanja.
#back2sua2020
#Kaakijanja
#back2street
#Arusha

23/10/2020

Kaa tayari! Kwa #makorokoro, 28 November @af_arusha.
#makorokoro2020 #makorokoro28Nov
#garagesale #arusha #tanzania

22/10/2020

Ilikua mwaka 2015, timu ya @okoa_mtaa_ katika maandalizi ya Tamasha la @Africanhiphopcaravantpamoja Na @stage_ya_heshima Na @Mama C pamoja na timu nzima ya @Africanhiphopcaravan, ikiongozwa Na @miccrenshaw

22/10/2020

#tbt #okoamtaafoundation

21/10/2020

Sanaa ni moja ya nguzo muhimu sana ya #uzalendo
#jjf
#Each1teach1

20/10/2020

"Ubunifu na maarifa Ni maeneo yanayopaswa kupata uwekezaji wa hali ya juu kwa manufaa bora ya Taifa Kwa ujumla".

#jjf
#Each1teach1
#Okoamtaa

12/10/2020

Okoa Mtaa Foundation's cover photo

12/10/2020

Uwe Na siku njema ukiendelea kuokoa mtaa wako. #jjf

08/09/2020

Tupo na W.O.T.E kuhakikisha Burudani, Elimu na Amani vinatawala Tarehe 20 Septemba 2020.

#Kaakijanja
#back2sua
#back2street
#Arusha

05/09/2020

FREE! FREE! FREE FOR ALL!
Welcome, you and your family to the family event - Makorokoro (Garage sale). 26 September 2020, @Af arusha Alliance France - Njiro Arusha, from 10 Pm - 05 PM. Kids corner and a variety of entertainment will be available.
Welcome
#Makorokoro
#Familyfunday
#Arusha

03/09/2020

Jifunze Ujue,Ukue.

#Jjf
#Kaakijanja

03/09/2020

K**a bado hujajisajili, zimebaki siku saba tu kufungwa usajili.

Kujisajili tuma jina lako na mawasiliano yako katika namba +255 757 357 463. Mwisho wa kujisajili ni Tarehe 10 Septemba.

Let’s Back to the s.u.a
#back2sua
#back2street
#kaakijanja

01/09/2020

Jioni Jioni Flani na wadau
#jjf
#Each1teach1
#Knowledge
#Art
#Youth
#sdg
#Arusha
Picture na @Rashid Nadhir

01/09/2020

Happy September

We will be happy to see you in our garage sale - family event#Makorokoro, 26 September.Kindly save the date#Garagesale#familyfunday

27/08/2020

Ready to go
Jioni jioni Flani
#jjf
#Each1teach1
#Knowledge
#Art
#Youth
#sdg
#Arusha

25/08/2020

Jioni Jioni Flani na Mega FM Leo kuanzia saa saba mchana

#Each1teach1
#Knowledge
#Art
#Youth
#sdg

25/08/2020

Wadau, mambo vipi K**a utapenda kushiriki katika jioni jioni flani Tafadhali jiandikishe K**a bado. Dirisha la usajili litafungwa Leo tarehe 25, usiku. Karibu sana. Jisajili kwa kutuma jina lako na mawasiliano yako katika namba +255 757 357 463.

#Each1teach1
#Knowledge
#Art
#Youth
#sdg

24/08/2020

Okoa Mtaa Foundation's cover photo

21/08/2020

Okoa Mtaa Foundation inakaribisha Wadhamini, Wadau na Marafiki, kushiriki kufanikisha Tamasha la SUA #back2sua, tarehe 20 Septemba 2020
Ushiriki wako/wenu ni muhimu sana kufanikisha tamasha hili.
Kwa maelezo zaidi kuhusu kushiriki wasiliana nasi kupitia namba +255 757 357 463
#back2street
#kaakijanja
#Arusha

20/08/2020

Je wewe ni msanii? (Mwanamuziki, Dj, Mc, Dancer/Breaker, Mpiga picha/video, Comedian) au unajihusisha na aina yeyote ya Sanaa? na ungependa kushiriki katika Tamasha la S.U.A #back2sua Tarehe 20 Septemba?

Jisajili kwa kutuma jina lako na mawasiliano yako katika namba +255 757 357 463. Mwisho wa kujisajili ni Tarehe 10 Septemba.

Let’s Back to the #Sua
#back2street
#kaakijanja
#Arusha

19/08/2020

Let’s back to the #SUA 20.09.2020.
#back2sua
#back2street
#kaakijanja
#Arusha

18/08/2020

Tunawakaribisha wanasanaa na wadau wote wa Sanaa na ubunifu katika Jioni Jioni Flani itakayofanyika: 27 August 2020, katika ofisi za Okoa Mtaa-Sakina.
Ukipenda kushiriki tafadhali jisajili kwa kutuma jina lako na mawasiliano yako katika namba +255 757 357 463. Mwisho wa kujisajili ni Augusti, 24. Karibu sana.

#Each1teach1
#Knowledge
#Art
#Youth
#jjf
#sdg

Our Story

Is a local non Government Organization registered as a Charity company under the company
act no 212 of 2002 with incorporation number 109293 with the aim to spread Peace,Love,Unity,
Happiness and The right Knowledge through Arts and Culture in East Africa.

Why Spreading all That?

Okoa Mtaa believes that if we will have Society that has Peace,Love,Unity,Happiness and The right Knowledge
will create a generation that has "Wisdom,Intelligent and Understanding" yaani "Busara,Akili na Uelewa"

Our Vision?

A progressive Society that use Arts and Culture to contribute in Social & economical development in East Africa.

Videos (show all)

#Each1teach1 #CreativeSDG's #youth2030 #decentwork #StreetArt #Peace #Back2sua #OkoaMtaa
"Mambo yote yanawezekana kutokea hapa" #Each1teach1 #CreativeSDG's #youth2030 #decentwork #StreetArt #Peace #Back2sua #O...
Jukwaa huru kwa vijana kujitapa, Furahia ijumaa.#Each1teach1 #CreativeSDG's #youth2030 #decentwork #StreetArt #Peace #Ba...
Ili uweze kuishi ndoto zako inabidi "Uchafukwe na roho" kinoma#Each1teach1 #CreativeSDG's #youth2030 #decentwork #Street...
#Each1teach1 #CreativeSDG's #youth2030 #decentwork #StreetArt #Peace #Back2sua #OkoaMtaa
Raf Mc rehearsing More Fire with the back up of Ellisha James and Sight More. #Each1teach1 #CreativeSDG's #youth2030 #de...
Jioni jioni flani na Swahili funny brothers.#Each1teach1 #CreativeSDG's #decentwork #StreetArt #Peace #Back2sua #OkoaMta...
#Each1teach1 #CreativeSDG's #decentwork #StreetArt #Peace #Back2sua #OkoaMtaa
Kwa heshima na taazima, uwe na jumapili njema#Each1teach1 #CreativeSDG's #decentwork #StreetArt #Peace #Back2sua #OkoaMt...
Phoebe with her violin energize the workshop (Each one teach one).#Each1teach1 equipping youth in the creative industry....
Creative platform for all.#Each1teach1 #CreativeSDG's #decentwork #StreetArt  #Peace #Back2sua #OkoaMtaa
Mambo mazuri mdo mdo yanakuja, Mapambano yaendelee

Location

Category

Products

T-shirts, Sweater, wrist band, Music album

Telephone

Address

305
Arusha
+255

General information

An East African Non Government Organization that spread Peace,Love,Unity,Happiness and The Right Knowledge through Arts and Culture.

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 01:00
Other Education in Arusha (show all)
Datasky College Datasky College
Arusha, 16598

The leading incubator for future entrepreneurs and business leaders in Tanzania.

MOSHI GSM MOSHI GSM
63
Arusha

Mobile Phone Repair We're a proud team of skilled technicians who have been fixed mobile phones for over past seven years. We repair all phones such as Apple, Nokia, Samsung, Motorola, LG, Blackberry, and many more. Our professional phonerepair services.

The School of St.elisha The School of St.elisha
Arusha

A school is an educational institution designed to provide learning spaces and learning environments for the teaching of students (or "pupils") under the direction of teachers. Most countries have systems of formal education, which is commonly compulsory.

Kyosei Foundation Kyosei Foundation
Arusha

We are an umbrella operating charitable organization and educational based non-profit founded in 2015 with aid programs that provide free, quality education opportunities and community support projects in the least developed areas

Lomo Foundation Lomo Foundation
Ngaramtoni
Arusha

Lomo Foundation is a legal registered organization in the government of Tanzania with the registration number ooNGO/R/0397. Also it is a legal taxpayer with a tax identification number of 139-789-733. LOMO stands for Less on Ourselves, More on Others.

Usa river academy Usa river academy
Momela Road, Usa River
Arusha, P.O.BOX 680

Eagle Eye Foundation - Africa Eagle Eye Foundation - Africa
Arusha, 2667

Eagle Eye Foundation - Nigeria is a Non-Governmental and Non-Profit Organization with the aim of providing a health service for less privileged in Africa

Wilkabaa Schools Wilkabaa Schools
Sokon II
Arusha

Wilkabaa School is nursery & Primary school founded by Mr & Mrs Wilfred Zephaniah Kabaa on 25th March 2002. primary school was established in 2004. It is based at almost 5 km from Arusha city center , Tanzania. Currently the school has 365 stud..

Special Needs Consult.com Special Needs Consult.com
Arusha

"In our hands they grow"

Nasaha zangu Nasaha zangu
Arusha, ARUSHA

Ewe mwanangu! Shika Sala, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. Hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.

Green Valley Schools Green Valley Schools
Jr Sombetini
Arusha, 11317

Nursery and Primary Schools