Tanzania Adventist Secondary School - TASS

Tanzania Adventist Secondary School - TASS

Tanzania Adventist Secondary School is owned and operated by the North East Tanzania Conference of Seventh-day Adventist Church. Tanzania Adventist Secondary School (TASS) is a co-education, Boarding and Day for Ordinary and Advanced-Levels.

The school is owned and operated by the Northern Tanzania Union Conference of Seventh-day Adventist Church. It was established in 1999 as a response to Tanzania Government’s call for other organizations in the country to invest in Education as a part of anti-ignorance strategy. The school was registered in 2002 as a non-government Secondary School with registration No. S.1004. In May, 2011 the Sch

17/08/2021

Nafasi za masomo ya pre-form one

Nafasi za masomo ya pre-form one

15/08/2021

Karibuni makambi ya TASS

Karibuni makambi ya TASS

02/07/2021

Nafasi za masomo kwa kidato cha 5 2021.

Nafasi za masomo kwa kidato cha 5 2021.

02/07/2021

Nafasi za masomo ya Pre-Form One.

Nafasi za masomo ya Pre-Form One.

[06/25/21]   Have a wonderful sabbath to you all

23/06/2021

Karibuni tass

Photos from Tanzania Adventist Secondary School - TASS's post 23/06/2021

Bweni jipya la wasichana

23/06/2021
20/12/2018

Come now, apply for the Best and Quality Education.....

15/11/2018

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

15/11/2018

Tanzania Adventist Secondary School - TASS

26/02/2018

Karibu TASS

30/01/2018

www.tamisemi.go.tz

Matokeo ya Kidato cha Nne 2017, TANZANIA ADVENTIST SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 2; DIV-II = 25; DIV-III = 17; DIV-IV = 5; DIV-0 = 0

Bofya hapa kuyaona:
http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1096-20180130-Matokeo-kidato-cha-nne-2017/CSEE%202017/results/s1198.htm

tamisemi.go.tz

22/04/2017

Graduating Class #formsix2017

22/04/2017

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

08/03/2017

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

21/10/2016

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

02/09/2016

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

29/07/2016

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

28/06/2016

Ibada ya mazishi ya Mwalimu Obimbo Nyatega, leo tarehe 28/06/2016 hapa katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato TASS inayoongozwa na Mchungaji Godson William.

[06/26/16]   TANZIA !!!

Tunasikitika kutangaza kifo cha Mwalimu Obimbo Nyatega kilichotokea usiku wa kuamkia Jumamosi tarehe 25/06/2016 katika Hospitali ya Muhimbili, Dar-es-Salaam.

Mwili wa marehemu utaagwa siku ya Jumatatu tarehe 27/06/2016 kuanzia saa kumi Jioni katika Hospitali ya Muhimbili kisha utasafirishwa kwenda Arusha na mazishi yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 28/06/2016, nyumbani kwa marehemu.

Kwa maelekezo zaidi wasiliana na Mkuu Wa Shule TASS kwa namba 0756 779 195.

09/05/2016

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

21/04/2016

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

01/03/2016

PRE-FORM FIVE kuanzia tarehe 27 March 2016. Kaibuni!!

02/11/2015

TASS community would like to wish our Form IV students, and all over Tanzania, best wishes in your final exams. May The good Lord be with you all.

17/10/2015

Tanzania Adventist Secondary School - TASS's cover photo

15/09/2015

North-East Tanzania Conference

Newly elected officers; From left
Emmanuel Tuarira - TREASURER ,
Pr. Elias Ijiko - PRESIDENT ,
Pr. M***a Nzumbi - EXE-SECRETARY

14/09/2015

North-East Tanzania Conference

Ifuatayo ni orodha ya Viongozi wa Konferensi ya Kaskazini Mashariki mwa Tanzania:
Mwenyekiti – Pr. Elias Ijiko
Katibu Mkuu – Pr. M***a Nzumbi
Mhazini – Mr. Emmanuel Tuarira
Mkurugenzi Ministerial/ Family Life/ Adventist Mission - Pr.Alphonce Mayo
Mkurugenzi wa Huduma Binafsi/ SS/ AMR – Pr. Aston Mmamba
Mkurugenzi wa Uwakili na Maendeleo/ Majengo/ Amana – Pr. Godson William
Mkurugenzi wa Mawasiliano – Pr. Igin Soka
Mkurugenzi wa Vijana/ Muziki – Pr. John Kimbute
Mkurugenzi wa Chaplensia – Pr. Jacob Ngusa
Mkurugenzi wa Wanawake / Watoto – Mrs. Salome Ngusa
Mkurugenzi wa Uchapishaji – Pr. Joseph Lusega
Mkurugenzi wa Elimu – Pr. Leopold Mao
Mkurugenzi wa Afya na Kiasi – Dr. Amos Kihedu

16/06/2015

Tanzania Adventist Secondary School - TASS

16/06/2015

Be there!!

02/05/2015

Watu 42 wamebatizwa katika Sabato ya leo hapa TASS ikiwa ni hitimisho la wiki ya msisitizo wa kiroho ambapo mhubiri alikua ni Pr. Godson William kutoka mtaa wa Kijenge hapa jijini Arusha.

02/05/2015

Worship time here at TASS. This Sabbath marks the end of The week of Spiritual Emphasis which started on 26th April 2015. The preacher is Pr. Godson William from Kijenge district in Arusha.
Happy Sabbath to you all out there

21/03/2015

Group photo with school leaders after blood donation during Global Youth Day 2015
#globalyouthday

21/03/2015

TASS Students participating in blood donation during Global Youth Day 2015 in Arusha
#globalyouthday

20/03/2015

Meserani Environment Cleaning

An act of compassion was performed by Burka youth to mark the 2015 Global Youth Day.

Videos (show all)

Karibu TASS

Location

Category

Telephone

Address

Arusha
P.O.BOX 737, USA-RIVER
Other Schools in Arusha (show all)
New Vision Mereran School New Vision Mereran School
Arusha

a School based at Mireran in Sima Njiro District. A school that helps the maasai communities living in the area less fortunate/orphans/single parent HIV

Prime schools Arusha Prime schools Arusha
Uzunguni
Arusha

Arusha Institute Of Technology - AIT Arusha Institute Of Technology - AIT
P.O BOX 10367
Arusha

To mold professionals in the field of information technology and related fields to nurture life in the changing and complex global society

Deo kasmiry Deo kasmiry
Arusha, 0673962937

Habari Maalum College (HMC) Habari Maalum College (HMC)
P.O.BOX 14645
Arusha, +255

Habari Maalum College Arusha Tanzania. For excellence in Competence and Practice in Media and leadership training.

RISE and SHINE Daycare RISE and SHINE Daycare
Arusha

Malengo yetu ni kuweka mazingira bora, salama na yenye furaha kwa watoto. Watoto wetu watafundishwa kuheshimiana, kuwaheshimu wazazi, walezi, watu wazima.

Secondary School Secondary School
Arusha, SAKINA

Kaauchi z ze best xkul found in sakina street and hav a qualified teachers ur most welcom if you have accademic problem wat 2 do jus like the page

Fanikiwa Journalism School - FJS Fanikiwa Journalism School - FJS
Arusha,Tanzania
Arusha, PO BOX 15689, ARUSHA TANZANIA

Fanikiwa Journalism School is a private educational institution located at Arusha kwa Mrombo.

Data scan systems Data scan systems
6211
Arusha

Data scan Computer and Secretarial College.

Brainy Heroes Boys' Secondary School Brainy Heroes Boys' Secondary School
Arusha Tz
Arusha, P.O.BOX 39

ALL INFORMATION ABOUT SCHOOL ACTIVITY, SCHOOL SCHEDULE AND EDUCATION UPDATES OF Brainy Heroes Boy's Secondary School.

Edmund Rice(sinon OR Purka) Edmund Rice(sinon OR Purka)
Edmund Rice Sinon Secondary School, PO Box 7131, Arusha, Tanzania Ph: HM +255753860477
Arusha

Edmund Rice Sinon Edmund Rice Sinon Edmund Rice Sinon WELCOME to EDMUND RICE SINON The Headmaster, teaching staff, non-teaching staff and students of Edmund Rice Secondary School Sinon welcome you to this website which will inform you of the story, pe

Cheka School Cheka School
Kiranyi, Sakina
Arusha

Cheka School is a free English and Swahili medium nursery and pre-primary school for the children of the Kiranyi area of Sakina. http://chekaschool.com/