Mwl. Erick Kulindwa

Mwl. Erick Kulindwa Moyo uliochangamka ni dawa nzuri; Bali roho iliyopondeka huikausha mifupa. Mithali 17:22

The rule is simple "don't underestimate your enemies"
29/11/2025

The rule is simple "don't underestimate your enemies"

Afande shusha bundukiMwananchi shusha hasiraMwanasiasa rudi kazini kuponya nchi
24/11/2025

Afande shusha bunduki
Mwananchi shusha hasira
Mwanasiasa rudi kazini kuponya nchi

 aliwahi kusema "kofia haifichi ujinga wa aliyeivaa" mimi naongezea kidogo kuwa hata koti/suti au lips stick haiwezi kuf...
23/11/2025

aliwahi kusema "kofia haifichi ujinga wa aliyeivaa" mimi naongezea kidogo kuwa hata koti/suti au lips stick haiwezi kuficha harufu ya kinywa.

1. AMANI NI ZAO LA HAKI2. HAKI NI ZAO LA AMANIJE TUNAWEZA KUFANYA KIMOJA TUKAACHA KINGINE KWA WAKATI HUU TULIONAO?
22/11/2025

1. AMANI NI ZAO LA HAKI
2. HAKI NI ZAO LA AMANI

JE TUNAWEZA KUFANYA KIMOJA TUKAACHA KINGINE KWA WAKATI HUU TULIONAO?

Ukimpa nyani pesa na ndizi, atachukua ndizi na kuacha pesa kwa sababu hajui pesa inaweza kununua ndizi nyingi" Jack MaLa...
12/10/2025

Ukimpa nyani pesa na ndizi, atachukua ndizi na kuacha pesa kwa sababu hajui pesa inaweza kununua ndizi nyingi" Jack Ma
Lakini Mimi nadhani kwa sababu Mambo yamebadilika sana nyani wa wakati huu watachagua pesa si kwa sababu ya asili yake bali nyakati.

11/10/2025
Wenyewe wanasema hakuna aliye na shughuli nyingi sana kuacha kujibu simu au jumbe zako, isipokuwa hawakuzingatii.Ila Mun...
24/08/2025

Wenyewe wanasema hakuna aliye na shughuli nyingi sana kuacha kujibu simu au jumbe zako, isipokuwa hawakuzingatii.
Ila Mungu wa mbinguni atakuinua tena na atakufanya wa muhimu kuliko mwanzo.

Address

Arusha
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl. Erick Kulindwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mwl. Erick Kulindwa:

Shortcuts

Share

Category